Dr.jakaya kikwete kigeugeu!

Gsana

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
4,383
1,321
Jk wakati Nec imekutangaza rais,ulitwambia kuwa chadema na wapinzani ni vyama vya msimu. Uliwaagiza baada ya kampeni na baada ya kura wawe na utamaduni wa kutembelea taifa zima,ulienda mbali ukasema wawe wanazunguka kufungua matawi wasiishie dar tu.(Rejea hotuba yako ya kufunga mwaka 2010). Sasa cdm wameanza kuzunguka na kufanya mambo unalalama kuwa wanataka kukupindua! Juzi umetugeuka kuwa mabomu yalitokea tar.17 february wakati sie tuliokumbwa na mabomu ya gongo la mboto,tuliumizwa tar.16. Je ni lini utakuwa na msimamo,au kusalimu amri na kukiri thinking capacity inaelekea turning point? Sina imani na Rais Jk. Kama umelemewa na mzigo utue,kama hamna wa kukupokea mzigo,uweke chini na ukimbie! Jk tukueleweje?
 
Huyu bwana hata akiongea leo kesho sijui kama anakumbuka alichokisema.
Nawaonea huruma wanaosubiri ahadi,imekula kwao kwani hakumbuki hata aliahidi nini?
 
anakula sana tende ndio maana hawezi kutunza kumbukumbu vizuri....
 
Namshauri Aweke Madaraka chini akimbie. Nnchi Imemshinda. Uongozi sio urojo.
 
anatia kinyaa huyu baba hajijui tu! Ni mwogo na msanii alyebobea. Cjawah ona m2 wa aina yake. Akubal yaishe, atakufa kfo cha aib huyu! 2subr 2one!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom