Dr Jakaya kafuata kocha Brazil au yale mabasi ????

Kiona

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
933
240
Hebu nijuzeni wakuu wangu JK kafuata nini Brazili manake sijaelewa link ya sisi na wapiga Samba. Au ameenda kucheki yale mabasi niliyosikia yanatoka huko?

''Mtoto wa mwenzio mbebe kalala akiwa macho atauliza mamake alipo''

Watanzania wameamka wanauliza raslimali zao zi wapi.
 
Back
Top Bottom