Wanajamvi,
Nimemsikia Dr. Rwaitama akihojiwa na mwandishi wa habari wa kipindi cha Idhaa ya Kiswahili ya DW Ujerumani akasema hotuba ya mwenyekiti wa CCM haitasaidia kubadili hali ya mpasuko ndani ya CCM labda sera zake zitekelezwe.
Mwisho akasema ktk uchaguzi 2015 wanaweza kushinda kama watamsimamisha Bw. Salim A. Salim kama mgombea wa urais na si vinginevyo.
My take:
Walishindwa kumpa nafasi hiyo 2005 wataweza hivi sasa na pesa hizi za mtandao?
Salim A Salim asikubali kubeba mzigo huu kwa kuwa si mnyamwezi,kwa mwanaccm tena mwanadiplomasia anatakiwa aruke mbali kwelikweli kwani 2015 si lelemama CHADEMA kitakuwa kama FARU ALIYEJERUHIWA,SAS ANALIJUA HILO.
Wanajamvi,
Nimemsikia Dr. Rwaitama akihojiwa na mwandishi wa habari wa kipindi cha Idhaa ya Kiswahili ya DW Ujerumani akasema hotuba ya mwenyekiti wa CCM haitasaidia kubadili hali ya mpasuko ndani ya CCM labda sera zake zitekelezwe.
Mwisho akasema ktk uchaguzi 2015 wanaweza kushinda kama watamsimamisha Bw. Salim A. Salim kama mgombea wa urais na si vinginevyo.
My take:
Walishindwa kumpa nafasi hiyo 2005 wataweza hivi sasa na pesa hizi za mtandao?
@Bubu Msemaovyo,
..angekuwa Mtanganyika asingeteuliwa balozi akiwa na miaka 22.
..enzi hizo mabalozi walikuwa wasomi wa Makerere, au Machifu.
..zaidi nafasi zote alizotumikia ni kwa njia ya kubebwa-bebwa tu.
..binafsi naheshimu rekodi ya Prof.Tibaijuka kuliko ya "Dr".Salim Salim. Kwanza, Prof Tibaijuka nafasi zake amezipata kutokana na elimu na CV yake, Salim yeye amezipata kwa kusimama nyuma ya jina la Tanzania. Zaidi, Prof.Tibaijuka ni msomi wa kweli, she defended her PhD, Salim Salim ana udaktari wake ni wa heshima.
Wanajamvi,
Nimemsikia Dr. Rwaitama akihojiwa na mwandishi wa habari wa kipindi cha Idhaa ya Kiswahili ya DW Ujerumani akasema hotuba ya mwenyekiti wa CCM haitasaidia kubadili hali ya mpasuko ndani ya CCM labda sera zake zitekelezwe.
Mwisho akasema ktk uchaguzi 2015 wanaweza kushinda kama watamsimamisha Bw. Salim A. Salim kama mgombea wa urais na si vinginevyo.
My take:
Walishindwa kumpa nafasi hiyo 2005 wataweza hivi sasa na pesa hizi za mtandao?
Wanajamvi,
Nimemsikia Dr. Rwaitama akihojiwa na mwandishi wa habari wa kipindi cha Idhaa ya Kiswahili ya DW Ujerumani akasema hotuba ya mwenyekiti wa CCM haitasaidia kubadili hali ya mpasuko ndani ya CCM labda sera zake zitekelezwe.
Mwisho akasema ktk uchaguzi 2015 wanaweza kushinda kama watamsimamisha Bw. Salim A. Salim kama mgombea wa urais na si vinginevyo.
My take:
Walishindwa kumpa nafasi hiyo 2005 wataweza hivi sasa na pesa hizi za mtandao?
Lowaha hana mpinzan hata Mbowe anajuwa hilo,huo ndio ukwel hata kama itawauma
Agreed, hana mpinzani KWA WIZI NA UFISADI. Kwa hayo tu, hakuna anaestahili hata kufunga gidamu za viatu vyake.
waazee wa nini kwa sasa
taifa linahitaji vijana kuliongoza
Sifa za kiongozi hazitokani na academic achievement............... Inaelekea hujawahi kumsikia Salim akiongea na vyombo vya habari!! Kama inawezekana wape mdahalo uone kama Tibaijuka ataweza!!! Kwa ukweli uwezo anao ila kwa sasa siyo muda mwafaka. Nafikiri 2005 Mkapa alibugi step kumpiga chini. Nafikiri atakuwa anajilaumu kwa kosa hili.
Anyway, kura yangu ni kwa Silaa. Period!!
@Mr.Zero,
..hata mimi kura yangu ni kwa Dr.SLAA!!
..I am not comparing the in academics only.
..Proffesionally, Prof.Tiba ameachive zaidi ya Dr.Salim.
..Prof.Tibaijuka ame-serve UN as long as Dr Salim alivyo-serve OAU.
..Program aliyoongoza Prof.Tibaijuka was a global project, wakati Salim yeye alikuwa ana-deal na Afrika peke yake.
..mdahalo is not the only thing that should determine who is a better candidate. tunatakiwa tuangalie rekodi yao yote, kuanzia kwenye academics[shahada zao, paper walizo publish, vitabu walivyoandika], baada ya hapo tuangalie wametumiaje elimu yao, maadili yao, etc etc.
NB:
..CCM walikuwa na mgogoro na Prof.Tibaijuka kwasababu alitaka kuanzisha baraza la wanawake Tanzania. matokeo yake wakamtenga na kuwa wanaficha mafanikio ya kazi zake wakati akiwa UN.
..Prof.Tibaijuka, Raisi Mkapa, na Waziri Mkuu Meles Zenawi, walikuwa wajumbe wa tume ya Tony Blair on Africa. kwa maana nyingine mataifa ya nje yalikuwa yanamlinganisha Prof.Tibaijuka na viongozi wa nchi za Kiafrika.
Mchambuzi,
..tatizo lingine la SALIM SALIM ni kwamba yuko too comfortable na huu UOZO unaoendelea ndani ya CCM.
..binafsi sijawahi kumsikia Salim Salim akikemea ufisadi, ukabila, udini, mambo ambayo Mwalimu aliyapinga kwa nguvu zote, yet watu wanamtambulisha kama mwanafunzi mwaminifu wa Mwalimu Nyerere.
..zaidi, hivi JK alishamuomba msamaha kwa zile kashfa walizomzulia wakati wa kampeni za mwaka 2005??