Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

- Kwanza ni matusi ya kizamani, and then back to the ishu Slaa aseme kama analipia au halipii kadi yake ya CCM?
le
mutuz


Hahaaa kweli wewe ni great thinker negatively. Kwa hiyo matusi ya kizamani unayapenda? pole kwa familia yako. DR. SLAA ALISHAJIBU HII KITU KWAMBA ALILIPA KWA MKUPUO MIAKA ISHIRINI AU ULIKUWA GEREZANI HUKUTANI NA MEDIA?
 
- The point ni wakati sasa ni muafaka kwa Slaa kujibu kama analipia au halipii kadi yake ya CCM, hayo mengine mengi hapa sio pahala pake if you dont mind!!

le mutuz
Nyie ambao mnapata shida na yeye kulipia hiyo kadi ndio mtoe uthibitisho au mumkataze kulipia hiyo kadi au mumfukuze uanachama. Yeye hana muda mchafu wa kufanya hivyo, nyie mnaodhulika na ulipiaji kadi wake na kutokwa na mapovu ndio mnatakiwa kuthibitisha, na pia kumkataza kulipia kadi. Dr kwashika pabaya mwaka huu, hamlali...
 
Mimi nimependa huu utaratibu wa kadi mbili..Ila izi shutuma na hali ya CCM kumchukia Dr slaa, raisi wa mioyo ya watanzania..inaweza ikatupatia insight fulani... Inaonyesha (mtazamo) Dr alipewa jukumu la kuisambaratisha chadema, alipofika chadema akapata wokovu akakataa CCM na mambo yao yote na kazi zao zote akajitoa kutumikia wana wa nchi, akaanza kuijenga chadema, so ana ramani na michongo yote ya CCM, wanachoogopa ni kusema tulimtuma.. Dr ni mtu potential sana anawajua maadui wetu vizuri sana...toka lini adui yako akafundisha ni silaha gani nzuri na mbaya ni ipi? Watanzania wameamka izi propaganda za kitambo sana katafuteni nyingine IN DR SLAA WILBROAD PETER WE TURUST, YES!
 
Tukisema tuwapambanishe watoto wa vigogo kwa ubongolala nchini ni dhahiri unaibuka kidedea.Mbona siku hizi huleti mapicha?Kale kampwa chako umeshakaharibu na mapicha.Kamerithi tabia ya mapicha kutoka kwa 'mjomba wile'!
 
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!

le mutuz

Sasa hao CCM ambao hawaonei dagaa mbona wameshindwa kumaliza kesi za Richmoduli, EPA, BOT n.k.

Chadema haiwezi kutuangusha watanzani mpaka hapo itakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi hii. Wanaotuangusha Watanzania ni CCM kwa kuwa wamepewa ridhaa ya kutuongoza lakini wanajifanyia mambo yao!!

Lemutuz, 2 years back ulikuwa unaiponda CCM........... sasa umerudi Mtera huna ajira umeamua kuchukua kazi ya Mararial Sugu!! Pole sana!!
 
- CUF na CCM wanatawala pamoja kule Zanzibar, kwa hiyo ni sawa sana kwa Lipumba kuw ana kadi ya CCM, lakini Slaa kuwa na kadi ya CCM na anailipia kila mwezi, na huku majuzi mmewafukuza dagaa kwamba ni Mamluki, inatia shaka sana na uwezo wenu wa kuheshimu na kuzingatia Sheria au katiba!!

- Kama hamuwezi kuzingatia Katiba ya Chama chenu itakuwa Katiba ya Jamhuri, mtatupeleka pabaya sana jamani!!

Le Mutuz

Mbona nyie CCM mmeshindwa zingatia katiba ya chama chenu kwa kumfukuza Slaa uanachama sababu alijiunga na Chadema. Katiba yenu c inasema hivyo. So kwa kauli yako CCM ilishashindwa kusimamia katiba ya nchi na haistahili kuwepo sio? Tumia akili ya juu kufikiri na sio ya "masaburi"
 
- Ndio tatizo letu kubwa Africans, huwa tunadharau sana mambo flani na kuyaita madogo ukweli ni kwamba record inajiweka wazi hapa kwamba Slaa akipewa Uongozi wa Jamhuri atakuwa ni Kiongozi wa namna gani na Chadema pia mkipewa uongozi wa Jamhuri mtakuwa ni watawala wa namna gani, mtakuwa mnaoena wadogo tu na kuwaacha wakubwa kwa visingizio kwamba ni mambo madogo!!

- Katibu Mkuu mzima wa Chama cha Ukombozi, amegombea mpaka Urais na bado anataka kugombea tena leo anakutwa na kadi ya CCM, mnajaribu kila njia kumtetea je akiwa Rais itakuwaje?

Kwenye hili Chadema mnatungusha sana Taifa hili, kama Slaa ana kadi ya CCM na anailipia basi hafai kuwa kiongozi wa Taifa huko Chadema wala Jamhuri na inaleta maswali magumu sana kama kweli mpo serious na kushika Taifa!!

le mutuz
Achana nao,Dr.SLAA anafaa kuwa MBUNGE na sivinginevyo ! Arudi mjengoni kuwasha moto kama TUNDU LISSU,CCM itaendelea kutoa MARAIS wenye UZALENDO na HEKIMA za KIUNGOZI...Hadi Upinzani upate VITI vya WABUNGE 150 ndipo RAIS atatoka kwenye UPINZANI
 
Sasa je! Wanamfuga wa kazi gani huko sisiemu?

Hata mie nawashangaa ni hoja ya kipumbavu sana.. Kama Dr slaa ni CCM wamchukue, kama wamemtuma kama mamluki wamwambie awape taarifa za chadema ziwasaidie hahahaa CCM vichwa maji sana.
 
- Look here lets say nina Miaka 70, now what that has anything na Slaa kutokanusha kulipia kadi yake ya CCM, mbona alikubali kuwa anayo kwenye kulipia mbona yupo kimya na huku mnafukuza watoto wadogo kuwa ni mamluki mbona kama Slaa hapa ndio mamluki wa kweli?

le mutuz
Kwa definitions za CDM kuwa na kadi mbili sio umamluki kwa kuwa kadi ya pili ilifuta uhalali wa kadi ya kwanza. Hawa watoto mamluki wamefukuzwa kwa kuwa walikuwa wanafanya umamluki, wewe Mbumbumbu Le Mutuz, mamluki kwa chama ni yule anayekaa na watu wa CCM kupanga mikakati ya kudhohofisha CDM. J.Shonza alilala kwa Mwigulu Dodoma na kukaa faragha na mzee wa Gombe, adhabu yake kufukuzwa. Mchange na Mwampamba nao walianzisha kundi lisilo halali la PM7 au Masalia au Pindua Mbowe7, fukuzilia mbali. Pia hawa vijana walikwenda kwa mganga wa kienyeji kula yamini wasisalitiane. wanaweza kuloga hata panya ukiwachekea. CDM haichezi na nyani, kama mnawahurumia wachukueni nyie Magamba
 
- And then lets get back to the ishu, Slaa ana kadi ya CCM na a nailipia sasa kwa nini hamjamfukuza mmefukuza watoto wadogo?

le mutuz........

tehe! tehe! tehe! teheeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!! wewe jamaa mbona unasikitisha hivi?! Dr. afukuzwe kwa kosa gani? kwani yeye;
1. Sio mwana chama wa SISIEM
2. Hatumikii chama cha SISIEM
3. Anakijenga chama na sio kukihujumu chama.
4. Hana kosa ambalo lina mfanya kumuweka katika nafasi ya kufukuzwa katika chama(likitokea atafukuzwa).

walio fukuzwa na chama wenyewe walishiriki mojakwa moja kukihujumu chama katika nyanja tofauti tofauti, hivyo basi chama hakiwezi kuendelea kuwa na wanafiki katika harakati hizi za mabadiriko.

CHEKECHA UBONGO KABLA HAUJA JIBU AU ELEZA JAMBO LOLOTE, NI KHERI UKAKAA KIMYA UKAIGIZA KUWA NA BUSARA KULIKO UKAONGEA NDIO UKADHIHIRISHA UJINGA ULIONAO.

 
- I mean ukiwa na kadi ya chama kingine cha siasa na unailipia kila mwezi si unakuwa mwanachama wa kile chama au?

le mutuz
........

Na wasiwasi kama sisi tunaojiita wanachama wa chama kama tunazielewa na kuzipitia katiba zetu za vyama....ama la sivyo basi kunauwezekano tunafunza vichwani....
 
Mzee kwanza shikamoo , pamoja na umri kukutupa mkono nakuusia kwamba hutaweza kushinda hii vita kwenye social Network , Mdogo wako Freeman Mbowe kutangaza kutogombea urais 2015 hakukuogopa wewe Le Mutuz , kwanza hata sidhani kama anakufahamu , ungekuwa unafahamika basi bila shaka ungeiokoa familia yako na aibu za kisiasa inazozipata .
 
Mzee Wiliam tumia muda wako kujisomea na kuongeza maarifa.Bado huwezi kupambana na chadema,upo shallow sana mzee.Au kama vp mpe password mama kilango akusaidiage,angalau yeye huwa anasomasoma.We ni empty mno mzee.
 
Mzee Wiliam tumia muda wako kujisomea na kuongeza maarifa.Bado huwezi kupambana na chadema,upo shallow sana mzee.Au kama vp mpe password mama kilango akusaidiage,angalau yeye huwa anasomasoma.We ni empty mno mzee.
Umekuwa mkweli mno ndugu yangu. Tatizo huyo unaempa ushauri sio msikivu kihivyo!
 
- Alianza Mheshimiwa Nape kwa kusema kwamba Dr. Slaa anayo kadi ya CCM, Dr. Slaa akamjibu kwamba ni kweli anayo, and then Mh. Nape akaongeza tena kwamba DR. Slaa amekuwa akiilipia Kadi yake ya CCM kila Mwezi, akiwa na maana hata Mwezi uliopita ameilipia, na yupo tayari kuonyesha risiti za Dr. Slaa akilipia kadi yake hiyo ya CCM.

- Mpaka leo Dr. Slaa hajakanusha wala kukubali kwamba huwa anailipia kadi yake, huu ni wakati muafaka sasa Chadema na Dr. Slaa wakakanusha au kukubali, ama sivyo inaweka wingu kubwa sana kwenye Uongozi wao wa Taifa na Mamluki, hasa ukizingatia kwamba ni majzui tu Chadema wamefukuza the so called Mamluki, sasa kama kina Slaa wanaachiwa ina maana Chadema ikishika Taifa kutakuwa na Sheria mbili, moja ya Slaa na nyingine ya wananchi wa kawaida?

LE MUTUZ - THE KING OF ALL BONGO NETWORK SOCIAL MEDIA. at williammalecela.blogspot.com


Mtu mwelewa kuanza kuandika propaganda za namna hii wakati kuna vitu vingi sana vya kuvichallenge, Tunashangaa kuona hawa jamaa wanakomalia issue ya Kadi ya Dr Slaa kuliko Mabilioni yaliyofichwa Uswiss, kuliko Mradi wa Gesi unaotaka kumalizi gesi yote kwenye kugharimia Mradi, Kuliko Ufisadi unaofanywa secta ya Afya, Elimu na Bandari.

Sijawahi kuona huyu Bwana akizungumzia Wizi unaofanywa na CCM Pamoja na Makada wake zaidi kushadadia mambo ambayo hayawasaidii waTZ.

Kwa Mtanzania wa Kawaida Dr Slaa hata ungesema si Mtanzania bado watu watamwami kwa matendo yake na Uadilifu wake katika kutetea Maslahi ya Nchi hii na watu wake.

Na amekuwa hapepesi Macho linapokuja swala ufisadi na Uadilifu wa mtu, huwa hana Mzaha katik hilo na Amekuwa na Record hiyo tangu watu tumfahamu.

Si dhambi Dr Slaa kuwa na kadi ya CCM, kwani Dr Slaa alishawahi kusema alilipia kwa muda mrefu tangu wakati huo.

Mnachokifanya nyinyi ni kutekeleza kazi ya Vuvuzela Nape, mjiandae 2015 Dr Slaa ndiyo Rais wa Nchi kwa hiyo mjiandae kujibu ufisadi mnaoufanya.

Tuna Records zinazoonyesha mnanufaika vp na Unyonyaji unaofanywa na CCM na mko radhi hata mtu afe kuliko hiyo mirija yenu ikatike.

Sijawahi kuona Vobaka wanawasifia polisi kwa hiyo sishangai, Mzee Mandela alifungwa kwa ajili ya kutetea haki, Nyerere alikufa kwa ajili ya kutetea Rasilimali za WaTZ sishangai kuona nyinyi mnafanya juu chini kupambana na Watu safi wenye nia njema na watanzania,

Ila ni vigumu sana kupambana na haki na ukweli maana sijawahi kuona watu wachache wachafu wakiwashinda walio wengi kwani mungu yupo pamoja na sisi tumeibiwa na wazee wenu, sasa mnataka kutuibia nyinyi watoto, watoto wenu watawaibia wajukuu ambao watasota kulipa madeni ambayo hayana msingi.

We are tired enough is enough.
 
Back
Top Bottom