Dr. Justine Katunzi wa UDSM Afariki Dunia

mlimbwa1977

Member
Feb 7, 2011
24
0
Chuo kikuu cha DSM kimempoteza mhadhiri wake dr. Katunzi (aliwahi kuwa mbunge) aliyefariki jioni ya leo akiwa darasani akifundisha.

Kwa hakika ni pigo kubwa kwa jamii ya wasomi wa chuo hicho kikongwe nchini.

Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu ameen.
 
:disapointed:

Ooh my...this is bad NEWS........RIP Dr and poleni wana UDSM
 
Duh! Rest ln Peace my lecturer... Kanipiga pindi AS 2005, If am not mistaken... Ebwana eh kumbe kifo kipo eh! R.I.P.
 
Chuo kikuu cha dsm kimempoteza mhadhiri wake dr.katunzi aliyefariki jioni ya leo akiwa darasani akifundisha kwa hakika ni pigo kubwa kwa jamii ya wasomi wa chuo hicho kikongwe nchini.

Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu ameen.

Mlimbwa1977, Dr. Katunzi yupi? Yupo wa Commerce (School of business) ambaye ni Dr. wa siku nyingi na miongoni mwetu alitufundisha Industrial Psychology na yupo Dr. Koku Katunzi wa Education. Ni yupi kati ya hawa>
 
Hawa madogo ni wachemfu sana

wanakurupuka kama vile ndege wote ni mbwayuwayu
 
Hebu semeni Katunzi yupi jamani? Koku Katunzi bado hajawa Dr. Hebu tutoni wasiwasi. Nyie watoto mna kawaida ya kuita kila mtu Dr hata TA mnamwita Dr.
 
Nilipokuwa nafanya Bachelor na Masters degrees (Education) hapo UDSM miaka ya 80, nilifundishwa na mama aliyeitwa Dr. Katunzi. Naomba mtufahamishe ni Dr. katunzi yupi.
 
Aliyekufundisha ni Naomi Katunzi, sidhani kama ndio huyo

Nilipokuwa nafanya Bachelor na Masters degrees (Education) hapo UDSM miaka ya 80, nilifundishwa na mama aliyeitwa Dr. Katunzi. Naomba mtufahamishe ni Dr. katunzi yupi.
 
Pse tell us ni yupi? Ila mimi na mjua wa bcom anayefundisha management or hour mambo ya OB etc
 
Alikuwa anafundisha industry reletion watu wa master first semister,pia aliwahi kuwa mbunge mwanza
 
Chuo kikuu cha dsm kimempoteza mhadhiri wake dr.katunzi aliyefariki jioni ya leo akiwa darasani akifundisha kwa hakika ni pigo kubwa kwa jamii ya wasomi wa chuo hicho kikongwe nchini.

Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu ameen.

We nawe si useme ni yupi.....au na wewe umekurupuka tu
 
Alikuwa anafundisha industry reletion watu wa master first semister,pia aliwahi kuwa mbunge mwanza

Yaa basi ndio yule wa bcom. Mana alikuwa mbunge those days. Nini kimemsibu kumfika mauti? R.I.P dk
 
ni dr katunzi aliyewahi kuwa mbunge. alikuwa udbs na leo alikuwa anafundisha darala la mba evening akaanguka ghafla. kufika hosp akawa ameshapoteza maisha. very sad!
 
Back
Top Bottom