Dr Bana na Mawazo Mgando

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani yangu ni kuwa bila kuipunzisha ccm nchi haitapiga hatua
 
Kama ni kweli alitamka hivyo na anamaanisha hivyo basi I'd question his credentials na hao anaowapiga lecture wawe makini.........ndio matatizo ya elimu za madesa na ku-cream!!
 
Kama ni kweli alitamka hivyo na anamaanisha hivyo basi I'd question his credentials na hao anaowapiga lecture wawe makini.........ndio matatizo ya elimu za madesa na ku-cream!!
Duh Kazi kweli. Nimefedheheshwa sana, nimedhalilishwa na nimehuzunishwa sana kama ni kweli Mwalimu wangu ametamka hayo. Naamini ametamka tu kwa sabau kwa siku za karibuni tangu apewe U REDET amekuwa na kauli tata sana. Hata hicyo tuliofundishwa naye hatuaathirika na chochote kama yeye alivyosoma Chuo Kikubwa kama Manchester halafu anakuja kulamba miguu ya JK namna hiyo.
 
Kuna walioenda Havard na bado akili zao ni mgando kama yeye achilia mbali huyo wa Manchester univ.
 
Yaani hivi kuna watu bado mnaangalia TBC1, binafsi huwa sioni jema lolote toka kwa hao bila shaka hata huyu Bana ni walewale tu!
 
Bana ni ccm damu kabisa. Jambo moja amedhihirisha hivyo ni pale alipokataa kuwataja CDM kama moja ya visababishi vya msingi vilivyopelekea ccm kufanya mageuzi sasa na si wakati mwingine.<br />
Bila shaka amekuwa akitumika kufanya propaganda za kiutafiti ili kujaribu kubadili maoni ya watu kuhusu ccm.<br />
Ila jambo moja ni dhahiri anatambua nguvu iliyonayo CDM, na mshiko kwa jamii.
Hana uwezo wa kuwasaidia kwa maoni yake kwani hata yeye ameonyesha kwamba chama cha ccm kina udhaifu mkubwa hasa sehemu ya uongozi wa juu zaidi, mwenyekiti na cc, haina muono, malengo wala uwezo wa kutenda.
 
Bado tuansafari ndefu sana ya kufikia mageuzi ya kweli kama wasomi ndio kweli wanamka maneno hayo.
 
Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani yangu ni kuwa bila kuipunzisha ccm nchi haitapiga hatua

Hukumwelewa, alimaanisha malengo yake yeye kama mla matunda ya ufisadi wa viongozi wa CCM na wale wote wenye hisa katika hiyo kampuni yao ya ufisadi hayata kamilika. Yeye ni mnufaika wa consultancies za CCM na serikali yake huku maelfu ya wanataaluma wakikosa kazi ya kufanya kwasababu yao hao wachache waliojifungamanisha na wanasiasa mafisadi. So as far as he is concerned yuko sahihi kabisa!
 
Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani yangu ni kuwa bila kuipunzisha ccm nchi haitapiga hatua

Kwenye red - malengo yepi? yako mangapi na wamefanikiwa mangapi? Richmond, dowans, EPA, IPTL, TICS na ndugu na jamaa wote wanouhusika na msiba misiba hiyo nao ni kati ya malengo ya nchi?

Ushauri wangu kwa CCM kama kweli wana nia hata ya kunawa uso basi waagize vyombo vyote vya habari nchini Tanzania visimkaribie huyu Dr Bana. Mlipuko na mkorogo wa mawazo yake utawaleka ccm kibla. Anamwaga sumu!
 
Nilikuwa naangalia kipindi cha this week in perspective tbc Dr Bana anasema bila ccm kubaki madarakani nchi haiwezi kufikia malengo yake. haya ndio mawazo ya wana ccm wengi. ccm sio Mungu na imani yangu ni kuwa bila kuipunzisha ccm nchi haitapiga hatua

elimu ya madesa hayoooooooooooooo na kukariri ndio kunawafanya wasomi uchwara kama hawa kuwa na mapungufu ya critical thinking/critical analysis
 
Watanzania msifathaike na watu kam wakina Dr.Bana, Prof. Mukandala na wendine kama hao kwani hao niwachumia tumbo elimu zao wameziweka pembeni. Wakati wa Hitler wakina Bana walikuwa wengi tu, Redio na magazeti yaliwaaminisha watu kuwa bila Hitler Germany haitaendelea na Dunia inamuhitaji........
 
Dr Benson Bana - ni ex-Primary School Teacher! I think, Historia yake inamwandama wakati wote and on top of that mentor wake ni Prof. Mukandara! So lazima wakti wote awe "aligned" otherwise hata hiyo post ya ukuu wa Idara inaweza kuota majani!
 
hao jamaa wako kwenye denials. anajua ukweli ulivyo ila hataki kuukubali. nawahurumia watu kama hawa, esp. walioenda shule manake watashikwa na vigugumizi wasijue cha kufanya pale mageuzi yatakapokuwa yanatokea. kumbuka sio wasomi waletao mageuzi bali watu wa kawaida kabisa. hawa jamaa wana theorise weee huku tide zikiwaacha. hivi Societi haikuwa na wasomi? hawakuona kuwa system inakufa? waliizuia? Huyu jamaa hana kitu in as far ccm is concerned. mwacheni na denials zake na rehma za jk ziendelee kumwangukia, insh'Allah!
 
mwana magamba yeyoteyule ni kipofu wanakuwa kama wamelogwa, waache waukatae ukweli na ukweli nao utawakataa tu ifikapo 2015
 
Back
Top Bottom