Dress Code Za Wanaume Nisizopenda

Hahahahahahahahahahahahah
hapo kwenye kanda bongo umenichekesha sana.
Ngoja nijifiche maana ukitaka kujua ujumbe umefika au lah kaa kimya!

rutta, uongo? Sio pana kama za huyo jamaa wa inde moniiii?
 
you are wrong. So throw another rock at me for saying this. Mwanaume wa ukweli ni yule anaevaa nguo zinazomtosha vizuri, safi na smart zinazomfanya aonekane mtanashati na mwenye kujiamini. Mwanaume wa ukweli goes beyond what he is wearing. Asiwe na midevu na mikucha kama nyau. Asinuke kikwapa wala socks wala anywhere else.

i concur!!!
 
1. Kuvaa suruali za kubana.
2. Kuacha kifua wazi wakati kifua chenyewe ni deprived of flesh or on the other hand swollen with man boobs
3. Cheap jewellery
4. Wearing sneakers with soft cloth trousers. Hii ipo sana Znz halafu wanachomekea suruali kwenye socks. Makes me sick.
5. Not dressing according to age
6. Ugly belts. Those with rasta colours. Or those that don't match with the outfit.
7. Showing underwear
8. Ugly socks
9. Not wearing vests
10. Pot bellied men wearing tight tshirts that go as far as showing the shapes of their navels.
11. Very pointed shoes kama za Abunuwasi
12. Kuvaa misuruali mipana kama kanda Bongoman.
13. Kuvaa jeans zenye blingbling like you have lost your mind
Maybe am just in the mood to diss men. But whats your take on this?

Watu hatuko sawa hapa duniani. Wengi wanavaa 'cheap jewellery' kwa kuwa ndiyo uwezo wao; 'pointed shoes, belts za rangi za rasta, etc.' kwa kuwa ndicho wanachokipenda/chagua; wanachomekea soks kwa sababu ni utamaduni wao, etc. Just appreciate how diverse & wonderful the world is.
 
Namba 1 na 12 zinanipa shaka!...kama hutaki za kubana na pia hutaki pana, inamaanisha unataka yenye features zote mbili simultaneously!...then you neither hate any of 1 or 12!

Na hiyo 8, how do Ugly socks look like?...i would understand smelly or ordourous socks, not ugly!

i mean well fitting pants. Not baggy or tight.
Ugly socks are those that you will not be caught dead in. They may be made of wool and have colours that are out of this world. Kama za wacheza mpira.
 
Watu hatuko sawa hapa duniani. Wengi wanavaa 'cheap jewellery' kwa kuwa ndiyo uwezo wao; 'pointed shoes, belts za rangi za rasta, etc.' kwa kuwa ndicho wanachokipenda/chagua; wanachomekea soks kwa sababu ni utamaduni wao, etc. Just appreciate how diverse & wonderful the world is.

i appreciate your different opinion cynic.
 
Je zipi unazipenda? Halafu hizi sredi za mara wanaume wapo hiv mara wanawake wapo hiv zishaanza kuboa,sasa wewe unatembea na wabeba zege wasukua mikokoten,wauza maji,wauza bazoka!!! Njoo Huku Mlimani City ofc home a/c gari a/c ofc a/c unyunyu unakaa kwenye sharti wiki nzima achana na wabeba zegeeeee!!!!
 
madam please spare my ribs!

Usikhofu kabsa hao ni sehemu ya wanaofanya opposite sex kuwa so interesting....lol
hao huwaelezi kitu wanaishi in the world of their own. Kitu cha "don't touch me untanichafua"......nawapendaje, wanajiamini bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom