SOFTWARE DukaPoint: Imerahisisha utunzaji na upatikanaji wa kumbukumbu za biashara yako(mauzo, manunuzi, matumizi, stock n.k)

dilungathegreat

New Member
Jun 11, 2019
2
3
Kuna msemo wa Kiswahili usemao: "mali bila daftari, hupotea bila habari." Mfanyabiashara makini hufahamu hili na ndio maana haachi kutunza kumbukumbu za biashara yake.

Utunzaji wa taarifa za mauzo, manunuzi, matumizi, na stoku ni muhimu kwa ukuaji wa biashara, kwani itakusaidia kufahamu mwenendo wa biashara yako na kukupa picha ya kipi kipo sawa na kipi hakipo sawa.

Peni na daftari vimekuwa nyenzo kuu kwa miaka mingi sasa katika utunzaji wa kumbukumbu za kibiashara… ilihitaji pia uwe na calculator ili kufanya mahesabu kwa haraka zaidi.

Teknolojia imekua, huitaji tena kujaza peni na daftari kama mwanafunzi wa primary.

DukaPoint imerahisisha!
Ndiyo, DukaPoint! Ifahamu DukaPoint… programu inayorahisisha utunzaji na upatikanaji wa kumbukumbu za biashara yako mahali popote, wakati wowote kupitia smartphone au kompyuta yako!

• Tunza kumbukumbu za mauzo, manunuzi, stoku, wateja na matumizi ndani ya duka lako.
• Fahamu bidhaa zinazofanya vizuri zaidi kimauzo
• Fahamu wateja wako bora zaidi kila mwezi
• Pata taarifa ya bidhaa zinazokaribia kuisha
• Pata takwimu za mauzo na manunuzi
• Jua faida na hasara
• Uza kwa haraka na kwa kujiamini bila kupoteza muda mwingi katika kufanya mahesabu

Nawezaje kupata programu hii?
Hakuna haja ya kudownload... tembelea website yetu(tucheck whatsapp 0785453830 kupata link), chagua kifurushi, jisajili, na upate siku 14 za kutumia DukaPoint bure!

Kisha ni mwendo wa… kamserereko!
 
Back
Top Bottom