Egyptians demolish Israel embassy wall at protest

Mkubwa, katika pecking order ya geopolitical conflicts mambo yako hivi:

Nchi ambayo ni Nuclear state ni nchi temi kuliko nchi ambayo sio nuclear state, hata kama msipotumia Nuclear kwa sababu kufika kwenye nuclear stage natural sequence of military build up ina predict kwamba utakuwa umeshajiweka sawa kivingine kabla ya kufikia hiyo Nuclear. Utakuwaje na nuclear usiwe na vifaru na manowari na ndege za kivita? Israel ni nuclear state, Egypt sio Nuclear state, Israel inategemewa iwe na uwezo wa kivita zaidi kuliko Egypt, hata bila kutumia Nuclear, japo mwisho wa siku nuclear siku zote iko on the table.

Isingetegemewa Israel iombe msaada kwa Nuclear state nyingine kulinda balozi yake katika nchi ambayo sio nuclear state. Imetia aibu, imeonyesha udhaifu. Umepata picha?

Mkuu utanisamehe, lkn sikupati vizuri.. Unataka kusema Israel haina vifaru, manowari na ndege za kivita?! Au unataka kusema iko vitani na Egypt?! Ungetarajia ipeleke misuli yake ya kijeshi kupambana na waandamanaji kwenye nchi nyingine?! Ubalozi wa US huko Iran uliwahi kuvamiwa na waandamanaji na wakaukalia, na marekani ilikuwa na nuklia na nguvu zote ilifanya nini? Hili bado ni suala la waandamanaji, ingekuwa hizi nchi mbili ziko vitani ndo tungekuwa na haki ya kuhoji uwezo wa kijeshi wa yeyote kati yao.

Back
Top Bottom