jchofachogenda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 537
- 123
Huyu dogo Diamond anavyosakamwa na magazeti pendwa!(magazeti ya udaku), ataogopa hata kusalimiana na msichana barabarani.
Huyu dogo Diamond anavyosakamwa na magazeti pendwa!(magazeti ya udaku), ataogopa hata kusalimiana na msichana barabarani.
E bwana hata mie nilishawahi juiliza same question. Ila nakushauri u-google. Ni mwanamuziki wa bongo flavor, sina hakika kama ni mtanzania. Ila nyimbo zake zinapendwa sana na vijana kama facebook!who is diamond by the way? and who is that girl?
ni mwanamziki wa kawaida sana ila anapandishwa chati na wandishi wa habari wasio makini kusaka habari zenye manufaa kwa taifa
Diamond ni Mwanamuziki anaekamua sasa hivi si Tanzania bali Afrika mashariki nzima. Ni kijana kada wa CCM.