Dubai tumesaini nao mikataba ya maendeleo zaidi ya 30. Watanzania wanaopenda Maendeleo tumieni fursa alizotuletea Rais Samia

Na amejtahidi kuuweka uwazi lakini hofu tu ya baadhi ya watu muhimu kuboresha vipengele vyenye utata.
Kuna watu walikuwa na hofu kama hii wakati hayati Mkapa alivyoleta FDI za SA lakini nyingi zinafanya vizuri mpaka leo
 
Nawashangaa sana Tanzania chamber of Commerce na BET ambao ndiyo wanashughulikia mambo ya biashara baina ya Tanzania na nchi za nje...
Aisee.

Wekeni wazi orodha ya mikataba yote tuifahamu.

Ukute kuna mambo ya ajabu sana hayajulikani bado
 
Samia Suluhu
Kuhusu mikataba ya nchi na nchi ya kuzingatia
1. Iwe na faida kwa nchi zote
2. Ilinde rasilimali za nchi kwa faida ya vizazi vijavyo
3. Isiwe kwa sababu viongozi wamepewa tender na halua na kufifisha kuona kwao mbele
 
Waarabu ni Washenzi tu hakuna Maendeleo , Kama unawapenda sana waarabu wapeleke wakawekeze nyumbani au shambani kwako.
 
Kuhusu mikataba ya nchi na nchi ya kuzingatia
1. Iwe na faida kwa nchi zote
2. Ilinde rasilimali za nchi kwa faida ya vizazi vijavyo
3. Isiwe kwa sababu viongozi wamepewa tender na halua na kufifisha kuona kwao mbele
Hayo unayasema wewe kwa kuwa umejazwa ujinga.

Hakuna mkataba wa nchi na nchi usiolindwa Kimataifa.

Ndiyo maana umeona wazungu wanadai mipesa chungunzima tulivyowabadilishia mikataba ghafla wakati wa mwendazake. sasa zinatutokea puani.

Mikataba ya kimataifa haina kuandikwa vizuri wala vibaya. Pande zote mboili zinalindwa Kimataifa.

Au huelewi kuwa sasaa hivi Tanzania tunahenyeshwa kwa mikataba tuliyoiandika wenyewe na sheria tuliozitinga bungeni kwetu?

Ni ujinga wetu umetuponza, ulevi wa madaraka, ulitufanya tudhani tukibadilisha sheria zetu bungeni ndiyo tumewaweza Kimataifa.

Na huo unaousema wewe ni ujinga tu, hakuna zaidi.
 
Toka lini Mwarabu akakupa fursa,,wanauana Huko baharini wakikimbilia Ulaya kila Siku,,Wasiria na walibya...au Hujui,,Elimu Elimu Elimu,,
 
Mama alisaini mikataba zaidi ya 36 mwezi wa pili mwaka huu kule Dubai.
JamiiForums-1957254544.jpg

Na baada ya kusaini kule Dubai mazungumzo mengine yalifuatia baada ya ujumbe mzito kuwasili Dodoma na kufanya mazungumzo ya kina na pia kusainiwa kwa "MoU" kadhaa za uwekezaji.View attachment 2728905
Baada ya hapo ndio ikaanza sasa hii mikakati tunayoiona ikiendelea kwa kasi.
Ni kwamba DP-WORLD ni chanzo tu.
Lakini bado kuna "ENOC" Ambayo itahusu masuala ya Umeme na kisha kufuatiwa na mingine 34 kwa idadi.View attachment 2728911View attachment 2728913View attachment 2728914

"Samia’s administration has made the UAE a top target of its international economic diplomacy agenda.During an official visit to Dubai in February 2022, she made a personal appearance at the Expo Dubai festival.36 bilateral MoUs were signed between Tanzania and UAE authorities for total investments of $7.49 billion.The deals involved energy, agriculture, tourism, infrastructure and transport technology sectors."

Source:the Citizen Newspaper

Huo ndio ukweli halisi....
Mlale unono!
 
Back
Top Bottom