Dr Slaa na Kubenea Mfukoni mwa Lowassa!

Status
Not open for further replies.

Mzee Wa Maono

Member
Jul 18, 2011
52
10
kubenea
-alinunuliwa mtambo wa kuchapisha magazeti
-alisafirishwa kupelekwa india kutibiwa
-analipwa sh.300,000 kila anapowaandika akina jk na sitta vibaya

slaa
-anapewa orodha mpya ya mafisadi na lowassa
-alimsaidia kutetea kesi yake n aliyoshitakiwa kuchukua mke wa mtu
-ndio sababu hamtaji kwenye orodha zake feki za kifisadi
-ameundiwa mtandao na lowasa wa kuwatambua ccm wanachofanya kibaya.
-wanamtumia deus malya kufuatilia nyendo za viongozi wengi wa serikali.
 
Huyu ni yule yule asiye jua kutumia herufi kubwa na kiingerza kwake ni Maimuna. Karibu Muhadhiri aka Malaria ya Kichwa naona milembe hutaki kukaaa. Kama nchi tuna tatizo kubwa la umeme hebu acha mambo ya kwenye mihadhara yako.
 
kubenea-alinunuliwa mtambo wa kuchapisha magazeti-alisafirishwa kupelekwa india kutibiwa -analipwa sh.300,000 kila anapowaandika akina jk na sitta vibayaslaa-anapewa orodha mpya ya mafisadi na lowassa-alimsaidia kutetea kesi yake n aliyoshitakiwa kuchukua mke wa mtu-ndio sababu hamtaji kwenye orodha zake feki za kifisadi-ameundiwa mtandao na lowasa wa kuwatambua ccm wanachofanya kibaya.-wanamtumia deus malya kufuatilia nyendo za viongozi wengi wa serikali.
B4 commenting anything pliz tell me, Are you normal?
 
Lowassa Kawa Wakili!
Ndugu yangu changisha nauli uende kwa TB Joshua Ukaombewe!
Ukipona naomba na wewe utoe List yako Original ya Mafisadi!
 
kubenea
-alinunuliwa mtambo wa kuchapisha magazeti
-alisafirishwa kupelekwa india kutibiwa
-analipwa sh.300,000 kila anapowaandika akina jk na sitta vibaya

slaa
-anapewa orodha mpya ya mafisadi na lowassa
-alimsaidia kutetea kesi yake n aliyoshitakiwa kuchukua mke wa mtu
-ndio sababu hamtaji kwenye orodha zake feki za kifisadi
-ameundiwa mtandao na lowasa wa kuwatambua ccm wanachofanya kibaya.
-wanamtumia deus malya kufuatilia nyendo za viongozi wengi wa serikali.
haya yote unajua wewe? hata wewe ni mshiriki wao... kama siyo utueleze ulishiriki vipi kuyajua haya? na yalikuwa yanafanyikia wapi? lasivyo tunakukimbiza mchaka mchaka sasahivi
 
kubenea
-alinunuliwa mtambo wa kuchapisha magazeti
-alisafirishwa kupelekwa india kutibiwa
-analipwa sh.300,000 kila anapowaandika akina jk na sitta vibaya

slaa
-anapewa orodha mpya ya mafisadi na lowassa
-alimsaidia kutetea kesi yake n aliyoshitakiwa kuchukua mke wa mtu
-ndio sababu hamtaji kwenye orodha zake feki za kifisadi
-ameundiwa mtandao na lowasa wa kuwatambua ccm wanachofanya kibaya.
-wanamtumia deus malya kufuatilia nyendo za viongozi wengi wa serikali.

ugonjwa huu hauna tiba
 
Lowassa Kawa Wakili!Ndugu yangu changisha nauli uende kwa TB Joshua Ukaombewe!Ukipona naomba na wewe utoe List yako Original ya Mafisadi!
Mfuga majini huwa haombewi. Huyo ni Malaria isiyopona aka Mhadhiri wa madrassa
 
Mzee wa maono ndo kwaaaaaaanza amefikia status ya "member" kwenye jamiiforums hivyo inaonesha ni mtu mgeni kabisa humu jamvini na kwa maana hiyo anajaribu kuandika mada zitakazo mpa umaarufu ali walau atambulike kama senior member.
 
Huyu ni yule yule asiye jua kutumia herufi kubwa na kiingerza kwake ni Maimuna. Karibu Muhadhiri aka Malaria ya Kichwa naona milembe hutaki kukaaa. Kama nchi tuna tatizo kubwa la umeme hebu acha mambo ya kwenye mihadhara yako.
Asante mchungaji,huyu kondoo wako amekusikia atarudi zizini!
 
Huyu ni yule yule asiye jua kutumia herufi kubwa na kiingerza kwake ni Maimuna. Karibu Muhadhiri aka Malaria ya Kichwa naona milembe hutaki kukaaa. Kama nchi tuna tatizo kubwa la umeme hebu acha mambo ya kwenye mihadhara yako.

Rev ulijuaje huyu ni malaria sugu?
niliposoma ile post lilinijia wazo la malaria sugu
kakimbia mirembe huyu
mods mrudisheni haraka
 
kubenea-alinunuliwa mtambo wa kuchapisha magazeti-alisafirishwa kupelekwa india kutibiwa -analipwa sh.300,000 kila anapowaandika akina jk na sitta vibayaslaa-anapewa orodha mpya ya mafisadi na lowassa-alimsaidia kutetea kesi yake n aliyoshitakiwa kuchukua mke wa mtu-ndio sababu hamtaji kwenye orodha zake feki za kifisadi-ameundiwa mtandao na lowasa wa kuwatambua ccm wanachofanya kibaya.-wanamtumia deus malya kufuatilia nyendo za viongozi wengi wa serikali.
kumbe ni Masanilo napita tu
 
kubenea
-alinunuliwa mtambo wa kuchapisha magazeti
-alisafirishwa kupelekwa india kutibiwa
-analipwa sh.300,000 kila anapowaandika akina jk na sitta vibaya

slaa
-anapewa orodha mpya ya mafisadi na lowassa
-alimsaidia kutetea kesi yake n aliyoshitakiwa kuchukua mke wa mtu
-ndio sababu hamtaji kwenye orodha zake feki za kifisadi
-ameundiwa mtandao na lowasa wa kuwatambua ccm wanachofanya kibaya.
-wanamtumia deus malya kufuatilia nyendo za viongozi wengi wa serikali.
nikupe kazi ya kufanya nini mana nahc hauna kazi.....
 
wale wale wa nnauye jr. Nadhani hiki ni kipengele kimoja katika zile nyaraka za siri feki za nape.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom