Dr Hamis Kigwangalla haeleweki ndani ya CCM

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,998
6,659
Huyu Kigwangalla anatumia muda mrefu kwenye vyombo vya habari ikiwemo JF yenyewe kuzungumzia hoja ambazo ni moja ya sera za CCM kwa mfano suala la ajira kwa vijana pamoja na makazi bora inajieleza vizuri wakati mzee wa trip alipokuwa akiomba kura na kuahidi Maisha bora kwa kila Mtanzania.

Kwa hiyo badala ya huyu dr kutumia muda mrefu kutuelezea masuala ambayo tulishayasikia wakati wa kampeni aende jimboni kwake akatekeleze yote waliyo ahidi likiwemo hilo la maisha bora kwasababu chama chake ndio chenye dola na huu ni muda wa kuzitekeleza sera zao.

Kwa hiyo awaachie CDM waende kwenye vyombo vya habari wawaelezee wananchi kwasababu wao hawana nafasi ya kuzitekeleza kwavile sio walioshinda. Pia kuhusu hoja zake binafsi akae na wabunge wenzake ambao ni wengi bungeni ili wamuunge mkono asitafute umaarufu wa kijinga kutoka kwa vijana ambao ndio inaonekana anawalenga.
 
Huyu jamaa sio kambi fulani kati ya zile kambi zetu za uraisi kule magamba? Kuna kambi moja imewashika sana UVCCM na inafanya kazi kubwa sana kwenye mitandao ya kijamii hasa FB...Nadhani huyu ni mmoja wao.
 
Mimi sitii kambi yoyote katika hizo kambi zenu. Mimi nafanya kazi ya wananchi kwa kadri ninavyoona inafaa! Na kama kuna jambo lina maslahi ya chama, nitalitekeleza kulinda na kujenga chama changu, period!

Kuhusu hoja zangu; ya ajira kwa vijana na kukuza uchumi na ile ya makazi kutumia dhamana ya hazina za wafanyakazi kwenye mifuko ya jamii, nilishasema kuwa nitashirikiana na wabunge wenzangu ili kuijenga nchi yetu. Kwangu mimi haijalishi kama nitajulikana kwa sababu ya ajenda hizi ama vipi, mimi ninachofia hapa ni kuona tunafanikiwa kuleta mabadiliko tarajiwa kwa nchi yetu.

Kiongozi ni lazima utokane na watu na uwatumikie watu hao, hivyo ni lazima ufikie matarajio ya watu, na si vinginevyo hata mara moja!
 
[h=2]Dr Hamis Kigwangalla wewe ni mbunge wa wapi? huna ofisi huko nzega acha kukimbilia mambo makubwa onyesha mfano huko kwako watu wana hali mbaya huko nzega ndio utaweza nchi nzima?[/h]
 
Mimi sitii kambi yoyote katika hizo kambi zenu. Mimi nafanya kazi ya wananchi kwa kadri ninavyoona inafaa! Na kama kuna jambo lina maslahi ya chama, nitalitekeleza kulinda na kujenga chama changu, period!

Kuhusu hoja zangu; ya ajira kwa vijana na kukuza uchumi na ile ya makazi kutumia dhamana ya hazina za wafanyakazi kwenye mifuko ya jamii, nilishasema kuwa nitashirikiana na wabunge wenzangu ili kuijenga nchi yetu. Kwangu mimi haijalishi kama nitajulikana kwa sababu ya ajenda hizi ama vipi, mimi ninachofia hapa ni kuona tunafanikiwa kuleta mabadiliko tarajiwa kwa nchi yetu.

Kiongozi ni lazima utokane na watu na uwatumikie watu hao, hivyo ni lazima ufikie matarajio ya watu, na si vinginevyo hata mara moja!
Nadhani mtoa mada alimaanisha anatamani kuona unachofanya wewe kifanywe na wabunge wa chama fulani. Lakini Brother Kigwangala, palipo na ukweli uong hujitenga.... ninajua kwa sasa unaonekana kama vile unaongea lugha ngumu kwa baadhi ya watu, maana kuna watu huamini kuwa ukiwa chama tawala huwezi kuikosoa serikali na ukiwa chama pinzani huwezi kuipongeza serikali inapofanya jambo jema. Kwa hiyo wenye mtazamo huo itachukua muda kuweza kukuelewa.

Nakumbuka scenario uliyokutana nayo mgodini ukililia maslahi ya wapiga kura wako. nadhani hata wabunge wa upinzani kuna ambao hawajahi kupitia such a hard time katika uongozi.

Ninachotaka kusema ni kuwa, kelele mbu hazimzuii tembo kunywa maji, fanya unachoamini kuwa ni maslahi ya watanzania waliokutuma, chama na maslahi binafsi vifuate baadae. usiogope piga kazi usife moyo.

It is your time to prove that you can to all those who undermined your capability in that post. i believe 2015 usishangae wakakuomba ugombee kabla hata hujatangaza nia.

Ni wabunge wachache sana wenye uwezo wa kusimama na kusema "ikibidi nitaachia ngazi" (nakumbuka kipindi cha doctors strike ulivyosema) especially kwenye chama chako.

All the best brothers, pigania maslahi ya vijana, na watanzania kwa ujumla and we will pray for you, Tanzania needs people like you, who looks not just on political differences and interests but on the interest of the nation.
 
Huyu Kigwangalla anatumia muda mrefu kwenye vyombo vya habari ikiwemo JF yenyewe kuzungumzia hoja ambazo ni moja ya sera za CCM kwa mfano suala la ajira kwa vijana pamoja na makazi bora inajieleza vizuri wakati mzee wa trip alipokuwa akiomba kura na kuahidi Maisha bora kwa kila Mtanzania.

Kwa hiyo badala ya huyu dr kutumia muda mrefu kutuelezea masuala ambayo tulishayasikia wakati wa kampeni aende jimboni kwake akatekeleze yote waliyo ahidi likiwemo hilo la maisha bora kwasababu chama chake ndio chenye dola na huu ni muda wa kuzitekeleza sera zao.

Kwa hiyo awaachie CDM waende kwenye vyombo vya habari wawaelezee wananchi kwasababu wao hawana nafasi ya kuzitekeleza kwavile sio walioshinda. Pia kuhusu hoja zake binafsi akae na wabunge wenzake ambao ni wengi bungeni ili wamuunge mkono asitafute umaarufu wa kijinga kutoka kwa vijana ambao ndio inaonekana anawalenga.

Great thinker always think big
 
kigwangwala ni mpinzani ndani ya chama ila ujanja anaojaribu kuutumia kuuma na kupuliza kuna siku tutasikia wamemmwakyembe au wamemsioi sumari.:lol:
 
Precise Pangolin,

Nakushukuru. Naomba nikujibu kwa ufupi tu kwamba, nimetoka Nzega kabla ya Bunge na nilipokuwa kule nilizunguka jimbo zima.

Pili: Model ya kuongeza ajira kwa vijana na kukuza uchumi ninayoipigia jaramba hapa niliishaitekeleza Nzega kwenye kilimo cha pamba na alizeti na imeonesha (kwa miaka mitatu sasa) mafanikio makubwa. Masomo niliyopata naona ni vema nikayafanyia uraghibishaji yakatekelezwa kitaifa, kwa faida ya watanzania na nchi yetu. Ninaongea kitu ninachokijua in theory na pia pragmatically.
 
kigwangwala ni mpinzani ndani ya chama ila ujanja anaojaribu kuutumia kuuma na kupuliza kuna siku tutasikia wamemmwakyembe au wamemsioi sumari.:lol:
Ni kweli ni bora akajulikana kama ni moto au baridi ndani ya CCM, maana itamsaidia katika hizi siasa za sasa ndani ya CCM.
 
Precise Pangolin,

Nakushukuru. Naomba nikujibu kwa ufupi tu kwamba, nimetoka Nzega kabla ya Bunge na nilipokuwa kule nilizunguka jimbo zima.

Pili: Model ya kuongeza ajira kwa vijana na kukuza uchumi ninayoipigia jaramba hapa niliishaitekeleza Nzega kwenye kilimo cha pamba na alizeti na imeonesha (kwa miaka mitatu sasa) mafanikio makubwa. Masomo niliyopata naona ni vema nikayafanyia uraghibishaji yakatekelezwa kitaifa, kwa faida ya watanzania na nchi yetu. Ninaongea kitu ninachokijua in theory na pia pragmatically.

Unaweza kutupa data za kabla na baada?
 
Compare and Contrast:

This:

Huyu jamaa sio kambi fulani kati ya zile kambi zetu za uraisi kule magamba? Kuna kambi moja imewashika sana UVCCM na inafanya kazi kubwa sana kwenye mitandao ya kijamii hasa FB...Nadhani huyu ni mmoja wao.

And This:

Mimi sitii kambi yoyote katika hizo kambi zenu. Mimi nafanya kazi ya wananchi kwa kadri ninavyoona inafaa! Na kama kuna jambo lina maslahi ya chama, nitalitekeleza kulinda na kujenga chama changu, period!

With:

John 15

This:

25 Petro alikuwa hapo akiota moto. Basi, wakamwuliza, "Je, nawe pia si mmoja wa wanafunzi wake?" Yeye akakana na kusema, "Si mimi!"

And This:

26 Mmoja wa watumishi wa Kuhani Mkuu, jamaa wa yule aliyekatwa sikio na Petro, akamwuliza, "Je, mimi sikukuona wewe bustanini pamoja naye?"
27 Petro akakana tena; mara jogoo akawika.

Je Jogoo atawika?

Nitarudi:

36939842_scaled_512x384.jpg



 
Hapo kwenye matumizi ya vyombo vya habari, naomba uelewe kuwa media haiko kwa ajili ya chama au kundi fulani. Iko kwa matumizi ya jamii kwa ujumla wake na hata kwenye ethics zake inasisitizwa hivyo.
 
NASEMA HIVI VIFUATAVYO NI BAADHI TU YA VITU VINAVYOTAKIWA KUINGIA CHINA (SOKO LA CHINA) ZERO TARRIF TOKA TANZANIA.. NIMEWEKA BAADHI VIKO UP TO 4,000 ITEMS. NINAZO IKIWA PAMOJA NA CUSTOM CLEARANCE CODE ZAKE VIKIINGIA CHINA. SOMA KISHA MWISHONI NATAKA KUWAPA DATA ZANGU....GOODLUCK
[FONT=宋体]Live pure-bred breeding horses[/FONT]
[FONT=宋体]Live pure-bred breeding donkeys[/FONT]
[FONT=宋体]Live horses, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=宋体]Other donkeys, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=宋体]Live pure-bred breeding bovine animals[/FONT]
[FONT=宋体]Live bovine animals, o/t pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=宋体]Live pure-bred breeding swine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live swine weighing<10kg,o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live swine 10kg&#8804;weighing<50kg, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live swine weighing&#8805;50kg,o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live sheep for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live sheep, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live goats for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live goats, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live chicken&#8804;185g for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live chicken&#8804;185g, o/t pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live turkeys&#8804;185g, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live turkeys&#8804;185g, o/t pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live ducks,geese & guinea fowls&#8804;185g for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live ducks,geese & guinea fowls&#8804;185g, o/t pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live chicken>185g,pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other chicken >185g, pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live ducks,geese,turkeys & guinea fowls >185g for pure bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live ducks >185g, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live geese >185g, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live guinea fowls >185g, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live turkeys >185g, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Primates, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other primates, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Whales, dolphins and propoises; manatees and dugongs[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other mammals, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other edible mammals, o/t for pre-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mammals, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Crocodiles for cultivation, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Reptiles, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Edible reptiles[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Reptiles, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Birds of prey, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other birds of prey, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Psittaciformes, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other psittaciformes, o/t for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other birds, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Squabs, edible[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Ostrich, edible[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Teals, edible[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other birds, edible[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Birds, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Tadpole and young frogs, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other live animals, for pure-bred breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other live animals, edible[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other live animals, not edible[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled bovine carcasses&half carcasses[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled unboned bovine meat (excl. carcasses)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled boneless bovine meat[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen bovine carcasses & half carcasses[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen unboned bovine meat (excl. carcasses)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen boneless bovine meat[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled carcasses & half carcasses of sucking pig[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled swine carcasses & half carcasses, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled unboned hams, shoulders & cuts thereof of swine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled swine meat, nes (unboned)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen carcasses & half carcasses of sucking pig[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen swine carcasses & half carcasses, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen unboned hams, shoulders & cuts thereof of swine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen swine meat, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled edible bovine offal[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen bovine tongues[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen bovine livers[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen edible bovine offal (excl. tongues & livers)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled edible swine offal[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen swine livers[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen edible swine offal (excl. livers)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled edible offal of sheep, goats, horses...[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen edible offal of sheep, goats, horses...[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled whole chickens, not cut in pieces[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen whole chickens, not cut in pieces[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled cuts & offal of chicken, with bone in[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled cuts of chicken, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled wing of chicken(other than wingtips)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled offal of chicken, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen cuts chicken, with bone in[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen cuts chicken, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen wing of chicken(other than wingtips)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh.chilled or frozen chicken claw[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen offal of chicken, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled whole turkeys[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen whole turkeys[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled cuts & offal of turkey[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen cuts & offal of turkey[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled whole ducks[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled whole geese[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled whole guinea fowls[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen whole ducks[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen whole geese[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen whole guinea fowls[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled fatty livers of poultry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled cuts/offal of duck[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled cuts/offal of geese[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled cuts/offal of guinea fowl[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen cuts/offal of duck[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen cuts/offal of geese[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen cuts/offal of guinea fowl[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unboned swine hams&shoulders, salted, in brine,dried or smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cuts of unboned swine hams&shoulders, salted, in brine drd or smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Bellies & cuts thereof of swine, salted, in brine, dried or smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Meat of swine, salted, in brine,dried or smoked, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Meat of bovine animals, salted,in brine,dried or smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Primates, nes, saltd, dried or smokd; flours & meals of meat or offal[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Whales, dophins, nes, saltd, dried or smokd; flours & meals of meat or offal[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Reptiles, nes, saltd, dried or smokd; flours & meals of meat or offal[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other meat, nes, saltd, dried or smokd; flours & meals of meat or offal[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live ornamental fish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live trout fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live trout, excl. fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live eels fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live eels, excl. fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live carp fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live carp, excl. fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fry of bluefin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other live bluefin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fry of Southern bluefin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other live Southern bluefin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live perch fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live sturgeon fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live fish fry, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live tilapia[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live puffer fish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live fish nes, excl. Fry[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled trout[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled Atlantic salmon[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled Pacific or Danube salmon[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled salmonidae (excl. 0302.11 & 0302.12)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled halibut[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled plaice[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled sole[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled flat fish (excl. halibut, plaice & sole)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled albacore or longfinned tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled yellowfin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled skipjack or stripe-bellied bonito[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled bigeye tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled bluefin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled southern bluefin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled tunas, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled herrings (excl. livers & roes)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled cod (excl. livers & roes)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled sardines, brisling or sparts[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled haddock[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled coalfish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled mackerel[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled dogfish & other sharks[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled eels[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Swordfish, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Toothfish, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled scabber fish (trichurius)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled yellow croaker (pseudosicaena)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled butterfish (pamus)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled tilapia[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh chilled or frozen puffer fish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled fish, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh or chilled fish livers & roes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen sockeye salmon[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other frozen pacific salmon, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen trout[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen Atlantic salmon[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen danube salmon[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen salmonidae&#65292;nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen Greenland halibut[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other frozen halibut[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen plaice[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen sole[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen flat fish (excl. halibut, plaice & sole)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen albacore or longfinned tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen yellowfin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen skipjack or stripe-bellied bonito[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen bigeye tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen bluefin tunas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen southern bluefin[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen tunas, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Herrings (Clupea harengus,Clupea pallasii), frozen, excluding livers and roes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]God(Gadus morhua,Gadus ogac,Gadus macrocephalus), frozen, excluding livers and roes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Swordfish, frozen, excluding livers and roes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Toothfish, frozen, excluding livers and roes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen sardines, brisling or sprats[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen haddock[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen coalfish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen mackerel[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen dogfish & sharks[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen eels[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen sea-bass[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen hake[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen scabber fish (trichurius)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen yellow croaker(pseudosicaena)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen butterfish (pampus)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen tilapia[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen fish, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen fish livers & roes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Swordfish fillets and meat, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fillets or meat of toothfish, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other fish fillets and fish meat, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen fillets of swordfish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen fillets of toothfish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen fillets of tilapia[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen fillets of channel catfish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen fillets of other Ictalurus[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other frozen fillets[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Swordfish meat, frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Toothfish meat, frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other fish fillets and meat[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Flours, meals & pellets of fish, fit for human consumption[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Livers & roes of fish, dried, smoked, salted or in brine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fish fillets, dried, salted or in brine, but not smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Smoked fish (excl. salmon & herrings)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried pipefish and hippocampi, not smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried sharks' fins, not smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other dried fish, not smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cod, salted or in brine but not dried or smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Scabber fish, salted or in brine but not dried or smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Yellow croaker, salted or in brine but not dried or smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]butterfish, salted or in brine but not dried or smoked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Tilapia, salted but not dried nor smoked and fish in brine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other fish, salted or in brine but not dried or smoked, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen rock lobster & other sea crawfish[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen lobsters[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen shelled shrimps[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen northern pandalus[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen shrimps in shell[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen shelled prawns[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen prawns in shell[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen fresh-water swimming crabs[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other frozen crabs, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen freshwater crawfish shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen freshwater crawfish in shell[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Frozen crustaceans,nes,incl flours,meals,pellets for human consumption[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Not frozen lobster, for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Not frozen lobster, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Lobsters for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unfrozen lobsters other than for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Shrimps and prawns for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Prawns, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unfrozen shrimps and prawns, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Crabs for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Live fresh-water crabs[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unfrozen swimming crabs[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unfrozen crabs, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Crustaceans, nes, for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unfrozen crustaceans,nes; incl flours,meals and pellets,fit for human consumption[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Oysters for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Oysters other than for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Scallops for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Scallops,live, fresh or chilled, o/t for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Scallops, frozen,dried,saltd or in brine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mussels for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mussels, live, fresh or chilled, o/t for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mussels, frozen, dried, saltd or in brine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cuttle fish & squid, for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cuttle fish&squid, live, fresh or chilled, o/t cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cuttle fish & squid, frozen, dried, saltd or in brine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Octopus,frozen, dried, salted or in brine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Snails o/t sea snails for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other snails o/t sea snails,excl for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other molluscs and aquatic invertibrates, nes, for cultivation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Abalones, live, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Clamworm[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other molluscs and aquatic invertibrates, nes,live,fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Abalone, frozen, dried, salted or in brine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sea cucumbers, frozen, dried, salted or in brine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other clams[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other molluscs and aquatic invertibrats,nes,frz/dr/saltd/br;incl flours,meals and pellets,fit for human consumption[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Milk & cream of&#8804;1% fat, not concentrated or sweetened[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Milk & cream of >1% but&#8804;6% fat, not concentrated or sweetened[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Milk & cream of >6% fat, not concentrated or sweetened[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Milk & cream in solid forms of&#8804;1.5% fat[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Milk & cream in solid forms of >1.5% fat, unsweetened[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Milk & cream in solid forms of >1.5% fat, sweetened[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Concentrated milk & cream, unsweetened (excl. in solid form)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sweetened milk & cream (excl. in solid form)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Yogurt[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Butter[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dairy spreads[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other fats & oils derived from milk[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh cheese, including whey cheese & curd[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cheese, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Birds' eggs for hatching[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Hen's eggs, in shell, fresh, o/t for hatching[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Duck's eggs, in shell, fresh, o/t for hatching[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Goose's eggs, in shell, fresh, o/t for hatching[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Birds' eggs nes, in shell, fresh, o/t for hatching[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Birds' eggs, in shell, salted[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Natural honey[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Edible bird's nests (salanganes' nests)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other edible products of animal origin, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Stomach of other animals, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Raw feathers for stuffing; down[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Powder and waste of feathers or parts of feathers[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Feathers nes; skins & parts of birds with feathers or down[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Ossein and bones treated with acid[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Power and waste bones,containing bovine composition or sheep and goat's thereof[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other powder and waste of bones[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Bones and horn-cores,unworked, defatted,simply prepared, not cut to shape, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Ivory, its powder & waste, unworked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Antilope horns and powder or waste thereof[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Pilose antlers and powder thereof[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Tortois-shell,whalebone,borns,etc, unworkd;powder/waste[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Powder & waste of coral, shells of molluscs,crustaceans, etc[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Coral; shells of molluscs, crustaceans,etc, not cut to shape[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Bezoar[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cantharides[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Bile; animal products nes for pharmacy,frsh or provisnly preservd[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Bovine semen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fertilized fish eggs[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other fish eggs[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Products of crustaceans,molluscs or other aqueous invertebrates;dead animals of chapter 3[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Animal semen other than bovine semen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Animal embryo[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Silkworm graine[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Animal products, nes; dead animals of Chapter 1[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dormant stigma croci corms[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed Lily corms[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other lily corms[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed dormant bulbs, tubers, corms, rhizomes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dormant bulbs, tubers, corms,rhizomes, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unrooted cuttings and slips[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seedlings of edible fruit or nut trees, shrubs or bushes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Edible fruit or nut trees, shrubs & bushes, o/t seedlings[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seedlings of rhododendrons & azaleas[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seedlings of roses[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mushroom spawn[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other live plants, nes, for breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Orchid[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Chrysanthemum[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Lily[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Carnation[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other live plants, nes, not for breeding[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh roses[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh carnations[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh orchids[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh chrysanthemums[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cut flowers and flower buds of Lily, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other fresh cut flowers and flower buds[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried, dyed, bleached or otherwise prepared cut flowers & buds[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh parts of plants,without flowers/buds,for ornamental purpose[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Parts of plants, without flowers or buds, for ornamental purposes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed potatoes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other potatoes, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Tomatoes, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Onions, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Shallots, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Leeks, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Scallion, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Otheralliaceous vegetables, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cauliflowers & headed broccoli, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cabbage (Brassica oleracea var. capitata)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cabbage (Brassica oleracea var. italica)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other edible brassicas, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cabbage lettuce, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Lettuce, fresh or chilled, (excl. cabbage lettuce)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cucumbers & gherkins, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Peas, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Beans, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Leguminous vegetables, fresh or chilled, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Asparagus, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Aubergines, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Celery, other than celeriac ,fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mushrooms of the genus Agaricus, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sungmo, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Shiitak, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Winter mushroom, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Paddy straw mushroom, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Trichiloma mongolicum Imai, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other mushrooms and truffles, nes, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fruits of genus Capiscum or Pimenta, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Spinach, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Bamboo shoots, fresh or chilled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other vegetables, fresh or chilled, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Shelled or unshelled adzuki beans, frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other shelled or unshelled beans, frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Leguminous vegetables, shelled or unshelled, frozen, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sweet corn, frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sungmo, frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Garlic stems or seedlings, frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Garlic bulbs[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other vegetables, frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mixtures of vegetables&#65292;frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried onions[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried mushrooms of the genus Agaricus[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried bamboo shoots[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried vegetables, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed peas, dried, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other dried peas, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed chickpeas, dried, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other dried chickpeas, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed beans, dried, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other dried beans, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Small red (Adzuri) seed beans, dried shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other seed adzuki beans, dried shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other dried adzuki beans, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed kidney beans, incl. white pea beans, dried, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other dried kidney beans, incl. white pea beans, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried beans, shelled, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed lentils, dried, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other dried lentils, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed broad beans and horse beans, dried, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other dried broad beans and horse beans, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried leguminous vegetables seed nes, shelled[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried leguminous vegetables, shelled, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh manioc[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried manioc[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Chilled or frozen manioc[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fresh sweet potatoes, for cultivatron[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other fresh sweet potatoes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Dried sweet potatoes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Chilled or frozen sweet potatoes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Waterchestnut, fresh or dried,chilled,frozen[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Lotus roots for cultivation, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Lotus roots o/t for cultivation, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Roots or tubers with high starch content, fresh or dried, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Desiccated coconuts[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Coconuts, seedlings[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other coconuts&#65292;fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Brazil nuts, in shell,fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Brazil nuts, shelled,fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cashew nuts, in shell,fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cashew nuts, shelled,fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Almonds without shells, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Hazlenuts without shells, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seed of macadamia nuts, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Betel nuts, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Bananas, including plantains, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Pineapples, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Avocados, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mangoes, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Oranges, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Grapefruit, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Lemons and limes, fresh or dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Hami melons, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cantaloupe and Galia melons, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other melons, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Papaws (papayas), fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Apples, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cherries, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Peaches, including nectarines, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Strawberries, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Durian,fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Longan, fresh[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Longans and longan pulps, dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Persimmons, dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Chinese dates (red jujubes), dried[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Preserved litchi[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other fruit, dried, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Coffee, not roasted or decaffeinated[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Decaffeinated coffee, not roasted[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Roasted coffee, not decaffeinated[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Roasted, decaffeinated coffee[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Coffee husks & skins[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Coffee substitutes containing coffee[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unflavoured green tea in packings&#8804;3kg[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Unflavoured green tea in packings > 3kg[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other black tea & partly fermented tea nes, in packings&#8804;3kg[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Oolong tea in packings > 3kg[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Pu-er tea in packings > 3kg[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other black tea & partly fermented tea nes, in packings > 3kg[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mate[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Vanilla[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cinnamon, neither crushed nor ground[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other cinnanon & cinnamon-tree flowers, neither crushed nor ground[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cloves (whole fruit, cloves & stems)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Nutmeg[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mace[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cardamoms[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Ginger[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Saffron[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Turmeric (curcuma)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Spice mixtures[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other spices, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Rye seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Rye excl. seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Barley seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Barley excl. seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Oats seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Oats excl. seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Grain sorghum seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Buckwheat[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Millet[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Canary seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other cereal seed, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other cereal excl.seed, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Rye flour[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other cereal flour[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Oats, meal[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cereal, meal, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Flour & meal of the dried leguminous vegetables of 07.13[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Flour & meal of sago, roots or tubers of 07.14[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Manioc (cassava) starch[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Soya beans seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Yellow soya beans excl. seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Black soya beans excl. seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Green soya beans excl. seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other soya beans excl. seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Ground-nuts in shell, seed, not cooked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Ground-nuts in shell, excl. seed, not cooked[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Ground-nuts, not roasted or otherwise cooked,shelled, whether or not broken[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Copra[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Rape or colza seeds of low erucic acid[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Rape or colza seeds, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sunflower seeds for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Cotton seeds for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sesamum seeds for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sesamum seeds excl for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Mustard seeds for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other oil seed and oleaginos fruts, for cultivation, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Shea nuts (karite nuts)[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Palm nuts and kernels[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Castor seeds[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other oil seeds & oleaginous fruits nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Soya bean flour & meal[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other flours & meal of oil seeds or oleaginous fruit, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Sugar beet seed, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Lucerne (alfalfa) seed, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Clover seed, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Fescue seed, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Kentucky blue grass seed, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Rye grass seed, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Beet seed[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other seeds of forage plants, of a kind used for sowing, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seeds of herbaceous plants, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Vegetable seeds[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seeds of water melons, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Seeds of melons, of a kind used for sowing[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Other seeds, fruit & spores, of a kind used for sowing, nes[/FONT]
[FONT=&#23435;&#20307;]Hop cones, ground, powdered or in pellets; lupulin[/FONT]
MH. Hamisi kwanza naseema tunayo bahati kubwa watanzania kutokana na kwamba Mwl Nyerere aliweka uhusiano mzuri sana na Wachina , matunda yake ndiyo haya sasa. Tumeruhusiwa kuuza bidhaa zetu ndani ya soko la China at zero tarriff. Tatizo kubwa tulilonalo ni kwamba wasomi wetu hasa hawa wanaoleta mada kama hizi hawajakufahamu. Nilijaribu kukuchangia kwenye mambo ya ajira. Nakumbuka nilikuambia watanzania wanataka demonstrated examples. Kwa hali hiyo basi chukua engalau kata moja tu hapo Nzega wafanye poueltry au vegetables au ufugaji kama ilivyo kwenye item hizi. Kisha tembelea colledges either technical colledge, sokoine university, vyuo vikuu kutafuta wahitimu ambao watawafundisha wanakata wako katika uzalishaji wa mazao hayo. kwa njia hiyo utakuwa tayari umewapatia vijana wanaohitimu chuo ajira yao. Na kwa upande mwingine utakuwa una create incubation centers kwa techniciens,maana Tanzania hatuna incubators zakutoa matechniciens. Mfano unaweza ukawashauri wana kata kulima pilipili ambayo unaweza vuna mara nne au tano, ukawa umepata wataalaam toka sokoine ambao watasimamia hawa kuzalisha na kufanya packing na kuuza China, get chinese buyers at www.exporttochina.com. Kilo ya pilipili kichaa China unanunuliwa at 3 usd. faida yake ni zaidi ya zao la Tumbaku....Just example at least kuwatoa watu kwenye idle waliyonayo. Kama Nzega pakavu basi waambie watumie kilimo cha Hydroponic

 
Nimesoma vizuri makala ya hapo juu na nimeona nitoe mchango wangu mchache.kifupi nazani mdau hana ufahamu mzuri sana kuhusu historia ya ya uongozi na utendaji wa dr kigwangala.

Kifupi katika viongozi vijana wachache na wenye nia ya dhati ya kuwasaidi vijana(bila kujali masilahi binafsi),dr kigwangala ni mmoja wao.

Kwani sasa tanzania hatuna tu tatizo la kukosa uwakilishi wa vijana katika ngazi za maamuzi,ila tatizo kubwa zaidi la vijana wenzetu kuwa wasaliti,pale wanapo bahatika kupata nafasi za uongozi (hasa ubunge),wengi wao wanabadilika na wanajiweka kama "wazee vijana" wanajiona sio hadhi tena ya vijana,hawapatikani na hata ukipata mawasiliano yao hawapotezi muda wao kusikiliza shida au kutoa msaada wowote kwa vijana wenzao.

Nitatoa mfano halisi,miaka michache tu iliopita mimi binafsi niliibahatiaka kua rais wa serikali ya wanafunzi kwenye mmoja ya chuo kikuu cha umma hata tanzania.

Tulikutana marais wa zaidi ya vyou 15 na tukakubaliana tuchague vijana(kati yetu) wa 8 tuwape nguvu zote(za kifedha na kushiriki katika campaign) na wagombee ubunge katika majimbo na wakifanikiwa kupata uongozi wakawe chachu ya kupigania matatizo ya vijana hapa tazania na kwa namna ya pekee matatizo ya mikopo kwa wanafunzi wa elumu ya juu.

Wengi wetu tulikesha na kulala nje tukiwapigia campaing hawa vijana wenzetu,kati ya 8 waliogombea 5 wamefanikiwa kushinda nafasi za ubunge.

Lakini leo hawapatikani hata kwenye simu,hawapokei simu zao wako busy,hawana muda tena na vijana!!!!wamesahau walikotoka!!sawa bwana!!

Dr.kigwangala sio mmoja wa vijana viongozi wa aina hii,ni mmoja wa vijana wachache sana sana waliopata uongozi bado wakabaki kua watu wakawaida,wanaongea na watu wa kawaida na kujishugulisha na mambo ya vijana masikini wa taifa hili.

Na siamini sana kama kweli dr.kigwanagala anafanya yote haya bila uzoefu au kwa kujitakia umaarufu,kwa wale wanaomfahamu ni mmoja wa vijana wachache walio amani katika kilimo na kuwekeza katika kilimo(hsasa cha pamba) akiwa kijana mdogo kabisa mpaka leo anamiliki kiwanada kikubwa cha pamba amabacho kinatoa ajira kwa vijana wengi,naamini anayo moral authority ya kusema anayo majibu ya matatizo ya jira kwa vijana.

Napia ni mmoja wa vijana wachache kabisa hapa tanzania waliotumia elimu yao kuwa ajira,na kuwa mmoja wa washauri welekezi(consultants) maarufu hapa tanzania pamoja na kwamba soko la kazi hili limetawaliwa na wataalamu wa kimataifa wanaoletwa na world bank!lakini kaweza kuonekana!.

Adhani tumuunge mkono kwani najua katika siasa wengi wetu hatupendi tukiona mtu anaanza kukubalika katika jamii.

Kweye makosa tumuambie lakini yale yalio kuwa wazi anafanya ni kwa manufaa yetu sote tumuunge mkono.

Ahsanteni.
 
Precise Pangolin,

Nakushukuru. Naomba nikujibu kwa ufupi tu kwamba, nimetoka Nzega kabla ya Bunge na nilipokuwa kule nilizunguka jimbo zima.

Pili: Model ya kuongeza ajira kwa vijana na kukuza uchumi ninayoipigia jaramba hapa niliishaitekeleza Nzega kwenye kilimo cha pamba na alizeti na imeonesha (kwa miaka mitatu sasa) mafanikio makubwa. Masomo niliyopata naona ni vema nikayafanyia uraghibishaji yakatekelezwa kitaifa, kwa faida ya watanzania na nchi yetu. Ninaongea kitu ninachokijua in theory na pia pragmatically.

dokta hao wakutumwa wasikuumize kichwa,unakubalika sana kwa vijana si ccm wala chadema,moto huo huo mpaka kieleweke

 
Huyu jamaa alishika nafasi ya 3 kwenye kura za maoni kule Nzega, then akabebwa hadi kupeperusha bendera ya chama chake. Ninavyofahamu mimi, hiyo ni fimbo tosha kwa Kigwa pindi akileta chokochoko, lazima asinyae tu, achana na ccm bana! Ukichanganya na yale mambo ya kugombea/kurithi jina na uraia ndo kwishnei kabisa. Hizi ndizo siasa za bongo pande ile ya Nyasa, Kitongo, Ushirika, Kachoma, Tazengwa, na viunga vingine vya Nzega.
 
Huyu Kigwangalla anatumia muda mrefu kwenye vyombo vya habari ikiwemo JF yenyewe kuzungumzia hoja ambazo ni moja ya sera za CCM kwa mfano suala la ajira kwa vijana pamoja na makazi bora inajieleza vizuri wakati mzee wa trip alipokuwa akiomba kura na kuahidi Maisha bora kwa kila Mtanzania.

Kwa hiyo badala ya huyu dr kutumia muda mrefu kutuelezea masuala ambayo tulishayasikia wakati wa kampeni aende jimboni kwake akatekeleze yote waliyo ahidi likiwemo hilo la maisha bora kwasababu chama chake ndio chenye dola na huu ni muda wa kuzitekeleza sera zao.

Kwa hiyo awaachie CDM waende kwenye vyombo vya habari wawaelezee wananchi kwasababu wao hawana nafasi ya kuzitekeleza kwavile sio walioshinda. Pia kuhusu hoja zake binafsi akae na wabunge wenzake ambao ni wengi bungeni ili wamuunge mkono asitafute umaarufu wa kijinga kutoka kwa vijana ambao ndio inaonekana anawalenga.


Mzee trip nimeipenda hyo
 
Thank God leo Kigwangala kuwa muongelewaji humu ndani, lakini kwa upande wangu naomba niungane na wote wanaomataka kigwangala kufanya kazi zake nzega na si kwenye vyombo vya habari au Dar kama alivyoandika location yake, kwa msaada tu ni kwamba Dr hafanyi kazi kwenye jimbo lake bali anafanyia kwenye mitandao ya kijamii ambapo kwa bahati mbaya sana jimboni kwake kuna vibanda visivyopungua viwili tu na idadi ya watu wenye uwezo wa kutumia mitandao hiyo ni wa kuhesabika lakini kibaya zaidi ni kuwa moja ya vibanda hivyo alifungua yeye mwenyewe jirani na nzega motel kwa bahati mbaya akashindwa kumlipa mshahara mhudumu wake anayeitwa Ruhangisa ambaye alipelekea kumtaifisha kompyuta zote baadaya kuogopa mambo yasifike pabaya na internet cafe hiyo kwa sasa inamilikiwa na aliyekuwa msaidizi wake bw Ruhangisa aidha ameajiri watu wawili kama makatibu wake ambao kwa bahati mbaya kila mmoja anadai yeye ndiye katibu hivyo kulazimika kugombea piki piki ambayo mmoja(salum) amegoma kumpa mwenzake(kumotola) kwa hayo hayo yote kigwangala hawezi kufanya kazi nzega hata ziara anayodai kuwa kafanya jimbo zima si kweli kama anabisha athitibishe hapa kwani alifanya ziara kata si zaidi ya kumi baada ya kuona hali mbaya akaahirisha na kukimbili Dar!
 
ni vizuri kutumia akili yako nguvu zako maarifa yako na muda wako kushiriki katika jamii kuleta maendeleo katika eneo lako nchi yako na katika dunia.

tusidharau wale wanaothubutu.tuwaunge mkono
 
Back
Top Bottom