Duh! Huku kwetu balaaa!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Mitaa hii kulikuwa na vumbi jingi lililokuwa linatimka kiasi kwamba mvua ilivyoanza kunyesha yakawa yanashuka matone yenye matope!
 
yaani, ukinyeshewa mvua kama umevaa shati jeupe linachafuka!
 
Back
Top Bottom