Early Voting In Florida Shows Trump Winning Election By Landslide

Mkuu unaona mbali sana.
Jamaa anapigwa vibaya sana. HRC anaweza kushinda pia Texas na Arizona ambayo ni maeneo ya kujidai ya GOP kwa miaka mingi sana. Pia HRC anaweza kuwa mgombea wa kwanza toka democrats kupata kura nyingi toka kwa Republicans.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Democrat stronghold Florida looks set to overwhelming vote in Donald Trump, with early ballot count showing a Republican landslide win in state.
Even though President Obama won Florida twice during the 2008 and 2012 elections, the must win state looks set to become a Republican stronghold.
Florida is a must win state for Donald Trump to declare victory on election day and good news is that he's off a very good start.
Source: Yournewswire

You lost me on "Democrat stronghold Florida". Tangia lini Florida imekuwa kambi ya Democrats? Florida has always been a swing state, just because Obama won it twice it doesn't make it a stronghold.
 
I am sorry to burst your bubble. But Yournewswire is actually a FAKE news outlet. Google na upate ukweli. Don't massage your fantansies with lies and fake news.
You can give any comments but the truth will remain truth
 
Really change we can believe in is coming to America
I am sorry to burst your bubble. But Yournewswire is actually a FAKE news outlet. Google na upate ukweli. Don't massage your fantansies with lies and fake news.
 
Ndiyo hilo ambalo nimekuwa nasema Mkuu. Marekani ya leo ni tofauti sana na ile ya miaka 30 iliyopita kutokana na ongezeko kubwa la wahamiaji. Miaka ile mgombea Urais aliweza kushinda uchaguzi bila ya support kubwa toka kwa weusi na Latino, lakini miaka hii kushinda kwa kura za wazungu tu na less than 10% ya minorities haiwezekani kabisa.

Democrats watachukua state kilaini sana. Take my words today. Demographically Republican kushinda Marekani ni lazima waweke mtu wa kukubalika sana.
 
You can give any comments but the truth will remain truth
Napenda kujiwekea akiba ya ujinga ili ni-verify ninayoyasikia. What makes you think unachokisia na kukisema ndiyo truth? If you are stuck with a source and you are told it is a fake news source and you decide it is the TRUTH, it is likely that you are only hunting for news that is consistent with your opinion (not fact, not truth). It is called confirmation bias. Ni kama huyo anayeshabikiwa, Trump. Alipiga kelele mwaka 1989 the Central Park Five wauawe. Mwaka 2002 vijana wakatolewa kwa ushahidi wa kisayansi kwamba hawakuhusika na jinai ile. Trump: wana makosa tu na walistahili kufa. Mpaka leo anashikilia hilo. That is, yuko tayari ku-reject evidence ili mradi tu ashikilie msimamo wake. And obviously sometimes for political expedience. Hapa Bongo wako watu wengi hawataki evidence-based knowledge, wanapenda kufuata mkumbo wa kijiweni. Wengi wanamshabikia Trump na hawaelewi politics za uchaguzi zinaendaje Marekani. Watu wameanza kumsikia mwaka jana, basi huwaambii kitu kwa misingi ya habari walizozisikia kijiweni. Ni kama habari za Free Masons, Kikombe cha Babu, umeyasikia na ya huko Bahi?
 
Ukistaajabu ya Musa usishangae ya Firaun the Next President of United States of America will be Donald Trump.
haha haha his defeat is all but certain aende tuu mbaguzi tapeli yule hafai kuwa Raisi wa Taifa kubwa kama US
 
Napenda kujiwekea akiba ya ujinga ili ni-verify ninayoyasikia. What makes you think unachokisia na kukisema ndiyo truth? If you are stuck with a source and you are told it is a fake news source and you decide it is the TRUTH, it is likely that you are only hunting for news that is consistent with your opinion (not fact, not truth). It is called confirmation bias. Ni kama huyo anayeshabikiwa, Trump. Alipiga kelele mwaka 1989 the Central Park Five wauawe. Mwaka 2002 vijana wakatolewa kwa ushahidi wa kisayansi kwamba hawakuhusika na jinai ile. Trump: wana makosa tu na walistahili kufa. Mpaka leo anashikilia hilo. That is, yuko tayari ku-reject evidence ili mradi tu ashikilie msimamo wake. And obviously sometimes for political expedience. Hapa Bongo wako watu wengi hawataki evidence-based knowledge, wanapenda kufuata mkumbo wa kijiweni. Wengi wanamshabikia Trump na hawaelewi politics za uchaguzi zinaendaje Marekani. Watu wameanza kumsikia mwaka jana, basi huwaambii kitu kwa misingi ya habari walizozisikia kijiweni. Ni kama habari za Free Masons, Kikombe cha Babu, umeyasikia na ya huko Bahi?
Wewe endelea kujiwekea akiba ya ujinga, lakini kuna mabadiliko makubwa sana yanafanyika hapa duniani. Nenda kasome historia ya huyu mwanamama alipokuwa First Lady pale White House utamjua kwa undani zaidi hizi siasa za dunia si za kudandia kama unapanda basi la mwendokasi.
Wewe endelea kutumia mainstream media na kuziita zingine Fake news. unapodai Trump alitaka hao five wauawa huyu mama Clinton kwa kusababisha vita vya Libya na Syria how many innocent people waliokufa katika nchi hizo.Huyo mama Hilary Clinton ni Blood Sucker kwa vita vya vya Libya na Syria, nenda kasome Wikileaks kwenye emails zake utaona what kind of a person huyo mwanamama alivyo.
Hata hapa Tanzania hatutakuwa salaama bro kwataarifa ngoja nikutoe kwenye huo ujinga kwa muda ni kwamba mradi uliokuwa wa kitapeli wa Richmond na Symbioun ulikuwa na baraka ya huyu mwanamama. Mimi binafsi siwezi kumuamini huyu mama aongoze taifa kubwa kama hili hata Rais Obama alikuwa anapendelea Bernie Sanders amrithi lakini Clinton alimchakachua katika kura za maoni.Wamerekani na dunia wamechoka na sera za kinafiki za chama na mgombea wao huyo. Dunia imechoka na vita na mauaji tunataka tuishi kwa amani, Donald Trump angekuwa ni mtu hafai asingeweza kuwa mtu tajiri hivyo Marekani, tunataka America ifufuke kiuchumi na iwe na mawasiliano mzuri na Russia na China kwa ajili ya humankind. Donald Trump sio mbaguzi kama mnavyomzania kuhusu Latino Na blacks Anataka waachane na vitendo vya kihalifu na Madawa ya kulevya wachape kazi na kuzuia waislam wale wenye itikadi kadi wasiingie Marekani kwenda kujitoa mhanga.
Bro baada ya kukuelimisha ngoja nikurudishe kwenye huo ujinga unapopapenda kuishi.
 
Nakushauri nawe uweke akiba pia. Trump namjua toka siku nyingi, na Hillary namjua toka siku nyingi sana, na blunders za serikali zote za Marekani duniani nazijua vizuri kuliko unavyodhani. Najua fika Sanders ndiyo alikuwa chaguo la wengi hasa wasomi, lakini kazidiwa kete kidogo na Hillary. Lakini ninachosema ni kwamba: (1) Trump ushawishi wake uliishia na ile theluthi ya wapiga kura ambao ni Republicans. Nje ya Republican party hapati kitu. Like I told you, nilikuwa huko, nilizungumza na watu wengi sana. It is not just the mainstream media. Kila anapotumia mbinu alizotumia kuwa-eliminate akina Rubio, Bush na Cruz, mambo yanamharibikia, because siyo primaries tena. (2) Sasa hivi anashindwa, na madai ya polls kama uliyobandika kuwa ndiyo sahihi, ni kasoro kubwa katika ripoti unazotoa na kuzing'ang'ania. The man is going down. What I was saying is don't buy into Trump's claims kwamba polls ni wrong. Huwa anazikubali pale anapoonekana yuko juu. Hiyo ni kasoro kubwa. (3) Kwa ninavyomfahamu Trump, kumchagua yeye ni kama kukata pua ili kuuadhibu uso. Blunder alizofanya Hillary, zitakuwa mara tatu yake iwapo Trump ataajiriwa. The only advantage aliyo nayo ni kuwa hakuwahi kushika elected office. Therefore, hawezi kukosolewa kwamba ameangamiza watu. Remember huyu ni mtu ambaye akiudhiwa namna anavyodeal na matatizo hayo ni scorched earth method. Saa tisa za usiku ana-tweet against mgomvi wake, kwa ugomvi ambao ungeisha mara moja kwa kutambua alichokosea. (4) Uwongo wake wala hauna ubishi hata kwa hardcore fans na followers wake. No, I think Hillary is the lesser of the two.
 
Jisikilize unaposema Blacks na Hispanics waache vitendo vya kihalifu na madawa. Do you know kwamba watumiaji wakuu wa madawa ya kulevya Marekani ni wazungu? Yet convictions kubwa zaidi ni za people of color kwa kosa hilo. Unajua mashambulizi ya halaiki Marekani yanayofanyika kila mwaka hasa hufanywa na wazungu ambao wanadai kwamba ni Wakristo? Lakini husikii hata kwenye mainstream media ikisima lolote. Badala yake akitokea Mwislamu kaua au mtu mweusi kaua, basi ni kelele za kupindukia. Una habari hero wako Trump anadai kwamba watu wanahamishia biashara nje ilhali naye ni mmojawapo. Ni mnafiki tunamjua toka siku nyingi. Nakushauri usimfuate Trump kwa kubeba takwimu au maneno ya kibaguzi hivyo.
 
Wewe endelea kujiwekea akiba ya ujinga, lakini kuna mabadiliko makubwa sana yanafanyika hapa duniani. Nenda kasome historia ya huyu mwanamama alipokuwa First Lady pale White House utamjua kwa undani zaidi hizi siasa za dunia si za kudandia kama unapanda basi la mwendokasi.
Wewe endelea kutumia mainstream media na kuziita zingine Fake news. unapodai Trump alitaka hao five wauawa huyu mama Clinton kwa kusababisha vita vya Libya na Syria how many innocent people waliokufa katika nchi hizo.Huyo mama Hilary Clinton ni Blood Sucker kwa vita vya vya Libya na Syria, nenda kasome Wikileaks kwenye emails zake utaona what kind of a person huyo mwanamama alivyo.
Hata hapa Tanzania hatutakuwa salaama bro kwataarifa ngoja nikutoe kwenye huo ujinga kwa muda ni kwamba mradi uliokuwa wa kitapeli wa Richmond na Symbioun ulikuwa na baraka ya huyu mwanamama. Mimi binafsi siwezi kumuamini huyu mama aongoze taifa kubwa kama hili hata Rais Obama alikuwa anapendelea Bernie Sanders amrithi lakini Clinton alimchakachua katika kura za maoni.Wamerekani na dunia wamechoka na sera za kinafiki za chama na mgombea wao huyo. Dunia imechoka na vita na mauaji tunataka tuishi kwa amani, Donald Trump angekuwa ni mtu hafai asingeweza kuwa mtu tajiri hivyo Marekani, tunataka America ifufuke kiuchumi na iwe na mawasiliano mzuri na Russia na China kwa ajili ya humankind. Donald Trump sio mbaguzi kama mnavyomzania kuhusu Latino Na blacks Anataka waachane na vitendo vya kihalifu na Madawa ya kulevya wachape kazi na kuzuia waislam wale wenye itikadi kadi wasiingie Marekani kwenda kujitoa mhanga.
Bro baada ya kukuelimisha ngoja nikurudishe kwenye huo ujinga unapopapenda kuishi.
Ninachotaka kusisitiza ni kwamba angekuwapo Trump kwenye nafasi ya Hillary huko nyuma angefanya uhalifu mbaya zaidi. Angalia hapa:
Msikilize hapa pia. He means it. Ni mafuta yaleyale yanayoleta shida siku zote. Angalia hapa.

Once more, not just the mainstream media. Tafuta habari zaidi jiridhishe mwenyewe. Hiyo ndiyo maana yangu ya kuweka akiba ya ujinga, if you didn't get it. It is the attitude that there could be more out there that I can learn. Only a fool thinks they know everything. Mungu peke yake ndiyo anajua kila kitu.
 
Once more, not just the mainstream media. Tafuta habari zaidi jiridhishe mwenyewe. Hiyo ndiyo maana yangu ya kuweka akiba ya ujinga, if you didn't get it. It is the attitude that there could be more out there that I can learn. Only a fool thinks they know everything. Mungu peke yake ndiyo anajua kila
 
Nakushauri nawe uweke akiba pia. Trump namjua toka siku nyingi, na Hillary namjua toka siku nyingi sana, na blunders za serikali zote za Marekani duniani nazijua vizuri kuliko unavyodhani. Najua fika Sanders ndiyo alikuwa chaguo la wengi hasa wasomi, lakini kazidiwa kete kidogo na Hillary. Lakini ninachosema ni kwamba: (1) Trump ushawishi wake uliishia na ile theluthi ya wapiga kura ambao ni Republicans. Nje ya Republican party hapati kitu. Like I told you, nilikuwa huko, nilizungumza na watu wengi sana. It is not just the mainstream media. Kila anapotumia mbinu alizotumia kuwa-eliminate akina Rubio, Bush na Cruz, mambo yanamharibikia, because siyo primaries tena. (2) Sasa hivi anashindwa, na madai ya polls kama uliyobandika kuwa ndiyo sahihi, ni kasoro kubwa katika ripoti unazotoa na kuzing'ang'ania. The man is going down. What I was saying is don't buy into Trump's claims kwamba polls ni wrong. Huwa anazikubali pale anapoonekana yuko juu. Hiyo ni kasoro kubwa. (3) Kwa ninavyomfahamu Trump, kumchagua yeye ni kama kukata pua ili kuuadhibu uso. Blunder alizofanya Hillary, zitakuwa mara tatu yake iwapo Trump ataajiriwa. The only advantage aliyo nayo ni kuwa hakuwahi kushika elected office. Therefore, hawezi kukosolewa kwamba ameangamiza watu. Remember huyu ni mtu ambaye akiudhiwa namna anavyodeal na matatizo hayo ni scorched earth method. Saa tisa za usiku ana-tweet against mgomvi wake, kwa ugomvi ambao ungeisha mara moja kwa kutambua alichokosea. (4) Uwongo wake wala hauna ubishi hata kwa hardcore fans na followers wake. No, I think Hillary is the lesser of the two.
Kwa lugha fupi pamoja wewe umeongea na watu huwezi kulazimisha watu wamchukie Donald Trump, Huyu mgombea wa chama cha Republican siyo mnafiki ni mtu wa wazi na anaonyesha hisia zake kwa wazi zaidi ndio maana Rais Putin wa Russia yuko tayari kufanya naye kazi kama akichaguliwa kuwa Rais. Donald Trump anataka kuleta sura mpya ya sera ya Marekani ya nje na huyo mgombea unayempigia debe yeye anataka kuendeleza ukatili wa Marekani, wewe kuwa Marekani ama kuongea na watu wa Marekani haimaanishi kwamba wewe ni mtaalam wa siasa ya Marekani. Wakati wa ziara ya mwisho Marekani Ghaddaffy Marekani huyu Donald Trumph ndiye alimpa eneo la kufikia na kupiga hema lake baada ya hao wahafidhina kumkatalia kupiga hema lake hilo.
 
Ninachotaka kusisitiza ni kwamba angekuwapo Trump kwenye nafasi ya Hillary huko nyuma angefanya uhalifu mbaya zaidi. Angalia hapa:
Msikilize hapa pia. He means it. Ni mafuta yaleyale yanayoleta shida siku zote. Angalia hapa.

Once more, not just the mainstream media. Tafuta habari zaidi jiridhishe mwenyewe. Hiyo ndiyo maana yangu ya kuweka akiba ya ujinga, if you didn't get it. It is the attitude that there could be more out there that I can learn. Only a fool thinks they know everything. Mungu peke yake ndiyo anajua kila kitu.

Only a fool always argue.
 
Kwa lugha fupi pamoja wewe umeongea na watu huwezi kulazimisha watu wamchukie Donald Trump, Huyu mgombea wa chama cha Republican siyo mnafiki ni mtu wa wazi na anaonyesha hisia zake kwa wazi zaidi ndio maana Rais Putin wa Russia yuko tayari kufanya naye kazi kama akichaguliwa kuwa Rais. Donald Trump anataka kuleta sura mpya ya sera ya Marekani ya nje na huyo mgombea unayempigia debe yeye anataka kuendeleza ukatili wa Marekani, wewe kuwa Marekani ama kuongea na watu wa Marekani haimaanishi kwamba wewe ni mtaalam wa siasa ya Marekani. Wakati wa ziara ya mwisho Marekani Ghaddaffy Marekani huyu Donald Trumph ndiye alimpa eneo la kufikia na kupiga hema lake baada ya hao wahafidhina kumkatalia kupiga hema lake hilo.
Je, umeona hiyo clip inayoonesha unafiki wa Trump anaposema wanatakiwa kumwondoa Ghadaffi mara moja? Ni huyohuyo aliyejidai mwema kwake. Clip zote mbili zinakusudia kukuonesha mwenyewe anasema nini, si kwamba media au nini inamzulia. The man is dangerous. By the way simlazimishi mtu yeyote. I am simply making an argument. I am saying madai kwamba yeye ndiyo anayependwa zaidi si ya ukweli kama umezungumza na Wamarekani. Na hii si kwa kudai utaalamu kwa sababu kutembelea huko. Ni observation yangu tu. Sote tunasubiri uchaguzi. Ukimsikiliza Trump tu, utadhani mambo mengi kama anavyosema yeye. Mtu hata rafiki zake wanamkimbia kwa jinsi anavyoendelea kuropoka!
 
Republican walimkosa mtu wa mithili ya Mang'ula ...
Kweli kabisa. Lakini pia alikuwa anasema maneno ya kibaguzi dhidi ya mgomvi wao Obama, ndiyo maana Republicans walikaa kimya wanaenjoi jamaa linamwaga sumu. Sasa mambo yamewaharibikia wanahaha vibaya.
 
Je, umeona hiyo clip inayoonesha unafiki wa Trump anaposema wanatakiwa kumwondoa Ghadaffi mara moja? Ni huyohuyo aliyejidai mwema kwake. Clip zote mbili zinakusudia kukuonesha mwenyewe anasema nini, si kwamba media au nini inamzulia. The man is dangerous. By the way simlazimishi mtu yeyote. I am simply making an argument. I am saying madai kwamba yeye ndiyo anayependwa zaidi si ya ukweli kama umezungumza na Wamarekani. Na hii si kwa kudai utaalamu kwa sababu kutembelea huko. Ni observation yangu tu. Sote tunasubiri uchaguzi. Ukimsikiliza Trump tu, utadhani mambo mengi kama anavyosema yeye. Mtu hata rafiki zake wanamkimbia kwa jinsi anavyoendelea kuropoka!
Bro. tusubiri matokeo kwani Wamerekani wao ndio wataamua. Always Wamerekani huwa ni double standard.
 
Back
Top Bottom