Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

Mungu mtu wa baadhi ya raia.Cheki utakavyoshukiwa

Sio kushukiwa mkuu, kuna vitu vingi vya msingi vya kujadili ndani ya CCM zaidi ya DR SLAA, CCM ndio imeshika dola kila kero na manun'guniko juu ya serikali CCM haiwezi kukwepa lawama, tatizo ni kuwa hizo kero za wananchi hazijibiwi badala yake tunasikia hadithi za Slaa kila kukicha, Slaa kawafanya nini CCM, ukweli wa maneno yake juu ya Serikali dhaifu ndio vinafanya CCM wamuandame au kuna lingine?
Mpaka leo kero za EPA, MEREMETA,RICHMOND,KAGODA na matakataka mengine kibao bado havijapatiwa majibu lakini wenye midomo mirefu (NAPE, MWIGULU na wapambe wao) wala hawatoi maelezo badala yake wana -skip na kuhamia mambo yasiyo na tija.
 
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.

- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?

LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com

I just love hawa ma-consultants wa CCM! crying like little girls huuuuuu Dr Slaa ana card....! heeeeee Dr Slaa kalipia card yake mwezi uliopita...! haaaaaaaa husikiiiiii Dr Slaa ni mamluki....! What are you going to do?

Kama Dr Slaa amekuwa analipia kadi yake ya CCM hadi mwezi uliopita maana yake ni mwana-CCM hai! Na hivyo atakuwa anafanya kazi ya CCM. Sasa, kwanini wana-CCM wanamwandama mwana-CCM mwenzao? Na kwanini CCM wanatoa 'siri' za mamluki wao (Dr Slaa). After al si yuko uwepo wake Dr Slaa CDM una manufaa sana kwa CCM maana atakuwa anawafanyia kazi CCM, right?
 
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.

- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?

LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com

SEKRETARIETI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), imejichimbia mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kutengeneza mpango mkakati wa namna ya kuendesha shughuli zao kwa mwaka huu.
Itakumbuka kuwa moja ya maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa mwaka jana, iliazimiwa kuwa mwaka 2013 ni wa kutumia nguvu ya umma kuishinikiza serikali ya Rais Jakaya Kikwete, kuwajibika kwa wananachi.
Akizungumza na Tanzania Daima jana, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, alisema mpango huo ni sehemu ya mpango mkubwa wa miaka mitano wa chama hicho ulioanza mwaka 2011 na kuendelea hadi 2016.
Alifafanua kuwa kulikuwa na minon’gono kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa baadhi ya wajumbe wakiwamo wabunge wa chama hicho, hawakualikwa kwenye kikao hicho, jambo alilodai kuwa ni uzushi.
Dk. Slaa alisema kuwa wajumbe wasiotokana na sekretarieti walioalikwa ni wale wenye majukumu maalumu ndani ya chama.
“Sisi tuna wabunge 49 na katika kikao hiki wabunge waliohudhuria ni sita, ukimuacha Mwenyekiti wetu, Freeman Mbowe na hawa wabunge wameingia kwa kofia za nafasi zao katika chama,” alifafanua.
Katibu Mkuu huyo aliongeza kuwa mkakati wanaoupanga utafika katika ngazi nyingine za chama hicho kwa uamuzi kabla ya kutekelezwa.
Kwa sasa CHADEMA imejizatiti kwa kile inachokieleza kuwa ni mikakati maalumu ya kuchukua dola kutoka kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2015.
Katika kudhibiti hilo, chama kimewataka wanachama wake kuacha kupoteza muda kwa kulumbana juu ya nani awe mgombea urais na badala yake utatengenezwa utaratibu maalumu wa wanachama kutangaza nia.
Hivi karibuni Mwenyekiti wa chama hicho, Mbowe, aliweka bayana kuwa hana mpango wa kuwania wadhifa huo wa urais na badala yake atakuwa na jukumu la kuwafunda wagombea makini watakaopeperusha bendera ya chama hicho kwa nafasi zote za uongozi wa vijiji na mitaa, udiwani, ubunge na urais.
 
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.
- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?

LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com
ONLY CRACY MINDED PEOPLE WILL KEEP ON DISCUSSING DR'Slaas CCM card ownership.Let us focus on solving WANANCHI PROBLEMS.
 
- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!

- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!

Le Mutuz
Nina wasiwasi na jinsia yako
 
Iv we le mutuz c ndo yule babu flan uliyewahi kuomba ubunge wa EA bt ukaangukia pua?!mbona reasoning capacity yako iko low sana hata kwa simple matters?,yan we n dingi zaidi ya babaangu bt unatokwa mapovu ovyo ovyo!
 
Huyu mtoto wa Malecela hana hoja, hakujifunza busara kutoka kwa baba yake. Lakini ndio watoto wa vigogo hawa, wanadhani wataendelea kuitawala nchi kwa migongo wa jina la wazazi wao. Kila siku Slaaa, Slaa, Slaa...... Leta hoja za maendeleo tutakuelewa.
 
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.

- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?

LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at
williammalecela.blogspot.com

Mkuu, Hili suala lilishazungumzwa sana, na wenye akili zao wakaliona halina maana wakaliacha. Kwa sababu hiyo sishangai kwa wewe kulileta tena humu ndani ya JF, kwa sababu kwa kufanya hivyo, umejipambanua mwenyewe kwamba wewe si mmoja wa walioliona halina maana na kuliacha. Kama ni muelewa utajua namaanisha nini.

Mkuu ninakunukuu, Mhe. Nape "yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM".
Kama ni kweli huyo Nape amepata kigugumizi gani kushindwa kuzionesha hadi leo hii? Au mchakachuo wa risiti unaendelea ili atakapotokea mbele ya vyombo vya habari akiwa na hizo risiti "mchakachuo" zionekane kulingana na uongo wake?

Na zaidi ya yote kwa nini unawataka CDM na Dr. Slaa wakanushe au wakubali kuhusu suala la kulipia kadi wakati suala ni la Dr. na si la CDM?

Na mwisho mkuu, katika kichwa chako cha habali umetumia kidhungu kwamba " CHADEMA MUST COME CLEAN NOW! Or Else!
Mimi sikijui vizuri hicho kidhungu, lakini or else, niliambiwa kwa kibantu chetu maana yake "vinginevyo.....!".
Sasa sijaelewa, ulisahau kumalizia katika maelezo yako kuonesha nini kitatokea au? Kama ndivyo malizia, nini kitatokea iwapo CDM na Dr. wasipojieleza?

Nyie wenyewe mkialala mnaota Slaa, mkiamka Slaa, mkila ugali mnamuona Slaa,mkiiiba mnaona Slaa, yaani Slaa ni tishio kwenu sana sana na hapo hajawa Amiri jeshi nawambia mtakufa kabla hajawafikia wait miaka 2 sio mbali....
 
Ile "list of shame" kule MwembeYanga ilisha-"come clean"? au uchafu mbaya zaidi ni kuwa na kadi mbili?
 
Kwa hiyo huoni tatizo CCM kuendelea kupokea ada ya uanachama toka kwa mpinzani??
Yapaswa kufukuzwa uongozi wote wa CCM kwa kushindwa kutekeleza katiba ya CCM!

- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!

- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!

Le Mutuz
 
- Kuliko wanaotaka Rais awe na Miaka 18, kuna mtu aliwahi kusema Lissu is a genius! REally?

le mutuz

Mkuu, kanusha andiko nililoliwekea wekundu huku ukitoa sababu za maana na zenye kueleweka kama unadhani na si kufikiri kwamba si kweli.

Hivi kweli kwa michango yako ndani ya JF, utaweza kujilinganisha na uwezo wa kiakili wa Lissu hata kwa umbali wa hatua mia?
 
Some people you need to open their skull and examine if whatis inside their skull is brain or watermelon
 
Mkuu tulishasoma na post zako za Facebook:

@ LE MUTUZ STRAIGHT TALK!!: Leo kuna habari njema sana kwetu CCM, kwamba Mwenyekiti wa Chadema ameamua kujitoa kugombea Urais 2015, so I told you OUR OPERATION CHAOS is working kwani our never ending online attacks zimemfanya ajipime, ok now one more to go, next on line ni Dr. Slaa, naye ni lazima ajitoe kugombea ili our best interest Zitto ndiye awe mgombea wao 2015!

- NILIWAAMBIENI HAWA HAWANA MGOMBEA URAIS 2015,
SO SASA WALE WOTE TUNAOSHIRIKIANA KUWADHOOFISHA KWA KUTUMIA MITANDAO TUZIDISHE MASHAMBULIZI KAMA ILIVYO SASA, NINALO BOMU MOJA LA KIONGOZI WAO MMOJA MAARUFU KUTAKA KUMBAKA DEMU MMOJA MAJUU NA KESI IPO MAHAKAMANI NA DOCUMENTS ZIPO, INA MAANA HUYU AKIPEWA KUGOMBEA CHADEMA AKAPATA URAIS HATARUHUSIWA KWENDA HIYO NCHI, SASA TUTAKUWAJE NA RAIS AMBAYE NI LIMITED KWENYE INTERNATINIONAL COMMUNITY? SAAFI SANA MHESHIMIWA MBOWE KWA KUJIPIMA NA KUACHIA NGAZI SASA MSHAURI NA MWENZAKO SLAA AJIPIME!!

KIDUMU CCM!

KIDUMU CHAMA TAWALA!!

HA! HA! HA! HA!

- LE MUTUZ!!

Naona ndio hivyo unatekeleza Operation Chaos. Watu wameamka hawadanganyiki.

Naona hata Mwigulu Nchemba concentration ni Dr. Slaa. Tunazidi kumsikiliza Dr. Slaa kwa kuwa mmempromote sana.

hilo zee akil zake co nzuri. Ukimwambia ukwel km aache utoto fb anakublock fasta. Bure kabisa huyo mzee
 
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!

le mutuz

Kwenye red haya wewe mwenzetu siyo au? we mgogo ushajiona mzungu enh!!!!!!
 
- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!

- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!

Le Mutuz

umesahau kuweka kile kicheko chako mzee wa kugraduate abroad
 
Back
Top Bottom