Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Swala la maofisa wa kenya kuwakamata baadhi ya wanafamilia
wa emirates imeingia katika hatua mpya baada ya uongozi wa emirato
kutuma waraka unaoonyesha wakenya watakaoruhussiwa kuingia dubai ni wale
wenye degree zao tu na tena waje na certificate origin ..warak huo umeshtua na waziri wa kenya akishirikiana na baadhi ya viongozi wa immigration
kunyanyuka na pipa leo kuelekea dubai kusuluhisha..natumaini walichukua vyeti
vyao maana sheria inaanza leo....
Baadhi ya wakenya walioulizwa walidai sie atuna shida wao ndio wanataraji watu wengi kutoka nje so kama wanaona vipi poa wakae kivyao na si kivyetu.,mwingine alisema unajua watu wengi wa emirates proff wanatokea nje ya nchi yao,mi nawafanyiaaaga kazi ya kutafuta wafanyakazi zaidi ya mia kila miezi sita...............................................................jamani nimesikia kwenye bbc jion hii mmh mwili ulisisimka nkasema mungu asaidie isije tanzania hiyo shweria.....madada zetu wale waliojazwa na mapredeshe sijui watanunulia wapi mizigo yao....nshatema mate chini
mungu tusaidie tanzania