Edward Lowassa aungwa mkono na Wamarekani (USA)

Leo Majira ya saa nne asubuhi nilipokuwa karibu na ubalozi wa marekani nikaona tunasimamishwa kupisha msafara wa balozi wa marekani , Okello baada ya kupisha nikaamua kuufuatilia kwa nyuma, majira ya saa tano hivi Hyatt Regency hotel balozi wa Marekani Mh. Mark Childress alikuwa na kikao na Mh Edward lowassa Mbunge wa Monduli.

Katika kikao hicho walicho kaa wawili hao ni dhahiri wamarekani wameamua kumuunga mkono katika mbio za Kuwakomboa watanzania.

Hivyo wale waakili kubwa ni kwamba wababe wa dunia wanaanza negotiation mapema na Simba wa siasa mwenye maamuzi magumu mapema wasije wakaambulia yalio wakuta waingereza walipo jaribu kuwatikisa watanzania pale Edward Lowassa alipo amua kanda ya ziwa wapate Maji kutoka Victoria..

Kaa Mkao wa Maamuzi na Matumaini mapya.

John Okello ninae omboleza kifo cha Betty Ndenjembi.

Huku kuweweseka kwa ajili ya white house kutaleta ndoto nyingi sana yumu JF. Hebu tuchambue hii ndoto ya John Okello
1. Picha aliyotumia ni ya zamani sana (athibishe kama anabisha)
2. Nini kilimvutia kufuatilia msafara wa balozi wa marekani, kwamba ukisimamishwa kwenye msafara wowote basi unaufuatilia?
3. Hujasema kama ulikaribishwa kwenye hayo maongezi ya saa mbili, au unataka kutudanganya kuwa uliweka vinasa sauti walipokuwa kwenye maongezi
4. Nani aliwaambia hao wamarekani wako kuwa tunahitaji mkombozi anayeita Edward Lowasa
5. Yaani unaleta negotiation zenu na EL kwenye vikao vyenu vya sili kama mapatano na marekani, au ndivyo anavyo wadanganya
6. Si unajua kuwa Richmond ilikuwa ya wamarekani na kwamba hii Symbioni inayotaka mkataba wa MW600 kwa miaka 20 ni ya kwao pia. Unaweza kututhibitishia kama walikuwa hawapeani rushwa kwenye kikao chenu hicho
7. Siwapendi waTZ wanaobadirishana almasi kwa golori. Acha umasikini wako huo kutaka kuangamiza nchi kwa mlo wa pizza.
 
Wewe! Marekani sio wapumbavu hata siku moja. Chomelea hilo kwenye ubongo wako! Alafu kumbe wewe fyatu, unatuletea mambo ya kufuatilia foleni kwa nyuma kutuambia upumbavu! Sijui kawapa sumu gani huyu babu.

Kwanza jua Lowasa ni nani pili hizo kelele zenu hazimzui tembo kunywa maji. Edward Lowasa ni mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje balozi wa marekani kukutana nae ni jambo la kawaida hivyo nyie watu wa timu pinzani tulieni sio mambo ya ikulu ni mambo ya kawaida
 
Bye bye Lowassa,this country will never elect another American stooge, sorry! We tried that route with Kikwete and we ended up with Symbion Power and many other exploitative deals.I wonder what have you promised Americans too?

It might just a deal not something to do with Tanzania's perspectives. British angered the Kenyans for their proposal for Raila leading to his failure. I bet the same might happen in Tanzania if they intervene the political arena!
 
Huku kuweweseka kwa ajili ya white house kutaleta ndoto nyingi sana yumu JF. Hebu tuchambue hii ndoto ya John Okello
1. Picha aliyotumia ni ya zamani sana (athibishe kama anabisha)
2. Nini kilimvutia kufuatilia msafara wa balozi wa marekani, kwamba ukisimamishwa kwenye msafara wowote basi unaufuatilia?
3. Hujasema kama ulikaribishwa kwenye hayo maongezi ya saa mbili, au unataka kutudanganya kuwa uliweka vinasa sauti walipokuwa kwenye maongezi
4. Nani aliwaambia hao wamarekani wako kuwa tunahitaji mkombozi anayeita Edward Lowasa
5. Yaani unaleta negotiation zenu na EL kwenye vikao vyenu vya sili kama mapatano na marekani, au ndivyo anavyo wadanganya
6. Si unajua kuwa Richmond ilikuwa ya wamarekani na kwamba hii Symbioni inayotaka mkataba wa MW600 kwa miaka 20 ni ya kwao pia. Unaweza kututhibitishia kama walikuwa hawapeani rushwa kwenye kikao chenu hicho
7. Siwapendi waTZ wanaobadirishana almasi kwa golori. Acha umasikini wako huo kutaka kuangamiza nchi kwa mlo wa pizza.

Kweli richmond ni ya wamarekani ila ukitaka kujua ukweli muulizeni Harrison Mwakyembe, Samweli 6,Stella manyanya,na wengine ila msimsahau profesor.
 
''We Have No Permanent Allies,No Permanent Enemies,We Only Have Permanent Interests'' Western Famous Peroration.

Kazi Tunayo
 
Mkuu Okelo,begging,by definition,is accruing revenue by non-violent means.Wewe umeamua kuomba kwa Lowasa kwa njia hii.Nakupongeza.
 
Kweli kabisa.Kwao kunazidi kuporomoka kwetu ndio wataweza.Kwanza si muda mrefu ujao Marekani itakuwa a third world country!Hata hivyo Wamarekani walishamkomboa nani kama sio ushenzi tu wanaofanya dunia nzima.
Wamarekani wasaidie kutukomboa Watanzania?..are you serious? Unless you intended to give out a subtle message (to warn us about it) or else you're destroying your man's Presidential dreams!
 
Ukiacha tuhuma nyingi dhidi yake (ambazo hazina uthibitisho) ndani ya CCM hakuna anayeweza kuwa rais bora isipokuwa Edward Lowasa....

Watanzania wanataka rais bora... Kama kuna mwenye uthibitisho wa tuhuma zake basi azilete mezani ili maamuzi ya busara yafanyike na yeye EL afikishwe panapostahili....
 
Ukana Shilungo

umenifurahisha sana,hebu kacheck ac yk nimerusha kabilion kamoja ila kachukulie mkomboz bank kwa usalama zaid
 
Last edited by a moderator:
Leo Majira ya saa nne asubuhi nilipokuwa karibu na ubalozi wa marekani nikaona tunasimamishwa kupisha msafara wa balozi wa marekani , Okello baada ya kupisha nikaamua kuufuatilia kwa nyuma, majira ya saa tano hivi Hyatt Regency hotel balozi wa Marekani Mh. Mark Childress alikuwa na kikao na Mh Edward lowassa Mbunge wa Monduli.

Katika kikao hicho walicho kaa wawili hao ni dhahiri wamarekani wameamua kumuunga mkono katika mbio za Kuwakomboa watanzania.

Hivyo wale waakili kubwa ni kwamba wababe wa dunia wanaanza negotiation mapema na Simba wa siasa mwenye maamuzi magumu mapema wasije wakaambulia yalio wakuta waingereza walipo jaribu kuwatikisa watanzania pale Edward Lowassa alipo amua kanda ya ziwa wapate Maji kutoka Victoria..

Kaa Mkao wa Maamuzi na Matumaini mapya.

John Okello ninae omboleza kifo cha Betty Ndenjembi.

mapepo ya LOW HASA yanafanya kazi kwa kasi ya ajabu mpaka kuwapofusha macho na kuwazubaisha akili,
pesa zake zitawaua nyie.
 
hatazile sifa chache alizo kua nazo zimeyayuka ni kosa kubwa sana kufadhiliwa na marekani.
 
Back
Top Bottom