Dr. Slaa apewe fursa ya kutufanyia tohara ya kisiasa

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Nilipomuona jana Dr.Slaa nikakumbuka nyakati na majira yale nilipokuwa karibu naye katika kazi za kisiasa.

Amerejea nchini akiwa na afya njema,amerejea nchini akiwa na msimamo wake uleule kwamba KINACHOMPETA PAMOJA kati yake na JPM ni mapambano chanya dhidi ya Ufisadi, Majizi na kila aina ya uovu.

Ningekuwa na uwezo, Nilitamani sanaaa Dr. Slaa afanye media tour na akapata vipindi vyenye zaidi ya dakika 40 akifafanua hasa

- Msimamo wake kwa speed hii ya serikali ya Magufuli.
- Analysis yake kwa upinzani aliouanzisha na akaachana nao baada ya KUWASALITI watanzania kwa kununuliwa kwenye uchaguzi mkuu
- Darasa huru kwa Watanzania kuhusu kweli ya wapi kama Taifa tunapaswa kupatazama nje ya siasa za Ushabiki na uvyama.
- Future yake kisiasa
 
Nilipomuona jana Dr.Slaa nikakumbuka nyakati na majira yale nilipokuwa karibu naye katika kazi za kisiasa.
Amerejea nchini akiwa na afya njema,amerejea nchini akiwa na msimamo wake uleule kwamba KINACHOMPETA PAMOJA kati yake na JPM ni mapambano chanya dhidi ya Ufisadi, Majizi na kila aina ya uovu.

Ningekuwa na uwezo, Nilitamani sanaaa Dr. Slaa afanye media tour na akapata vipindi vyenye zaidi ya dakika 40 akifafanua hasa
-Msimamo wake kwa speed hii ya serikali ya magufuli.
-Analysis yake kwa upinzani aliouanzisha na akaachana nao baada ya KUWASALITI watanzania kwa kununuliwa kwenye uchaguzi mkuu
-Darasa huru kwa Watanzania kuhusu kweli ya wapi kama Taifa tunapaswa kupatazama nje ya siasa za Ushabiki na uvyama.
-Future yake kisiasa
Pia aongee kuhusu watu wasiojulikana na kupigwa risasi kwa lissu na maiti zilizookotwa baharini pia kupotea kwa watu
 
Hoja kuwa Dr. Silaa alinunuliwa haijawai kuniingia akilini kabisa, don't know why..

Naiona ni hoja dhaifu sana dhidi yake.
Kwanini unapenda sana kuamini katika wanasiasa..... Kama mtu aliacha upadre kisa tamaa ya ngono au alihama CCM kisa kukosa ubunge kwanini asinunuliwe ??? Kwenye siasa lolote linawezekana kwani nani alitegemea Sumaye siku moja atakuwa mpinzani alafu slaa aende upande wa watawala??? Usishangae kwa mfano 2020 Magufuli akawa mgombea wa upinzani alafu chama tawala akasimamishwa mbowe!!!

Wanadamu wote ni wadhaifu sehemu flani hivyo usiweke imani kwa yeyote maana siku ukiyajua wanayofanya nyuma ya pazia unaweza jinyonga kabisa
 
Hoja kuwa Dr. Silaa alinunuliwa haijawai kuniingia akilini kabisa, don't know why..

Naiona ni hoja dhaifu sana dhidi yake.
Hiyo ilikuwa hoja ya Mbowe kuwapumbaza Chadema kwa upuuzi alioufanya....ndio maana hata Gwajima akatumika kumshindilia Dr Slaa kwa kuhusisha misimamo yake na Ndoa yake.

Uongo hupanda lifti lakini ukweli hukwea ngazi......Muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Kwahiyo mnyika naye alidanganya aliposema sakata la Dr slaa linamkumbusha story ya samson na Delilah!!!! Hivi unaujua ukaribu wa Dr Slaa na Mnyika wwe au unafikiri Mnyika kaokotwa tu na kupewa unaibu katibu mkuu actually ndio aliahidiwa na slaa kwamba akimaliza muda wake anamuachia ukatibu mkuu ina maana unamjua sana slaa kuliko mnyika???

Funny
 
Nakumbuka wengi sana tulimsihi Dr.Slaa asiondoke aliangalie Taifa kwanza na hata kama ana issues basi tuhangaike na wabunge wengi hayo mengine yatakuwa sorted out,lakini Mzee alikataa kisa 5B.Acha kabisa pesa zilimuuza Yesu
 
Back
Top Bottom