Dr. Slaa Azushiwa Kifo

Kamende

JF-Expert Member
Mar 1, 2008
416
45
Wahenga walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Jana jioni watu wasiofahamika lakini wanaoonyesha kuwa walijipanga vizuri kipropaganda walitengeneza na kusambaza habari kwamba Dr. Slaa ameanguka bafuni akiwa jijini Arusha na kufariki dunia.

Nikiwa natafuta ukweli au uongo wa habari hiyo niliwasiliana na viongozi wa CHADEMA Arusha wakanipa mlolongo wote wa uzushi huo ulivyoanza mchana kwa kutangaza kuwa Dr. Slaa kapata ajali ya gari.

Kwa kweli huu ni uongo mkubwa. Sasa tumefikia mahali pa kuzushiana vifo. Sijui tunaenda wapi?:pound:
 
zilikua story za kijiweni tu!

Unapozileta kwenye Hii forum unazidi kuzikuza zaidi, yaani unausambaza uzushi zaidi.
 
pamoja na hayo je mmejaribu kuwasiliana na Dr Slaa mwenyewe? ili kujuwa wapi yupo na hali yake kiafya ikoje
kwani wanaweza kuzusha then wakamfanyia kweli baada ya watu kukubali uzushi huo,tuwe makini na hilo,ikiwezekana awekewe ulinzi zaidi

kila raheli Dr Slaha ktk ujenzi wa Taifa hili
 
Wahenga walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Jana jioni watu wasiofahamika lakini wanaoonyesha kuwa walijipanga vizuri kipropaganda walitengeneza na kusambaza habari kwamba Dr. Slaa ameanguka bafuni akiwa jijini Arusha na kufariki dunia.

Nikiwa natafuta ukweli au uongo wa habari hiyo niliwasiliana na viongozi wa CHADEMA Arusha wakanipa mlolongo wote wa uzushi huo ulivyoanza mchana kwa kutangaza kuwa Dr. Slaa kapata ajali ya gari.

Kwa kweli huu ni uongo mkubwa. Sasa tumefikia mahali pa kuzushiana vifo. Sijui tunaenda wapi?:pound:
Aina ya thread kama hizi zisizo na evidence ndizo Mods huwa wanazipenda ungeleta evidence wangei movuzisha haraka sana.
 
zilikua story za kijiweni tu!

Unapozileta kwenye Hii forum unazidi kuzikuza zaidi, yaani unausambaza uzushi zaidi.

Nawasiwasi na huo uzunzi,tambuwa kuwa kila jambo linalojitokeza lina maana yake,huwezi juwa kwanini waliamuwa kuzusha? malengo ya uzushi ni nini haswa? tusibweteke na kukubali uzushi upite,kunakitu hapo ni swala la kuwa makini na uzushi huo chochote cha weza tokea

kumbukeni ya akina Kolimba,Malima,sokoine,Kombe

naomba ulinzi uongezwe kwake,tusije juta baada tukaanza na story za ningelijuwa huku jambo limeshatokea
 
Aina ya thread kama hizi zisizo na evidence ndizo Mods huwa wanazipenda ungeleta evidence wangei movuzisha haraka sana.

utashangaa kuona hii inakaa hapa.....ile thread ya jana ya Never kuhusu tuhuma za rushwa za habib iko wapi? mbona ina evidence kibao! lakini ilichinjiwa baharini
 
Aina ya thread kama hizi zisizo na evidence ndizo Mods huwa wanazipenda ungeleta evidence wangei movuzisha haraka sana.

kwani slaa alivyomzushia yule mkuu wa mkoa kifo ulijiskiaje? Mkuki kwa mchungu, kwa binadam nguruwe!
 
Wahenga walisema ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Jana jioni watu wasiofahamika lakini wanaoonyesha kuwa walijipanga vizuri kipropaganda walitengeneza na kusambaza habari kwamba Dr. Slaa ameanguka bafuni akiwa jijini Arusha na kufariki dunia.

Nikiwa natafuta ukweli au uongo wa habari hiyo niliwasiliana na viongozi wa CHADEMA Arusha wakanipa mlolongo wote wa uzushi huo ulivyoanza mchana kwa kutangaza kuwa Dr. Slaa kapata ajali ya gari.

Kwa kweli huu ni uongo mkubwa. Sasa tumefikia mahali pa kuzushiana vifo. Sijui tunaenda wapi?:pound:
Source???

Bwana Kamende mlikuwa mmejipanga wapi barabarani kwa hiyo wewe ulipewa kazi ya kuileta JF LOL!! hamna hata aibu.
 
Aina ya thread kama hizi zisizo na evidence ndizo Mods huwa wanazipenda ungeleta evidence wangei movuzisha haraka sana.

Yaani hapo silencer, Paw, invisible, painkiller, Farida na Max wanafuraha ajabu lol!
 
kwanini mnalazimisha hii thread itolewe? kwani imewekwa kimakosa hapo ilipo?

huo ni uzushi lakini uzushi huo una malengo yake na sababu zake kama ni evidence tutaipata kupitia michango ya Wajumbe na upo uwezekano tukapewa hata sababu za uzushi huo,kwa hiyo tusiwafundishe kazi hao ulio wataja hapo juu,acha wafanye kazi zao kulingana na kanuni,taratibu na sheria walizojiwekea

Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
 
itakuwa pigo sana kwani mkewe atajifungua mtoto hivi karibuni
 
kwanini mnalazimisha hii thread itolewe? kwani imewekwa kimakosa hapo ilipo?

huo ni uzushi lakini uzushi huo una malengo yake na sababu zake kama ni evidence tutaipata kupitia michango ya Wajumbe na upo uwezekano tukapewa hata sababu za uzushi huo,kwa hiyo tusiwafundishe kazi hao ulio wataja hapo juu,acha wafanye kazi zao kulingana na kanuni,taratibu na sheria walizojiwekea

Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko
Na hii nayo ni ID yako Dah!!
 
Utakuwa huna akili timamu wewe!
 
Si jambo la ajabu yeye mwenyewe Slaa alisha wahi kumzushia kifo Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga! Ni tabia yake pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom