Na yule mshenga alisema atamfufua Amina.
Siyo huyo, hiyo picha na habari ni tofauti, mnyonya damu za paka jina lake anaitwa Jongo yupo na leo tumepiga supu asubuhi bar moja mitaa fulani. by the way hivi wewe unaamini kuna binadamu mwenye uwezo wa kumchinja paka? unamjuwa paka wewe?
Teh Teh....
Wajinga ndio waliwao!
Hata Ngwajima ilibidi akamatwe kwa utapeli maana alishawadanganya watu wengi kuwa ana fufua!
Hata mlonzi mkuu wa jf bwana mshana jr inabidi atazamwe...Teh Teh
Halafu siyo ajabu aliyetapeliwa ni mtu na shule yake ila maarifa hana!!!!
Halafu siyo ajabu aliyetapeliwa ni mtu na shule yake ila maarifa hana!!!!
Siyo huyo, hiyo picha na habari ni tofauti, mnyonya damu za paka jina lake anaitwa Jongo yupo na leo tumepiga supu asubuhi bar moja mitaa fulani. by the way hivi wewe unaamini kuna binadamu mwenye uwezo wa kumchinja paka? unamjuwa paka wewe?
Kile ni kiini macho ile ni midoli ya kisauzi anayonyonya ni tomato source na siyo damu, kama humjui paka mvute mkia halafu utarudi hapa kutoa ushuhuda ndio utatueleza kama manyaunyau huwa anayonya damu ya paka au anawapiga kiini macho?