Dr. Bilal kasahau yeye ni Makamu wa Rais wa Tanzania?

Tatizo huu mfumo umeharibiwa. Lowasa akialikwa kuzindua studio anachomekea kwa % kubwa siasa. Utasikia mara dowans mara tulinde amani. Wakialikwa misibani the same-wanadeviate. Sasa kwa haya mazoea ndo nadhani tunafikiri bilal kachemka
 
Back
Top Bottom