duh! bungeni tena.

Ni DOWANS tena. Kalianzisha Kafulila, Machali kalikoleza. Mwenyekiti ni Mabumba. Mbovu kama nini.
 
Jamaa, kataka Mh. kafulila atoe ushahidi wa wazi, kwamba serikali imechochea kushinda kwa Dowans na kushindwa kwa serikali katika sakata la kulipwa kwa fidia Dowans. Swali hilo aliuliza mh. kafulila, na kuhaidi kwamba yupo tayari kutoa ushahidi,
Ndipo Mh. machari alipoomba mwongozo wa spika, ili kafulila aweze kutoa huo ushahidi, ila AG kamlazimisha spika, mwenyekiti kupanch hiyo issue na kweli jamaa kapanch tayari.
 
Ni DOWANS tena. Kalianzisha Kafulila, Machali kalikoleza. Mwenyekiti ni Mabumba. Mbovu kama nini.
Nimesikitishwa sana na maelezo ya Werema. Hasara ya mabilioni anasema swala hilo halina maslahi yoyote?
 
Kwani hujui kuwa Werema ndio haohao? Tumeumia! hakuna kiongozi ambae yupo kwa maslahi ya nchi
 
Wanasheria ndiyo walioangamiza taifa kwenye maswala nyeti katika nchi hii, dowans, mgomo wa walimu, madaktari, rada, ¿ ukiwa fisadi tz wewe ndio shujaa.
 
Issue zote amabazo ni tata na muhimu zimepelekwa mahakamani,huko zinachukua muda mreefu bila majibu ya haraka,lengo ni kuzuia mjadala wowote kuhusu madudu hayo.maana utajibiwa hilo swala lipo mahakamani haliwezi kuongelewa na mhimili mwingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom