Dr Hamis Kigwangala(Mbunge); Najipanga kuacha siasa

Hawa ni madokta wa tiba za asili ndiyo maana wameona waenda kwa siasa
 
kura za maoni ulikuwa wa tatu.au umesahau?huna nafasi ya kushinda.wala hufai huna lolote.tofauti na jaziba.kiboko yako Tundu Lissu alikuumbua bungeni
 
Ashajipima na kuona hakatishi hata kwenye primaries kwa msomali
Sasa hivi Nzega hakuna mwanasiasa maarufu kushinda Kigwangalla, yaani watu wa Nzega watamchagua tu hata kama asipopiga kampeni. Jamaa amefanya kazi kubwa sana ndani ya muda mfupi ukilinganisha na Selelii aliyekaa miaka 15! Pia analimudu jukwaa vizuri. Msomali alishakufa kabisa kisiasa na hawezi hata kufikisha robo ya umaarufu wa Kigwangalla, ambaye anakaa jimboni muda mrefu, anafanya mikutano mingi na anajichanganya na watu wa aina zote. Akipita watu wanashangilia!
 
Da kweli hayo makubwa ila ajiulize mbona wenzie waliacha hizo siasa na hawakuwashtua watu sometimes imgetting doubted na hizi elimu watu walizonazo siku hizi mtu anakufa kwenda kumpa pole mfiwa nitabu ije kuwa kuacha ubunge hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Jipendekeze tu utamjua mbeleniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii si tulioko mji wa matonya huku tunamjua brazaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom