Dr Slaa jaribu UKWELI na UUNGWANA utakusaidia

jamani mi nimesema naogopa kuchangia chochote hapo!! Labda ningeuliza hivi Dr. alishajiuzulu CBM kule naniliu?
 
Msameheni Kamarade, ana ujumbe muhimu kwa Dr. Slaa, tatizolake dogo ni ameshindwa kujenga hoja thabiti ya kufikisha hicho alichotaka kusema.
Ila pia nami binafsi nakubali, Dr. Slaa bado anatakiwa kusema zaidi ya alichokisema ili wale wenzangu na mimi wa elimu ya ngumbaro tumwelewe.

Hii satatement ya "Kikwete's Presidency ni Lawful it is Illegitimate." haina maana yoyote kwa mkulima wa Tandahimba, ama Ibela Milunda aliyempa kura Dr. Slaa. Kwa uelewa finyu wangu wa sheria, hakuna lawfulness kama kuna illegitimacy tena kisheria, kitu ambacho kina illegitimacy ya kisheria, hakipaswi kuwepo kabisa kiitwa 'nul and void ab-initio'.

Kwenye ile thread yangu iliyobeba kicha cha habari 'Chadema Hawajajipanga', japo nilishambuliwa sana, nilimuomba Dr. Slaa sio akubali matokeo, bali a bow down kuwa more humble kwa kuwashukuru hao milioni mbili waliomchagua, awe bold enough kutoka hadharani na kusema 'asante', just that!

Political playing ground is not level, Chadema walikubali kuingia kwenye mechi na kusaini rules of the game na mechi ikachezwa, nikasisitiza the right forum ya kuja mbele ya umma kupiga mchezo mchafu, sio kujifungia chumbani au kujificha uvunguni siku anapotangazwa mshindi, bali pale ndipo palikuwa mahali rasmi pa kutoa duku duku lake, Chadema wakubali, wakatae, that was a wasted opportunity ya kueleweka zaidi kuliko huku kususa kwa mtindo wa 'sitaki nataka'!.

Mtoa mada anashambuliwa kwa vile amejenga hoja yake ya kumtaka Dr. Slaa awe mkweli na muungwana wakati Dr. Slaa tayari ni mtu mkweli daima na ni muungwana sana tuu, but much more need to be done na naamini hili litafanyika as times go by!
 
well said pasco,... wameingia uvunguni, wametoa kauli zisizomsaidia wa tandahimba, nkungi na hata tanganyika masagati

given a chance, ungemshauri vipi slaa as a way forward? narrating from the day of election to today??

natanguliza shukrani zangu kwako kwa jibu muafaka
 
Msameheni Kamarade, ana ujumbe muhimu kwa Dr. Slaa, tatizolake dogo ni ameshindwa kujenga hoja thabiti ya kufikisha hicho alichotaka kusema.
Ila pia nami binafsi nakubali, Dr. Slaa bado anatakiwa kusema zaidi ya alichokisema ili wale wenzangu na mimi wa elimu ya ngumbaro tumwelewe.

Hii satatement ya "Kikwete's Presidency ni Lawful it is Illegitimate." haina maana yoyote kwa mkulima wa Tandahimba, ama Ibela Milunda aliyempa kura Dr. Slaa. Kwa uelewa finyu wangu wa sheria, hakuna lawfulness kama kuna illegitimacy tena kisheria, kitu ambacho kina illegitimacy ya kisheria, hakipaswi kuwepo kabisa kiitwa 'nul and void ab-initio'.

Kwenye ile thread yangu iliyobeba kicha cha habari 'Chadema Hawajajipanga', japo nilishambuliwa sana, nilimuomba Dr. Slaa sio akubali matokeo, bali a bow down kuwa more humble kwa kuwashukuru hao milioni mbili waliomchagua, awe bold enough kutoka hadharani na kusema 'asante', just that!

Political playing ground is not level, Chadema walikubali kuingia kwenye mechi na kusaini rules of the game na mechi ikachezwa, nikasisitiza the right forum ya kuja mbele ya umma kupiga mchezo mchafu, sio kujifungia chumbani au kujificha uvunguni siku anapotangazwa mshindi, bali pale ndipo palikuwa mahali rasmi pa kutoa duku duku lake, Chadema wakubali, wakatae, that was a wasted opportunity ya kueleweka zaidi kuliko huku kususa kwa mtindo wa 'sitaki nataka'!.

Mtoa mada anashambuliwa kwa vile amejenga hoja yake ya kumtaka Dr. Slaa awe mkweli na muungwana wakati Dr. Slaa tayari ni mtu mkweli daima na ni muungwana sana tuu, but much more need to be done na naamini hili litafanyika as times go by!

Kuna usemi usemao " Kitanda hakizai haramu". Ningeweza kusema sheria zetu zinatia rais haramu. This is a simple statement i normally use to explain.

Naweza kuzaa na mke wa mtu lakini yule mtoto atabakia tu kuwa mtoto ila njia za kumpatia yule mtoto ndo sio halali.
 
Well said....... Tatizo sio Dr. Silaha, bali sheria zetu hivyo basi mtoto atabakia mtoto maana yake sirikali itabakia sirikali na itatuongoza , na njia za kumpata huyo mtoto sio halali maana yake ni kwamba sirikali yetu ilivyopatikana sio halali, mwenye akili aelewe,usipoelewa hapa tena we basi......
 
Taratibu udikiteta unaelekea mwisho nguvu ya umma inafanya kazi wasomi kama akina shivji, rioba, lwaitama, na wengineo sasa wanaongea kweli mpaka mwisho. Tutawaumbua tuuuuuuuuuu wanafiki wote. Hongera chadema hongera slaa hongera mbowe matunda tunayaona
 
Huyu bwana anasumbuliwa na mazoea ya kuwa na katiba inayowafanya watawala wetu kuwa mungumtu. Kama alifuatilia kampeni za chadema, chama hicho kilikuwa kimepania kuibomoa dhana hiyo katika siku 100 tu za kuingia madarakani, na kuweka mfumo unaomfanya hata rais hawajibike kwa wananchi. Kukiwepo mfumo wa namna hiyo suala la ni kiongozi yupi anapanga huko Ikulu halitakuwa la msingi, maana akivurunda ataondolewa tu, kinyume na sasa ambapo anaweza kutumia dola kusalia madarakani.
 
Huna mshiko tene mchovu. Hupati umaarufu kujadili DR. Slaa. Jadili CCM kwa kuwatahadhalisha wawe wakweli.
 
KAMANDE u r grown stupid adult, do u mean ww ndio mkweli au muungwana more than
Dr. Slaa? we all trust him, uko hapa kuchafua tu, u r sick mentally and physically too,
peleka ugonjwa wako far away from CDM, r u teaching Dr Slaa this ukweli & uungwana?
U r such a political prostitute, shame on you, Dr. Slaa is the only hope we TZs we have period.
 
Wote tunajua kuwa moja ya sababu kubwa ya watanzania wengi hasa wale wenye upeo wa kiasi fulani kuhusu siasa zetu na historia ya harakati za demokrasia ya vyama vingi hadi sasa kushindwa kuamini katika ukombozi wa CHADEMA ni sura ya chama hicho inayowakilishwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Kwa mtazamoa wa wengi wajuvi wa siasa zetu lakini hata wale wengine wasio na kujua sana, Freeman Mbowe si mwanasiasa bali mjasiria mali ambaye kwake siasa ni mtaji wa biashara zake. Lakini zaidi biashara zake hasa lile danguro la Mbowe na baadae Bilicannas, ni mzigo mkubwa kwa Chadema katika jitihada zake za kujenga imani miongoni mwa watanzania wenye nia ya dhati ya kutaka kuona tunakuwa na MBADALA BORA utakaoweza kuondoa na kutufanya tusahau HISTORIA mbaya ambayo CCM imetupitisha katika miaka ya hivi karibuni.

Hata hivyo moja ya vitu vilivyokuwa vinatupa imani kwa kiasi na CHADEMA ni kuwepo kwa mtu kama Dr Slaa ambaye wengi tulikuwa tunadhani kuwa ni mtu muungwana na muadilifu na pia wa kiasi fulani hasa upande wa vijana ni umahiri wa wabunge wake vijana wakiongozwa na Zitto Kabwe.

Wote hawa walikuwa nguzo muhimu za imani ya watanzania kwa CHADEMA. Nasikitika kusema kuwa tangia uchaguzi uliopita kuanza, nguzo hizi zimeanza ama kuregea ama kubomoka kabisa.

Ukianzia baadhi ya matamshi ya Dr Slaa wakati uchaguzi, Sakata ama kashfa ya hawara ama mke wa mtu, ukaja hoja za kutomtambua rais bila ya kutoa ama kuonyesha ushahidi wa kutosha na sasa haya yanayoaandikwa kuhusu Zitto Kabwe kwa upande mmoja na kauli za Dr Slaa zinazojaribu kukwepa ukweli kuwa msimamo wa Kamati Kuu ya Chadema ni tofauti na ule waliouita msimamo wa chama hapo awali, yote haya yanaelekea kubomoa imani kiasi ambayo watanzania waliweka katika CHADEMA.

Hapa chini ni kile kinahodaiwa kuwa ndio msimamo wa CHADEMA uliotolewa na Dr Slaa kuelezea sakata hili la sasa la Msimamo wa Kamati Kuu Vs Msimamo wao ambao inaonyesha wazi kuwa Dr Slaa anakwepa kukubali kuwa msimamo wa awali ulikuwa tofauti na msimamo wa sasa ambao umetolewa na kamati kuu.

Itakuwa vizuri kama tutajikumbusha kauli hizi hapa chini ambazo zilitolewa hapa Jamiiforum kwa kutumia ID ya Dr Slaa...

Ya kwanza ni hii ambayo ilitolewa siku ya pili baada ya wabunge wa CHADEMA kususia hotuba ya JK yaani tarehe 18/12/2010. Hi ilikuwa kama transcription ya taarifa ya Dr Slaa redioni jioni tu ya siku ile ya kumsusia JK.

Ya pili, ni hii iliyotolewa tena katika ID ya Dr Slaa siku iliyofuata yaani tarehe 19/12/2010.

Jamani. Uungwana nao waweza kuwa mtaji mkubwa kisiasa. Jaribuni hili la kukubalia kuwa tulikosea na sasa tupo tayari kujisahihisha. Hapa sio Kabwe tu atakayekuwa mshindi, Chadema na haswa Dr Slaa atarudisha na kulinda heshima yake lakini sio huu mchezo unaofanyika sasa ambao ni tofauti na fikira zetu kuhusu Dr Slaa.

watu kama ninyi tumewachoka katika jukwaa hili.upuuzi.
 
Msameheni Kamarade, ana ujumbe muhimu kwa Dr. Slaa, tatizolake dogo ni ameshindwa kujenga hoja thabiti ya kufikisha hicho alichotaka kusema.
Ila pia nami binafsi nakubali, Dr. Slaa bado anatakiwa kusema zaidi ya alichokisema ili wale wenzangu na mimi wa elimu ya ngumbaro tumwelewe.

Hii satatement ya "Kikwete's Presidency ni Lawful it is Illegitimate." haina maana yoyote kwa mkulima wa Tandahimba, ama Ibela Milunda aliyempa kura Dr. Slaa. Kwa uelewa finyu wangu wa sheria, hakuna lawfulness kama kuna illegitimacy tena kisheria, kitu ambacho kina illegitimacy ya kisheria, hakipaswi kuwepo kabisa kiitwa 'nul and void ab-initio'.

Kwenye ile thread yangu iliyobeba kicha cha habari 'Chadema Hawajajipanga', japo nilishambuliwa sana, nilimuomba Dr. Slaa sio akubali matokeo, bali a bow down kuwa more humble kwa kuwashukuru hao milioni mbili waliomchagua, awe bold enough kutoka hadharani na kusema 'asante', just that!

Political playing ground is not level, Chadema walikubali kuingia kwenye mechi na kusaini rules of the game na mechi ikachezwa, nikasisitiza the right forum ya kuja mbele ya umma kupiga mchezo mchafu, sio kujifungia chumbani au kujificha uvunguni siku anapotangazwa mshindi, bali pale ndipo palikuwa mahali rasmi pa kutoa duku duku lake, Chadema wakubali, wakatae, that was a wasted opportunity ya kueleweka zaidi kuliko huku kususa kwa mtindo wa 'sitaki nataka'!.

Mtoa mada anashambuliwa kwa vile amejenga hoja yake ya kumtaka Dr. Slaa awe mkweli na muungwana wakati Dr. Slaa tayari ni mtu mkweli daima na ni muungwana sana tuu, but much more need to be done na naamini hili litafanyika as times go by!

Umeanza vizuri , kwa ajili ya mapenzi yako kwa Slaa(huwa nasita kumwita Dr. Slaa maana Phd ilichakachuliwa, no trend halafu ni ya kanisa Canon law, nothing to do outside the church) ukalazimika kuweka statement in red contrary to ur initial stand. pole ila umejaribu kutofautiana na hao wachaga wa kibosho ambao bado wanabend kwenye ile sanamu ya mama maria pale Kibosho hosp.
 
watu mmeshindwa kumjibu kwa hoja mtoa maada ,inaonyesha wazi kabisa, kitakachoendelea ni matusi tu. Hoja iko mezani mtu anatukana tu, kama si aibu ni nini! wakareketwa wa kweli hawagusi hii maada.

mimi hayo tu sisemi chochote kile, kuwa Mbowe ni mjasiriamali, sidhani kama lina ubishi saaaaana, labda kwa wasiojua.

sijasema kitu bado!
 
KAMANDE u r grown stupid adult, do u mean ww ndio mkweli au muungwana more than
Dr. Slaa? we all trust him, uko hapa kuchafua tu, u r sick mentally and physically too,
peleka ugonjwa wako far away from CDM, r u teaching Dr Slaa this ukweli & uungwana?
U r such a political prostitute, shame on you, Dr. Slaa is the only hope we TZs we have period.

Na hawa ndio frontliners wa UKOMBOZI............
 
Kamarade, ndiyo uko ndani ya mchakato wa ccm wa kudhoofisha CHADEMA? Ndiyo mbinu ya kumwondoa Mbowe ili zito awe mwenyekiti kusudi RA na mafisadi wapate mwanya wa kudhibiti CHADEMA? Unawezaje kusema Zitto ni kiongozi wa wabunge vijana wa CHADEMA kama siyo hayo mawengewenge yenu?

Kama ni ushauri wako, upeleke ccm uwaambie hatuwataki kwa sababu hawataweza kuwa wakweli na waungwana katika maisha mafupi yaliyosalia ya chama chao.

Walokutuma waambie mkakati wa mbumefail waunde mbinu nyingine.

MWISHO NAKUOMBA UACHE KUWA PAPETI!.
 
Wote tunajua kuwa moja ya sababu kubwa ya watanzania wengi hasa wale wenye upeo wa kiasi fulani kuhusu siasa zetu na historia ya harakati za demokrasia ya vyama vingi hadi sasa kushindwa kuamini katika ukombozi wa CHADEMA ni sura ya chama hicho inayowakilishwa na Mwenyekiti wake Freeman Mbowe.

Kwa mtazamoa wa wengi wajuvi wa siasa zetu lakini hata wale wengine wasio na kujua sana, Freeman Mbowe si mwanasiasa bali mjasiria mali ambaye kwake siasa ni mtaji wa biashara zake. Lakini zaidi biashara zake hasa lile danguro la Mbowe na baadae Bilicannas, ni mzigo mkubwa kwa Chadema katika jitihada zake za kujenga imani miongoni mwa watanzania wenye nia ya dhati ya kutaka kuona tunakuwa na MBADALA BORA utakaoweza kuondoa na kutufanya tusahau HISTORIA mbaya ambayo CCM imetupitisha katika miaka ya hivi karibuni.

Hata hivyo moja ya vitu vilivyokuwa vinatupa imani kwa kiasi na CHADEMA ni kuwepo kwa mtu kama Dr Slaa ambaye wengi tulikuwa tunadhani kuwa ni mtu muungwana na muadilifu na pia wa kiasi fulani hasa upande wa vijana ni umahiri wa wabunge wake vijana wakiongozwa na Zitto Kabwe.

Wote hawa walikuwa nguzo muhimu za imani ya watanzania kwa CHADEMA. Nasikitika kusema kuwa tangia uchaguzi uliopita kuanza, nguzo hizi zimeanza ama kuregea ama kubomoka kabisa.

Ukianzia baadhi ya matamshi ya Dr Slaa wakati uchaguzi, Sakata ama kashfa ya hawara ama mke wa mtu, ukaja hoja za kutomtambua rais bila ya kutoa ama kuonyesha ushahidi wa kutosha na sasa haya yanayoaandikwa kuhusu Zitto Kabwe kwa upande mmoja na kauli za Dr Slaa zinazojaribu kukwepa ukweli kuwa msimamo wa Kamati Kuu ya Chadema ni tofauti na ule waliouita msimamo wa chama hapo awali, yote haya yanaelekea kubomoa imani kiasi ambayo watanzania waliweka katika CHADEMA.

Hapa chini ni kile kinahodaiwa kuwa ndio msimamo wa CHADEMA uliotolewa na Dr Slaa kuelezea sakata hili la sasa la Msimamo wa Kamati Kuu Vs Msimamo wao ambao inaonyesha wazi kuwa Dr Slaa anakwepa kukubali kuwa msimamo wa awali ulikuwa tofauti na msimamo wa sasa ambao umetolewa na kamati kuu.

Itakuwa vizuri kama tutajikumbusha kauli hizi hapa chini ambazo zilitolewa hapa Jamiiforum kwa kutumia ID ya Dr Slaa...

Ya kwanza ni hii ambayo ilitolewa siku ya pili baada ya wabunge wa CHADEMA kususia hotuba ya JK yaani tarehe 18/12/2010. Hi ilikuwa kama transcription ya taarifa ya Dr Slaa redioni jioni tu ya siku ile ya kumsusia JK.

Ya pili, ni hii iliyotolewa tena katika ID ya Dr Slaa siku iliyofuata yaani tarehe 19/12/2010.

Jamani. Uungwana nao waweza kuwa mtaji mkubwa kisiasa. Jaribuni hili la kukubalia kuwa tulikosea na sasa tupo tayari kujisahihisha. Hapa sio Kabwe tu atakayekuwa mshindi, Chadema na haswa Dr Slaa atarudisha na kulinda heshima yake lakini sio huu mchezo unaofanyika sasa ambao ni tofauti na fikira zetu kuhusu Dr Slaa.

Post ndeeeeeeeeeeeeeeeeeefu.

Sisomi.

Maana najua ni muendelezo wa unafikina wenu.

Dr. Slaa tulia na Josephine wako. Wewe ndiyo Rais wangu.

hawa wanachama wa Kigoma United Friend (KUF) tutamalizana nao hapa jamvini.
 
watu mmeshindwa kumjibu kwa hoja mtoa maada ,inaonyesha wazi kabisa, kitakachoendelea ni matusi tu. Hoja iko mezani mtu anatukana tu, kama si aibu ni nini! wakareketwa wa kweli hawagusi hii maada.

mimi hayo tu sisemi chochote kile, kuwa Mbowe ni mjasiriamali, sidhani kama lina ubishi saaaaana, labda kwa wasiojua.

sijasema kitu bado!

Waberoya, Msiwachanganye waTZ,

Nani kiongozi inchi hii si mjasiria mali, unataka aende ikulu au bungeni kutafuta hela kama viongozi wa CCM?. Usitudanganye sisi tunaelewa hata viongozi wengi duniani wajasiriamali. lakini issue yetu waTZ ni viongozi kuwa wezi wa mali za wananchi.

Na hatuna shida na watu wanaotafuta pesa zao kihalali, Hata hao unaowaunga mkono wewe ni wajasiria mali. wewe inataka nchi hii watu wa kuja ndo wafanye biashara tu sisi wazawa tukiwaangalia? haiwezekani hata kidog
o.
 
Kamarade, umeeleza vizuri na kinaga ubaga. Anaejifanya hajakuelewa huyo hataki tu kukuelewa.

Uliyoandika ni ukweli mtupu na anaepinga ni kwa jazba tu na kwa kuwa hataki kuamini kuwa at the end ukweli ndio siku zote una prevail.

Mawazo kama haya ni ya kupuuuuuuza tu,

Yamejaa utashi wa kifisadi.
 
Kamarade, umeeleza vizuri na kinaga ubaga. Anaejifanya hajakuelewa huyo hataki tu kukuelewa.

Uliyoandika ni ukweli mtupu na anaepinga ni kwa jazba tu na kwa kuwa hataki kuamini kuwa at the end ukweli ndio siku zote una prevail.

Mawazo kama haya ni ya Kupuuuuuuuuuuuuuza.

Yamejaa utashi wa kifasadi.
 
Back
Top Bottom