Dr. Mwaka yuko wapi?

yupo sana tu, alitumbuliwa ikambidi ahamie kwenye biashara ya vipodozi vya asili yaani vinavyotokana na mimea kama ilivyokuwa madawa yake, lakini nasikia wateja wake (kinamama) bado wanamuamini wanamfuata kimyakimya kwa ishu za kidaktari
 
yani mama zetu jamaniii!! hata umuelimishe vp hawakuelewi.. hawa madokta mimea pamoja na manabii wa siku hizi sijui wamewapa nini kina mama................binafsi bora nikafie hosptalini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom