Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,493
http://ngurumo.blogspot.com/2010/09/slaa-akata-anga-usukumani.htmlDk Willibrod Slaa ameingia mkoani Shinyanga kusaka kura za urais. Na Chopper yake imeanza kazi upya baada ya kufanyiwa matengenezo madogo kwa siku nne zilizopita. Wananchi waliochoshwa na usanii na uwongo waCCM, kwa kauli moja watampatia kura za ndiyo kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hali tete ya Afya ya Kikwete inawatisha wananchi wengi.
Mch Masa Kwenye Msafara wa Slaa
Source: Ngurumo Blogspot
Mch Masa Kwenye Msafara wa Slaa
Source: Ngurumo Blogspot