DR. Wa ukweli alikunywa maji ya babu loliondo!!! Anaumwa nini jamani???waziri waa afya anynyuz??

Salimia

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
665
103
Salamaleko.


Sisi ni wana maombi na ktk moja ya kazi zetu nikuliombea taifa sasa akuna kitu kibaya kama kuombea taifa ukijua kiongozi wako anaumwa na ujui anaumwa nini
babu wetu wa lolioondo alitufungulia mlango kwamba Dr. wetu wa ukweli alifika uko na tunambiwa wagonjwa wanakimbilia uko kama njugu

ningeomba mtusaidie kwenye maombi ya leo kwa wanaojua Dr. wa ukweli anaumwa nini tuweze kumweka maombini mungu amnusuru na kaugonjwa hako..maana sukari,presha na nk yamekuwa hatari sana kwa umri kama wake

natanguliza shukran kumbuka maombi ni silaha akuna aliesimama na maombi akataabika​
 
haumwi. Kama aliwahi kuanguka ni uchovu tu au kafunga.

By the way, nasikia kwa Babu hata wasio na watoto wanaenda kupata dawa, siyo yale 5 tu aliyotaja babu.
 
Kanywa kanywa sana! anaumwa jamani, asingekua anaumwa angefuata nini kwa babu? tumuombee tu apone labda waziri wake ataacha kutoa maagizo ya kijinga...kumzuia babu asiwape dawa wagonjwa.
 
Kanywa kanywa sana! anaumwa jamani, asingekua anaumwa angefuata nini kwa babu? tumuombee tu apone labda waziri wake ataacha kutoa maagizo ya kijinga...kumzuia babu asiwape dawa wagonjwa.

Mkono wa Tembo nimekupata mkuu. Tutapata picha zake na kuzi load humu mala moja
 
Wote waliokunywa ni wagonjwa, hopefully wamepona sasa, kwa hiyo hata yeye amepona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom