Dr. Slaa: Kumkaribisha Lowassa CHADEMA ilikuwa sawa na kuweka choo chumbani

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Dr. Slaa amesema kumkaribisha Lowassa CHADEMA ni sawa kuweka choo chumbani, Dr. Huyu anatakiwa kuweka akiba ya maneno.

Dr. Wilbroad Slaa ni Mroma kwa maana muumini wa kanisa katoliki la Roma, na alikuwa padre wa kanisa katoliki na kwa mjibu wa kanisa hilo Dr. Huyo ataendelea kutambuliwa kuwa ni padre mpaka milele.

Mroma yoyote amepitia mafundisho ya katekisimu na anaelewa kuwa sakramenti ziko saba:-
1. Ubatizo
2. Kumnio ya kwanza
3. Kitubio
4. Kipaimala
5. Upadri
6. Mpako wa mwisho
7. Ndoa

Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma ambalo Dr. Wilbroad Slaa alikuwa ni muumini wake hadi kufikia kupokea secramenti ya 5 ambayo ni upadri anaelewa wazi kabisa ladda itakavyotangazwa vinginevyo anatakiwa kuishi maisha ya USEJA, kwake maisha ya ndoa siyo halali.

Kwa kuishi maisha ya ndoa naye ni padre mbaya kuliko zote mke anayeishi nae alikuwa ni mke wa mtu inamaana anakula chakula cha mtu mwingine. Chakula kimewekwa mezani kila mtu amehesabiwa lakini Dr. Slaa hajalaribishwa kwenye meza hiyo amejikaribisha mwenyewe na amechukua chakula cha mtu mwingine anakula.

Je! Kwa mktaza huu Dr. Slaa ndiyo wakumwabia Lowassa ni choo chumbani? Na Roma watamwambia yeye ni nani,ndiyo maana nikasema Dr. Huyo ajifunze kuweka akiba ya maneno.

Je! Wakija kufa wote na kwa bahati nzuri wote waende peponi kweli kwa maneno hayo ya choo Dr. Slaa atathubutu kumwangalia Mzee Lowassa usoni? Na akimwangalia basi Dr huyo atakuwa amelaaniwa.

Natamani Lowasa arudi CCM nione atasema mini........unafiki mbaya sana, hasa unapochanganya na matamanio ya tumbo.
 
Sasa choo chumbani kinatatizo gani? Ina maana yeye bado yuko katika maisha ya choo kuwa umbali wa km 1 toka chumbani? Mbona sasa hivi nyumba nyingi vyoo vipo chumbani kwa maana ya self contained? Choo ni sehemu muhimu sana na ieleweke kuwa choo sio uchafu na ni lazima kiwe kisafi sana hata ikibidi kuliko hata sehemu nyingine katika nyumba. Huyu mzee kakariri vyoo vya shimo ambavyo yeye huchungulia kuona wadudu wakilainisha kinyesi. Hopeless!
 
Dr. Slaa amesema kumkaribisha Lowassa CHADEMA ni sawa kuweka choo chumbani, Dr. Huyu anatakiwa kuweka akiba ya maneno.

Dr. Wilbroad Slaa ni Mroma kwa maana muumini wa kanisa katoliki la Roma, na alikuwa padre wa kanisa katoliki na kwa mjibu wa kanisa hilo Dr. Huyo ataendelea kutambuliwa kuwa ni padre mpaka milele.

Mroma yoyote amepitia mafundisho ya katekisimu na anaelewa kuwa sakramenti ziko saba:-
1. Ubatizo
2. Kumnio ya kwanza
3. Kitubio
4. Kipaimala
5. Upadri
6. Mpako wa mwisho
7. Ndoa

Kwa mjibu wa kanisa katoliki la Roma ambalo Dr. Wilbroad Slaa alikuwa ni muumini wake hadi kufikia kupokea secramenti ya 5 ambayo ni upadri anaelewa wazi kabisa ladda itakavyotangazwa vinginevyo anatakiwa kuishi maisha ya USEJA, kwake maisha ya ndoa siyo halali.

Kwa kuishi maisha ya ndoa naye ni padre mbaya kuliko zote mke anayeishi nae alikuwa ni mke wa mtu inamaana anakula chakula cha mtu mwingine. Chakula kimewekwa mezani kila mtu amehesabiwa lakini Dr. Slaa hajalaribishwa kwenye meza hiyo amejikaribisha mwenyewe na amechukua chakula cha mtu mwingine anakula.

Je! Kwa mktaza huu Dr. Slaa ndiyo wakumwabia Lowassa ni choo chumbani? Na Roma watamwambia yeye ni nani,ndiyo maana nikasema Dr. Huyo ajifunze kuweka akiba ya maneno.

Je! Wakija kufa wote na kwa bahati nzuri wote waende peponi kweli kwa maneno hayo ya choo Dr. Slaa atathubutu kumwangalia Mzee Lowassa usoni? Na akimwangalia basi Dr huyo atakuwa amelaaniwa.

choo kikiwekwa chumbani si ndiyo self-contained room (almaarufu masta)?
ama mimi naishi dunia nyengine?
 
Akawapigania ccm, kuwa choo kimehama kwao. Nao wakashangilia kwa kumpata na kuwapigia debe. Baada ya kumnasa, sasa wanaonyesha rangi halisi kwamba walipokuwa wakisema Lowasa ni fisadi, hawakumaanisha. Ilikuwa ni sizitaki mbichi hizi. Na sasa wanamtaka Lowasa kwa udi na uvumba. Mwenyekiti wa ccm anasema "LOWASA AENZIWE KABISA".

Kumuenzi Lowasa ni pamoja na kuwasaidia (indirectly), ccm kumnyamazisha Slaa na kumweka kapuni.

Ninatamani tu kusikia Slaa anasema nini pale chama chake kinapopanga "KUMUENZI LOWASA", na kuignore interest zake yeye Slaa baada ya kutumika.

Lowasa akirudi ccm, Slaa atahama tena?

Kweli wanawake wanatumiwa sana na shetani kuharibu hatima za mambo. Wanaume tunapashwa kuishi na hawa wanawake wetu kwa akili.
 
Mbona nyumba nyingi za kisasa zina vyoo vyumbani (Self Contained)! Hoja yake haina mashiko.
 
Pamoja na kuwa simkubali Lowassa, ukweli ni kuwa chumba cha kisasa lazima kiwe na choo.....
 
Back
Top Bottom