kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,068
Sasa utasemaje ana mkwara huku akiwa na uwezo wa kumpiga mmarekani akiwa kwake tu, utasemaje ana mikwara huku Ana uwezo wa Bomu la nuclear na lile la hydrogen . utasemaje ana mikwara wakati anatumia operating system ya kwake . kiufup yupo vizuri sizan kama ni jambo jepesi kumpigaKiduku ana mkwara tu siku USA wakilamsha dude atafyata mkia