Dunia ina unafiki sana, Poshqueen anampost Harmonize karibia kila mara, kama vile anampenda kweli

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,724
5,759
Yaani mdada kama Poshqueen ni mtu wa ku fall in love na mwanaume, hahaaaaa tena mwanaume mwenyewe Harmonize.😂

Baadhi ya wanawake (wengi wenu) mmetisha, mkiona mwanaume ana hela, mnajua kuigiza mmempenda kuliko waigiza filamu wa Hollywood, nje mnaonesha mnampenda kumbe moyoni mko tofauti, mnawaza maokoto.

Nimpe kongole harmonize kwa kula ule mzigo wa poshqueen, ila naamini hata harmonize mwenyewe kimoyo moyo anajua na kuwaza hapa kiuhalisia sipendwi, naigiziwa tu, ni hela zimemleta huyu mdada

cocastic huenda akawa na la kuongezea
 
Yani mdada kama poshqueen ni mtu wa ku fall in love na mwanaume, hahaaaaa tena mwanaume mwenyewe harmonize.😂

Baadhi ya wanawake (wengi wenu) mmetisha, mkiona mwanaume ana hela, mnajua kuigiza mmempenda kuliko waigiza filamu wa Hollywood, nje mnaonesha mnampenda kumbe moyoni mko tofauti, mnawaza maokoto.

Nimpe kongole harmonize kwa kula ule mzigo wa poshqueen, ila naamini hata harmonize mwenyewe kimoyo moyo anajua na kuwaza hapa kiuhalisia sipendwi, naigiziwa tu, ni hela zimemleta huyu mdada

cocastic huenda akawa na la kuongezea
Maisha ni biashara. Ni kuuza na kununua.
Haijalishi kanunua penzi au anapendwa la msingi kapata anachokitaka.
 
Mapenzi yalikuwepo enzi za mwalimu, sasa ni wiziwizi mtu mtupu. Enzi za mwalimu mtu na mkewe wanapigana busu shavuni wakiwa chumbani huku wamezima taa. Hizo ndio enzi za mwalimu.
Siku hizi wanapigana mabusu kuanzia kitovuni kwenda chini, sio kila unayemwona na toothpick mdomoni anatoka kula nyama choma, wengine wanaondoa vipande vya mavuzi kwenye meno.
Ni wiziwizi mtupu
 
Hamna love pale wote wamekutana micharuko,,,Mwaka ulioisha alikua anatoka na mbeba vyuma, ila mastaa wa bongo hela yako tu maana sio kwa njaa hizi .
 
Back
Top Bottom