Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

Hatuna tatizo na Dr salim TATIZO NI MFUMO WA CHAMA CHA MAPINDUZI[CHECHEMEA].Aje kwenye chama makini kwani yeye ni makini hawezi kukaa hapo kwa akina Magamba.kwanza walimchafua sana sana.Wakaona hafai .Leo maji ya shingo ndio mnaona anafaa.CCM HATA AJE MARAIKA HAIWEZI BADALIKA NI KUWANGO'A TU NDIO WATAJIFUNZA HAKUNA JINGINE.WAMFUATE KANU YA KENYA.
 
wakimweka Salim chadema hakuna haja ya kampeni Watnganyika hatukbali kutawaliwa na Waznzibar ambao wana taifa lao, rais wao, wimbo wa Taifa na Bendera yao!pia waliwah kusema kuwa Salim alishiriki mauaji ya Karume hatutaki wauaji waongoze nchi! pia Salim sasa ni mzee mno nguvu za mwili na akili zimepungua !!
 
hahaha unafikiri CCM wanagawana uongozi kama pipi? huyo salim ana nguvu gani za kuongoza nchi yani mnataka tuongozwe tena na watu dhaifu? kama ingekuwa ni ufalme ningekubali chezea CCM wwe? EL mtamwacha wapi? huyo bwana lazima awavuruge
 
Watanzania kwa kukurupuka. Yani kitendo tu cha Salim kuwekwa CC watu mshadhani ndie anaeandaliwa kumrithi JK 2015?
 
Kwani uarabu wa Salim umekwisha? Na je Karume tuliyeambiwa Salim alimuua kafufuka?

mkuu wanapîma upepo hao makuwadi wa kisiasa wanataka kutuletea utawala wa kifalme hapa wapeleke udhaifu wao huko
 
Salim alikuwa PM kwa muda mfupi wa mwaka mmoja tu na aliingia baada ya Sokoine kufariki. Hilo la kupwaya alipwaya lini?

Sikuelewi bwana mkubwa. Mwakyembe ilimchukua mwezi mmoja tu baada ya kupewa wizara kuonyesha ni kiongozi wa aina gani. Huo mwaka mmoja Salim alikuwa yupoyupo tu
 
Nimekuwa nikiamini ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa chadema kuchukua nchi 2015 hasa ikimsimamisha dr Wilbroad slaa.Lakini tangu tetesi za CCM kumsimamisha dr Salim Ahmed Salim 2015 kushika kasi,nimeingiwa na wasiwasi kama CDM tutaweza kuchukua nchi,hii inatokana na
1 CV ya kuvutia ya dr salim
2 CCM kuanzakumsafishia njia mapema
3 kukubalika kwake kwa watanzaia wengi ata wa vyama vya upinzani
inabidi CDM wajipange vilivyo iwapo CCM watamsimamisha Dr salim.CCM wakijichanga walete mgonbea tofauti, CDM tushangilie ushindi ata kabla ya uchaguzi octoba 2015.

cv?...mbona chenge ana cv ya kutsha lakin amelingiza taifa kwenye mikataba ya kipuuzi...vp cv ya lipumba vs ya kikwete.....
ww wa wap ww
 
Nashindwa kuelewa mantiki yako, Dr Slaa hatamuweza Dr Salim kwani anambeba mngongoni? Hatuhitaji experience tunataka kiongozi atakae tutoa hapa Ccm ilipotufikisha. Kama mfuko wa mwalimu Nyerere umemshinda anauwezo gsni wa kuiongoza Tanzania??? Tafuta mwingune gamba wewe!

ata ukiniita gamba,haitaondoa mapenzi yangu toka moyoni kwa chadema
 
Nimekuwa nikiamini ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa chadema kuchukua nchi 2015 hasa ikimsimamisha dr Wilbroad slaa.Lakini tangu tetesi za CCM kumsimamisha dr Salim Ahmed Salim 2015 kushika kasi,nimeingiwa na wasiwasi kama CDM tutaweza kuchukua nchi,hii inatokana na
1 CV ya kuvutia ya dr salim
2 CCM kuanzakumsafishia njia mapema
3 kukubalika kwake kwa watanzaia wengi ata wa vyama vya upinzani
inabidi CDM wajipange vilivyo iwapo CCM watamsimamisha Dr salim.CCM wakijichanga walete mgonbea tofauti, CDM tushangilie ushindi ata kabla ya uchaguzi octoba 2015.

Sisi kama watanzania tutamkataa maana kwao Zanzibar/CCM walishawahi kumkataa kuwa ni Mwarabu sasa leo sijui tutatoaje nchi kwa mtu ambaye siyo Raia.Pia lazima mseme ni nani mwenye haki ya kuchinja lazima kama mgombea atwambie sasa hivi tukikosa mgombea mwenye msimamo tutatoa hata kwa mtoto wa chekechea atuangalizie nchi wakati tunajipanga.
 
Yaani magamba wanahaha sana kupima upepo.Huwezi amini Dr.Slaa wamejaribu kumpambanisha na Lowassa,Membe,Sitta,Migiro,Magufuli,Mgimwa,Nahodha,Shein na sasa wamemleta Salim A.Salim.Ukiona mtu mmoja analinganishwa na hao wote ujue ni extra-ordinary leader. Najua mnatumwa sana kujaribu maono yetu,ukweli ni kwamba tunataka kuondoa mfumo-CCM hivyo kama hamtaki kuachia madaraka kwa amani, bila shaka tutafikishana ICC.Kwa hali ilivyo sasa, Salim hana uwezo wa kuongoza nchi kwani CCM mlishafanya hujuma 2005 kisha mkamtumia Sheikh Yahya 2010 kumtishia eti akichukua fomu ya kugombea urais na JK atakufa.
 
Nimekuwa nikiamini ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa chadema kuchukua nchi 2015 hasa ikimsimamisha dr Wilbroad slaa.Lakini tangu tetesi za CCM kumsimamisha dr Salim Ahmed Salim 2015 kushika kasi,nimeingiwa na wasiwasi kama CDM tutaweza kuchukua nchi,hii inatokana na
1 CV ya kuvutia ya dr salim
2 CCM kuanzakumsafishia njia mapema
3 kukubalika kwake kwa watanzaia wengi ata wa vyama vya upinzani
inabidi CDM wajipange vilivyo iwapo CCM watamsimamisha Dr salim.CCM wakijichanga walete mgonbea tofauti, CDM tushangilie ushindi ata kabla ya uchaguzi octoba 2015.

Yeye si mtanganyika, lazima mshituke hapo, watamsimamisha vipi bado anatuhuma walizodai akina a.k.a baba mwana asha na mtandao wakati wa kampaini ya uchaguzi 2005.si unazikumbuka??????
 
Back
Top Bottom