Duuh usiombe ikukute maana......

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Habari zenu wanajamvi..
salam hizi zinafatana na shukrani kwa MUNGU. Jana ndio nilirudi hewani baada ya tukio la juzi lililotokea maeneo ya beach.
ilikua hivi
nimetoka na washikaji naenda beach, Mtoto wa kike akapiga sim Stevoh unaenda beach nisubiri twende wote. Tukafika beach tumekaa kumbe bana jua linawahi kuingia kuja kushtuka mda umeisha duuh ikabidi nianze kuwawahi masela ile tunakaribia kufika si wakatokea wanaoitwa Vibaka wa3 wakatuweka chini ya ulinzi. Mtu mzima nikaambiwa kaa chini nikamcheki boya wangu kashika kisu kihasarahasara ile namalizia kumyang'anya akamwita mwenzake "oyaa huyu Mmbishi" ikabidi niachie kisu wakati huo wote tumejikata wakati wa purukushani. Ikabidi niwe mpole wakachukua simu yangu KIPENZI "NOKIA E51" ambayo ilikua inanisaidia kuperuzi JF na ku"Google"
yani leo ndo nimepata simu nyingine ikanibidi niadisie mkasa sasa ivi nauguza kidonda changu na machungu ya simu yangu. Omba Mungu lisikukute kuwekwa chini na Vibaka maana .......
 
Pole sana stevoh, hata Mentor lilimpata la kumpata juzi hapo Kigamboni. Dawa ya hao vibaka ni kuyarestisha in pisi fasta.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu wanajamvi..
salam hizi zinafatana na shukrani kwa MUNGU. Jana ndio nilirudi hewani baada ya tukio la juzi lililotokea maeneo ya beach.
ilikua hivi
nimetoka na washikaji naenda beach, Mtoto wa kike akapiga sim Stevoh unaenda beach nisubiri twende wote. Tukafika beach tumekaa kumbe bana jua linawahi kuingia kuja kushtuka mda umeisha duuh ikabidi nianze kuwawahi masela ile tunakaribia kufika si wakatokea wanaoitwa Vibaka wa3 wakatuweka chini ya ulinzi. Mtu mzima nikaambiwa kaa chini nikamcheki boya wangu kashika kisu kihasarahasara ile namalizia kumyang'anya akamwita mwenzake "oyaa huyu Mmbishi" ikabidi niachie kisu wakati huo wote tumejikata wakati wa purukushani. Ikabidi niwe mpole wakachukua simu yangu KIPENZI "NOKIA E51" ambayo ilikua inanisaidia kuperuzi JF na ku"Google"
yani leo ndo nimepata simu nyingine ikanibidi niadisie mkasa sasa ivi nauguza kidonda changu na machungu ya simu yangu. Omba Mungu lisikukute kuwekwa chini na Vibaka maana .......

Pole sana Kamanda wangu!
 
Mungu ni mwema bora wameiba hiyo simu wakakuachia uhai wako!

Pole sana na mshukuru mungu!
 
Habari zenu wanajamvi..
salam hizi zinafatana na shukrani kwa MUNGU. Jana ndio nilirudi hewani baada ya tukio la juzi lililotokea maeneo ya beach.
ilikua hivi
nimetoka na washikaji naenda beach, Mtoto wa kike akapiga sim Stevoh unaenda beach nisubiri twende wote. Tukafika beach tumekaa kumbe bana jua linawahi kuingia kuja kushtuka mda umeisha duuh ikabidi nianze kuwawahi masela ile tunakaribia kufika si wakatokea wanaoitwa Vibaka wa3 wakatuweka chini ya ulinzi. Mtu mzima nikaambiwa kaa chini nikamcheki boya wangu kashika kisu kihasarahasara ile namalizia kumyang'anya akamwita mwenzake "oyaa huyu Mmbishi" ikabidi niachie kisu wakati huo wote tumejikata wakati wa purukushani. Ikabidi niwe mpole wakachukua simu yangu KIPENZI "NOKIA E51" ambayo ilikua inanisaidia kuperuzi JF na ku"Google"
yani leo ndo nimepata simu nyingine ikanibidi niadisie mkasa sasa ivi nauguza kidonda changu na machungu ya simu yangu. Omba Mungu lisikukute kuwekwa chini na Vibaka maana .......

Pole sana mkuu...Nenda ukajifunze kung fu ili siku nyingine ikitokea usihadhirike.
 
dah pole kwa masahibu mbele ya vibaka saluti ila sio ishu umeachiwa uhai,hawajakufededa kama cl alivyosema na simu unayo nyingine
 
Back
Top Bottom