Duka la kuuza Movie

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Habarini wanajamii.

Mi ni kijana ambaye nina wazo la kuanzisha Duka la Movie hapo baadae miez miwil ijayo.. Movie za Kibongo Na Nje.

Nipo mahali pazur kuna wingi wa watu na kuhusu sehemu ya Kuuzia ipo tayari.

Sasa ninataka kujua kwa wale ambao wameshafanya biashara hii au wenye mawazo pia kuhusu hili wanisaidie. Je! Challenge gani unaweza kukutana nazo na Faida pia ikoje.

Asanteni, nakaribisha mawazo yenu.
 
Faida utaijua pale tu utakapomaliza angalau mwezi mmoja katika hiyo biashara. sijui utaweka na pilau?
 
jitayarishe kushuhudia wamachinga wakikuletea movies hizo hizo unazoziuza dukani mwako kwa bei iliyo chini kwa 70%

all the best
 
Pia jitahidi kufanya wide research kabla ya kufungua maana ikiwa haitoki biasiara yenyewe utajuta kuifanya
 
original movies kutoka nje bei yake si chini ya usd30 that is tsh 45,000 sasa jiulize mbongo gani atanunua kwako aache kununua kwa machinga mwenye collection kama kumi hivi za actor huyohuyo. Bora ungeuza hata maji, juice au cola za azam itakulipa kuliko hiyo biashara.
 
Bei nitakayouzia ni kawaida na Yao! Mana Huku nilipo ni Sh.3000 kwa collection na za kibongo ni 5000 kwa part zote mbili.,hizi ni bei ambazo wateja wananunulia.. Kuna wakala wa Steps ambae anauza kwa jumla, ambapo wauzaji wa rejareja wanachukua pale..

Kuhusu za nje kuna wahindi wanaziuza kwa bei poa tu ya jumla.
 
mkuu. je uko wapi?.
 
mkuu biashara ya movie za collection sasa iko katika mabaridiko makubwa sana watu hawataki movie za english badala yake wengi wanapendelea movie zilizotafsiriwa kwa kiswahi na ma dj wa kibongo, dj wanaempenda zaidi ni mr rufufu mkandala, pia dj khan na dj mark.hivyo collection za kiingereza zimeanza kudorola sana.pia soko la movies za kibongo zinataka uwe na uzoefu mzuri sna, kwani kwa wastani kila siku kuna movie zaidi ya tano mpya zinatoka. mie niko ktk industry hii naijua vema biashara hii.ila ukijipanga vema bado pesa ipo.ila inataka uzoefu mkubwa sana, ujue jinsi ya kucheza na soko, vinginevyo unakuwa unacheza hasara tu.
 
Bei nitakayouzia ni kawaida na Yao! Mana Huku nilipo ni Sh.3000 kwa collection na za kibongo ni 5000 kwa part zote mbili.,hizi ni bei ambazo wateja wananunulia.. Kuna wakala wa Steps ambae anauza kwa jumla, ambapo wauzaji wa rejareja wanachukua pale..

Kuhusu za nje kuna wahindi wanaziuza kwa bei poa tu ya jumla.

Mkuu BONGO nachukua movie za nje collection kwa mia nane hadi buku. za bongo nachukua kwa buku jero hadi buku na mia saba.
 
mwanangu nakushauri hiyo biashara uipige chini utafute nyingine maana hiyo kulipa kwake ni kugumu sana

Kumshauri aache hii biashara pasipo kuangalia business model yake ni kumkatisha tamaa. Kama kama unaona una solid proposal nakushauri ukomae.

Mimi nadhani hii biashara ya movie sababu tuu wengi mnaotazama mnaangalia juu juu. Lakini hapa kuna opportunity kubwa sana. Nitakupa mfano, kisha nitakwambia why am not interest.

Kuanzisha kiosk cha movie lazima uwe na maono ya mbele, kumbuka dunia inapokwenda viosk haviwezi kuwa na deal, so dawa kuwakatia denge mbele kwa mbele, how? Kama unaweza tengeneza website ambayo ipo advance, kisha kamata server za kutosha, kisha nunua license za kuonyesha movie zao kwenye web base with a promise of paying royalty on monthly basis. Mfano, unakubaliana na kampuni yenye right za movie kwamba kama mtu atazama movie at the portal i will pay 7%. Then wewe una hussle kuregister watu kwenye web portal yako ambao watakulipa monthly payment ya kutazama movie either unlimited or kwa package. Hii unaweza kufanya partnership na watu wa ving'amuzi ukawa una link customer wako through this partnership.

I think this is very realistic. Why I am not doing? I am a big religious believer and most of this movie destroy our society. So, this is more from a moral basis.
 
na wewe ushauri wako umeegemea upande wa wateja wenye access na internet tu ambao most of them wana ignore hizi movie za kibongo na zilizotafsiriwa due to my general analysis i came to realise that hii biashara inaweza kuwa nzuri hasa kipindi hiki ambapo vin'gamuzi vinasumbua na sio kila mtu anaweza kuweka DSTV.
 
anzisha bt isiwe maeneo ya majiji kama dsm,mwanza,arusha nenda mikoani kama shy,tabora bongo movie pat 1 and 2 elfu 10 au 8 collection kukodsha buku kuuza 3000 nliwahi fanya hii shy ilinlipa.
 
Back
Top Bottom