Duuuh Huyu mama ana sura ya kuvutia.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
3.jpg

Mrembo wa wiki.
 
mimeno imetoka utafikiri anakula watu? utafikiri yule mmama aliyeenda Beijing kwenye mkutano (akitokea tz) akabeba na condom kwenye kipimajoto chake...Ivi alikuwa nani vile?....mwanamke yeyote hata kama amefanikiwa vipi, kama haishi na mume, heshima yake ni sifuri...unaonekana malaya tu. however, kwa wale ambao hawajapenda kuishi hivyo, nawapo moyo, na heshima..
 
Wacheni ujinga na upuuzi usio na maana.

Kama wazuri kweli mungesoma mukapata mafanikio na siyo kukaa na kukebehi watu. Dhambi iliyoje!
 
kwani ccm wanafuata elimu au ilimradi uwe mwizi au unatetea uwizi?
 
mimeno imetoka utafikiri anakula watu? utafikiri yule mmama aliyeenda Beijing kwenye mkutano (akitokea tz) akabeba na condom kwenye kipimajoto chake...Ivi alikuwa nani vile?....mwanamke yeyote hata kama amefanikiwa vipi, kama haishi na mume, heshima yake ni sifuri...unaonekana malaya tu. however, kwa wale ambao hawajapenda kuishi hivyo, nawapo moyo, na heshima..
Hii si busara...huwezi kukejeli maumbile ya mtu..labda utujuze mbinu uliyotumia hadi ukaumbwa hivyo ulivyo. Suala la kuoa/kuolewa ni binafsi sana kwani kila mmoja ana sababu zake. Kama ulioa/uliolewa kwasababu wengine wanafanya hivyo basi utakuwa mpumbavu
 
Mama posho, hio sura ya mbena halisi, ila yuko na umbo zuri si mchezo.
 
mimeno imetoka utafikiri anakula watu? utafikiri yule mmama aliyeenda Beijing kwenye mkutano (akitokea tz) akabeba na condom kwenye kipimajoto chake...Ivi alikuwa nani vile?....mwanamke yeyote hata kama amefanikiwa vipi, kama haishi na mume, heshima yake ni sifuri...unaonekana malaya tu. however, kwa wale ambao hawajapenda kuishi hivyo, nawapo moyo, na heshima..

ebana Invisible ndugu yako nini. Mbona hujatwangwa Ban.
 
Last edited by a moderator:
dah tumejisahau sana wana jf, kila mwanadamu ana kasoro zake na hakuna aliyetimia.Mungu amemuumba kila mwanadamu kwa kusudio lake sa kama ww unamuona hajatimia hata wewe nafikiri unamapungufu zaidi ya yeye.siasa na maumbile yake ni tofauti tumkosee kwa utendaji wake lakini si maumbile yake hata yeye hajapenda awe hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom