chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,003
- 20,681
Nadhani hii ndio strateji sahihi.
Dunia na Afrika Mashariki wawe na mtazamo mpana zaidi. Wasimuangalie mtu, waangalie nchi. Huyu mtu anapita tu, na ndani ya miaka 30 ijayo hatakuwa alipo. Sasa ana miaka sabini, hakika hawezi kuongoza Rwanda akiwa na umri wa miaka 100.
Tunamuona anafoka foka na kujifanya mwamba, nchi inaongozwa kitaasisi.
Uchaguzi wa CongoDr ni bora kuliko wa Rwanda kwa kuwa wanapokezana, kwa hiyo watadumu kama nchi kwa muda mrefu. Huyu anayejiweka mbele kila siku, siku ikifika, hana namna, na nchi itakuwa haina namna.
Tumuache aseme "mimi ... Mimi" halafu nchi nyingine ziongee kama nchi, sio mtu binafsi. Nchi isimame, awepo fulani au asiwepo. Nchi ni taasisi