Dr. Idrisa Rashid na Ikulu kulikoni??

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Kuna habari kuwa ikulu iko katika mkakati wa kutaka kumrudisha madarakani aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa Tanesco Dr. Idrisa Rashid ambaye mkataba wake ulikwisha Novemba 30 mwaka huu. Hii ina maana kuwa, endapo jaribio la kumrudisha tena madarakani likifanikiwa itakuwa ni mara ya pili kwa mtanzania huyo kuitikisa serikali na Tanesco. Itakumbukwa mapema mwaka huu kulikuwa na habari kuwa Dr. Idrisa alitofautiana na bodi ya wakurugenzi kiasi cha kutishia kuandika barua ya kujiuzulu...Haya Tz ni zaidi ya tuijuavyo.
 
Back
Top Bottom