DStv hawatutendei haki sisi wapenzi wa Basketball Tanzania

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Walaji wa kikapu DSTV hasa NBA,

Tumebaguliwa sana maana michezo mingine inapatikana hata kifurushi cha chini kabisa. Lakini basketball inaanzia compact plus ambayo ni ghali sana.

Tuamshe kampeni ya kuwajulisha sisi wapenda kikapu hatufurahiswi na hilo jambo,tunaomba watufikie kwa kutuongezea wigo wa channel za kikapu pamoja na kutupa unafuu wa kutazama NBA kwa vifurushi vya chini hatakama kwa mechi chache.

Tuwakumbushe DSTV kutupunguzia gharama za kutazama NBA kutoka Espn2 kuja espn kongwe,lkn pia ikiwezekana espn hiyo ishushwe kwenye kifurushi cha family kabisa.

Huwa nahangaika nao sana wakijipigisha visimu vyao vya idara ya wateja.

Huenda tukitoa wengi maoni hayo yata saidia mchakato
 
Dstv hata ulipe kifurush cha million moja EATV huipati.
Asee hawa jamaa ni wanyonyaji.
Local channels nyingi wao ni za nalipo vingamuzi vingine ni bure.
Kifurush kikikata unambulia TBC1.
Redio FM nyingine hata ulipe kifurush cha million huzipati.
Azam media fanya mambo onyesha EPL na EUFA CL kaburu arudi alipotoka.
Multichoice Yupo kwenye industry ya digital market muda mrefu cha ajabu anashindana na AZAM, STAR TIMES na CONTINENTAL.
 
Walaji wa kikapu DSTV hasa NBA,

Tumebaguliwa sana maana michezo mingine inapatikana hata kifurushi cha chini kabisa. Lakini basketball inaanzia compact plus ambayo ni ghali sana.

Tuamshe kampeni ya kuwajulisha sisi wapenda kikapu hatufurahiswi na hilo jambo,tunaomba watufikie kwa kutuongezea wigo wa channel za kikapu pamoja na kutupa unafuu wa kutazama NBA kwa vifurushi vya chini hatakama kwa mechi chache.

Tuwakumbushe DSTV kutupunguzia gharama za kutazama NBA kutoka Espn2 kuja espn kongwe,lkn pia ikiwezekana espn hiyo ishushwe kwenye kifurushi cha family kabisa.

Huwa nahangaika nao sana wakijipigisha visimu vyao vya idara ya wateja.

Huenda tukitoa wengi maoni hayo yata saidia mchakato
Si mnasema dstv sio ya walalamikaji? Lipia mkuu
 
Back
Top Bottom