Drones yalipua kiwanda cha kijeshi Moscow, Urusi ndani ndani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,671
48,445
Alishaonya rais wa Ukraine, mtasikia mashambulizi ndani ya Urusi......haya

Siku hizi ukimwaga mboga, hatumwagi ugali, tunatafuta mboga nyingine...

The number of people injured in an explosion at an industrial plant northeast of Moscow has increased to at least 45, the administration of the Sergiev Posad city district said on Telegram. Six of the injured are in intensive care, the post said.

Emergency services said the blast appeared to have occurred in a warehouse containing pyrotechnic equipment, the state news agency TASS reported.

Russia’s Investigative Committee has opened a criminal investigation into the incident.

“In the urban district of Sergiev Posad, a criminal case has been opened on the fact of an incident at one of the factories, as a result of which people were injured,” the investigative committee said.

A representative from the Investigative Committee told TASS news agency that suggestions of an unmanned aerial vehicle (UAV) attack on the plant have not been confirmed. The true cause of an explosion is being determined by authorities, they said.

"As for the explosion, it was very powerful. And now the operational services are engaged, investigating. I cannot comment on what it was, because journalists traditionally ask the question: was it a blow from above or an explosion inside — this is done by specialists," the governor of the Moscow region, Andrei Vorobyov, told RIA Novosti in an interview.

“One thing is clear, that the explosion was powerful, and it was in the pyrotechnics workshop," he added.

Earlier Wednesday, Russian state news agency RIA Novosti, citing local authorities, reported that the source of the detonation in the explosion at the industrial plant was a pyrotechnics warehouse rented by a third company on the site of the plant. The cause of the explosion is a violation of technological processes, they added.

The explosion occurred at Zagorsk Optical and Mechanical Plant in the area of the boiler room, Russian state news agency TASS reported, citing local emergency services.

The plant is a developer and manufacturer for optical and optoelectronic devices for the military, law enforcement agencies, industry and healthcare.
 
Nakwambia kila siku kwamba umezidi sana kwa uongo, kulipuka kwa bahati mbaya kwa viwanda vinavyozalisha type ya kemikali za vilipuzi kama hivyo ni kawaida sana - Uchina imetokea mara nne , Merikani mara mbili nadhani Urusi hii ni mara ya pili - sasa wewe unaona ajabu gani??
 
Hakuna aliyetegemea kama Ukraine ataweza kupiga ndani ya Russia Kwa jinsi watu tulivyokuwa tunamwogopa Putin kumbe Putin mwenyewe ni Fala Tu kama mafala wengine
Merikani ilipopigwa kifara ndani ya Taifa lao na vijana majasiri wa kiarabu kwa kulenga vitega uchumi vikuu vya Merikani, na raia zaidi ya 3,200 kupoteza maisha mbona mlikaaa kimya???

Yaani mpaka Pentagon inatandikwa kifara kabisa na vijana wa kiaarabu.

Yaani taifa linalo jifanya lenyewe zaidi kijeshi na kiulizi Dunia na na nyie mnaona hilo lilikuwa ni jambo la kawaida sana!!! Karibu hata Ikulu ya Merikani ipigwe na vijana hao wa kiarabu, Bush Jr,Condeleza Rice, Dicky Chenney pamoja na majigbo yao yote siku hiyo walikimbizwa kwenda kufichwa kwenye mahandaki ya zege mpaka walipo hakilishiwa kwamba hali sasa ni shwali wanaweza kutoka mahandakini na kuja nje -busara za abiria na ujasiri wao wa moja ya ndege ambayo vijana wa kiarabu walilenga kuitumia kushambulia Ikulu ndio raia wakahamua kupigana na vijana wa kiarabu mpaka ndege ikaanguka mbali kidogo na eneo la Ikulu hivyo kunusuru White House isibamizwe kwa ndege ya abiria iliyokusidiwa kuwaua viongozi wa Merikani.

Sasa nikiona baadhi ya members wanakuja hapa na stori za Abunwasi za kudai eti jeshi la USA ndio Mungu wa Duninia ndio huwa siwaelewi kabisa, wanajifanya kusahau kisa hiki cha aibu.
 
Merikani ilipopigwa kifara mdani ya Taifa lao na vijana majasiri wa kiarabu kwa kulenga vitega uchumi vikuu vya Merikani mbona mlikaaa kimya???

Yaani mpaka Pentagon inatandikwa kifara kabisa na Taifa linalo jifanya lenyewe zaidi kijeshi na kiulizi na nyie mnaona hilo. lilikuwa jambo dogo sana!!! Karibu hata Ikulu ya Merikani ipigwe na vijana hao wa kiarabu, Bush Jr,Condelerza Rice, Dicky Chenney pamoja na majigbo yao siku hiyo walikimbizwa kwenda kufichwa kwenye mahandaki ya zege mpaka walipo hakilishiwa kwamba hali sasa ni shwali wanaweza kutoka mahandakini na kuja nje -busara za abiria na ujasiri wao ndio ulinusuru White House isibamizwe kwa ndege ya abiria iliyokusidiwa kuwaua bionhozi wa Merikani.

Sasa nikiona baadhi ya members wanakuja hapa na stori za Abunwasi za kudai eti jeshi la USA ndio Mungu wa Duninia ndio huwa siwaelewi kabisa wanajifanya kusahau kisa hiki cha aibu.
Miaka 20 imepita unaileta hapa na haiwezi kutokea tena lakini huyo nabii wako Putin anakula bano hata kipindi hichi hichi
 
Miaka 20 imepita unaileta hapa na haiwezi kutokea tena lakini huyo nabii wako Putin anakula bano hata kipindi hichi hichi
Mimi nime counter uongo wenu - kusema hilo lilitokea miaka 20 iliyo pita ni immaterial - swali ni: Je walipigwa na kudhalilishwa au hapana - yaani vitega uchuminavyo tegemea "trade centers" vinaporomoshwa kama domino, Wizara ya Ulinzi inapigwa, Ikulu inakoswa koswa kidogo nyie hilo mnaliona ni jambo la kawaida kwel?

FYI Dunia nzima inajuwakwamba wanajeshi wanao pihana huko Ukkraine majority no NATO troops walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanajeshi wa Ukraine waliokuwa trained na NATO tangu 2014 karibu wote wamekwisha uwawa na kubakia asilimia 20% tu - sasa kwa kuwa Zelensky ana roho ngumu kama paka haya wa Ukkraine wakifa wote yeye anaona sawa tu mradi amfutahishe Biden kwa kitumia Ukraine kufanyia majaribio ya silaha za NATO Waukraine wanatolewa. kafara na Senselessky na wala hajali.
 
Kwamba miaka yote havikulipuka vikasubiri 2022-2023?
Jibu lako ni too illogical "eti vinasubiri mwaka au mwezi how do you mean??all you need is an electric spark or similar stuff to trigger massive explosion depending on quantity.

Im dead sure ulijua namaamisha nini lakini basi tu binadamu wengine ni argumentative by default - nimesema kwamba accidents zinazo sababishwa na pyrotechinc si peculiar kwa Urusi tu hata Merikani imewahi kukumbwa na tatizo hilo mara mbili na kusababisha uharibifu mkubwa mbona huo hamusemi, Uchina umetokea mara nne, kama sikosei hata Korea Kasikazini iliwahi kutokea sijui mara ngapi,juzi juzi hapa hata kiwanda kimoja huko fat east Thailand kama sikosei - now my million dollar question for you, is: why pick on Russia and Putin.
 
Merikani ilipopigwa kifara ndani ya Taifa lao na vijana majasiri wa kiarabu kwa kulenga vitega uchumi vikuu vya Merikani, na raia zaidi ya 3,200 kupoteza maisha mbona mlikaaa kimya???

Yaani mpaka Pentagon inatandikwa kifara kabisa na vijana wa kiaarabu.

Yaani taifa linalo jifanya lenyewe zaidi kijeshi na kiulizi Dunia na na nyie mnaona hilo lilikuwa ni jambo la kawaida sana!!! Karibu hata Ikulu ya Merikani ipigwe na vijana hao wa kiarabu, Bush Jr,Condeleza Rice, Dicky Chenney pamoja na majigbo yao yote siku hiyo walikimbizwa kwenda kufichwa kwenye mahandaki ya zege mpaka walipo hakilishiwa kwamba hali sasa ni shwali wanaweza kutoka mahandakini na kuja nje -busara za abiria na ujasiri wao wa moja ya ndege ambayo vijana wa kiarabu walilenga kuitumia kushambulia Ikulu ndio raia wakahamua kupigana na vijana wa kiarabu mpaka ndege ikaanguka mbali kidogo na eneo la Ikulu hivyo kunusuru White House isibamizwe kwa ndege ya abiria iliyokusidiwa kuwaua viongozi wa Merikani.

Sasa nikiona baadhi ya members wanakuja hapa na stori za Abunwasi za kudai eti jeshi la USA ndio Mungu wa Duninia ndio huwa siwaelewi kabisa, wanajifanya kusahau kisa hiki cha aibu.
Huu mfano wako sio HAI kwasababu shambulio la kigaidi halifanani na vita ya nchi Kwa nchi kumbuka hata hao Russia walishapoteza watu wengi kwenye shambulio la kigaidi pale Petersburg (tafuta historia juu ya tukio Hili) ndiyo maana shambulio la September 11 linaitwa ugaidi na sio vita
 
Nakwambia kila siku kwamba umezidi sana kwa uongo, kulipuka kwa bahati mbaya kwa viwanda vinavyozalisha type ya kemikali za vilipuzi kama hivyo ni kawaida sana - Uchina imetokea mara nne , Merikani mara mbili nadhani Urusi hii ni mara ya pili - sasa wewe unaona ajabu gani??
hiki kilicho ripuka sasa hiv ni kiwanda cha kemikali mbona unapotea mzee siku hiz mnatwangwa uko uko moscow
 
Mimi nime counter uongo wenu - kusema hilo lilitokea miaka 20 iliyo pita ni immaterial - swali ni: Je walipigwa na kudhalilishwa au hapana - yaani vitega uchuminavyo tegemea "trade centers" vinaporomoshwa kama domino, Wizara ya Ulinzi inapigwa, Ikulu inakoswa koswa kidogo nyie hilo mnaliona ni jambo la kawaida kwel?

FYI Dunia nzima inajuwakwamba wanajeshi wanao pihana huko Ukkraine majority no NATO troops walio valia uniform za jeshi la Ukraine - wanajeshi wa Ukraine waliokuwa trained na NATO tangu 2014 karibu wote wamekwisha uwawa na kubakia asilimia 20% tu - sasa kwa kuwa Zelensky ana roho ngumu kama paka haya wa Ukkraine wakifa wote yeye anaona sawa tu mradi amfutahishe Biden kwa kitumia Ukraine kufanyia majaribio ya silaha za NATO Waukraine wanatolewa. kafara na Senselessky na wala hajali.
Ungetaka Zelensky ajisalimishe kwa mrusi?
 
Back
Top Bottom