Dr. Tulia Akson - Mjumbe wa bodi ya bandari iliyovunjwa kwa ufisadi

Jina la Tulia Magu aliletewa kwenye kikapu leo kakifungua kakuta alichokikuta atafanyaje.
 
Huyu Francis Michael si ndo yule jamaa wa UD alikuwaga
akiendesha endesha sana midaharo pale Nkurumah hall, hadi
amenusulika kulambwa makofi hasa wakati wa mchakato wa bunge
la katiba. Tena walikuwa waki mtambulisha kama "Mwanataaluma"
kumeb ana cheo chake kingine kikubwa kabisa cha huko Bandarini...
\
Duu..hii ndio Tanzania bana.
 
Hilo ni fumbo ambalo hatulijui kwani nani anajua amehusika vipi kuisaidia serikali kujua uovu au katumia mwanya kujinufaisha. Huenda najiuliza hivi board kuvunjwa ni kiashiria cha wana board kuwa waovu? Na spika harusiwi kuwa mjumbe wa board? Baada ya kujiuliza hivyo nawaza tena Tulia mbona hakujiuzuru hiyo nafasi?
 
Yote ccm ni majambazi tu kama waziri wa viwanda na uchukuzi.waziri wa fedha na wote waliokuwa wizara hiyo walistahili kuojiwa.mpaka leo mnaonea VIPAPA wakati MANYANGUMI yanatesa tu.

swissme

Ni ajabu sana. Baada ya huyo Dr francis Michael kutukana kule bunge la katiba, kumbe alizawadiwa nafasi ya board member! Mtu mwenyewe hoi kabisaaa! Sasa ndo atatumika kama toilet paper.
 
Huyu jamaa anataka kutuaminisha kwamba,kwa vile kawajabishwa Katibu Mkuu Uchukuzi bhasi watendajı wote uchukuzi wawajibishwe!Mwenyekiti wa Bodi kawajıbishwa unataka ninı zaıdı.Na kuwajibısha watendaji nı swala la kawaida kiutawala na si mara zote kwamba kunakuwa na makosa yanayostahili hadhabu nyngne.
 
Itajulikana kama alishiriki au hakushiriki,aswa wizi maana unaweza kuwa ujumbe wa board lakini mijitu unafanya YAO wewe haujui, mfano makonteina yanatolewa SAA 8 usiku bandalini wewe kama mjumbe wa board utajuaje? VIKAO haviitwi vya wabunge,utafsnyaje

Mkuu kawaeleze habari hizo wakulima wa nyanya Ilula ila sio watu tunaojua jinsi Bandari
inavyofanya kazi yake. Kama katibu mkuu wa uchukuzi nae kasombwa na maji basi fahamu
kabisa hata hawa jamaa wa hii bodi walikuwa wanajua mchezo mzima kwani hizo dili
za mabilioni zaidi ya 80 hazihidhinishwi na mtu mmoja bila bodi kuwa na taalifa za dili husika.
 
naona umeanza kampeni za 2020 mapema,pole sana maana tena utakua disappointed,utazeeka ukiwa mzee mwenye hudhuni kweli moyoni,kwanini usijiunge na timu ya ushindi mkuu?
Mkuu umenichesha kweri,muongo mzima utapita jamaa anapiga propaganda humu.
 
Kwikwiiii hao hawezi kuwagusa mkuu yeye ana dili na vidagaa tuu

Kwa Akili Yako ndogo Unadhani Hiki kinachotokea Bandarini kimeibuliwa na Kina nani? Unadhani Orodha ambayo Alikwenda nayo Waziri mkuu Aliitoa wapi? Kabla hujaonyesha Utupu wako Hembu Jisitiri kwanza...
 
Back
Top Bottom