Hivi wajamen kuna vijiwizara vya ajabu ajabu ambavyo kila siku sifahamu kazi zake na pia hizo kazi zake hazionekani kwa manufaa ya Taifa ati,Uwezeshwaji,Utawala bora,Utumishi na vinginevyo yaani hapa hizi ni wizara tatu sasa hapa si ndo kule kupeana kula jamani.Wizara kama ya Sayansi na Technologia,Elimu ya Juu na Ufundi,Michezo na vijana kwa nini isiwe wizara moja?
Pia hii wizara ya mambo ya ndani,wizara ya sheria na katiba hizi zinaweza kuwa moja kwani zinaendana jamani real we need change hata hawa Mawaziri wa wakati huu hakuna kitakacho fanyika kwani mfumo ni ule ule chukua chako mapema.
Lingine ni kwamba hawa kina Mkuchika na Maghembe si walitajwa kwenye kashfa za Wizara zao so kwa nini warudishwe???Sasa hapo mtaona hao wa chini yao kama makatibu,wakurugenzi na vijibosi vidogodogo hawatafukuzwa ila watahamishiwa Wizara nyingine duuh kweli Bongo kila kitu kinawezekana