Mkuu unaogopa asije kukuingia au kukugonga???Sijui kwanini nimefungua hii picha aiseeee....
mbaya zaidi nipo bed ndio najiandaa lala
Huyo ni GABOON VIPER, ni kundi la BITIS na sifa yao ni kuzaa.Ni kweli mkuu hata mm ninawafuga ni jamii hii wanataga mayai 200_260 kwa kweli ni raha na ni mfugo usio na shifa pia kitoweo chake ni safi