DPW ni adui wa kanisa na mafisadi na wafanyabiashara

Mzanzibari Huru

JF-Expert Member
Apr 17, 2014
373
225
Wana Jamii

HII NI TATHMINI YANGU

Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu.

Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu kupitia kichaka cha siasa, au kupitia kichaka cha dini, tunaona kwamba mawazo yeke mtu huyo yametoka mbinguni.

Tunalishindwa kufanya ni kuzitafakari fikra hizo kiundani kwa mantiki na kima cha juu. Mfano mzuri ni hili suala la bandari kupewa DPW imeleta zahama isiyokwisha na porojo refu sana, saa nyengine hata tunashindwa kuelewa watu wanazungumzia nini.

Ukweli wa maisha ni huu, adui mkubwa zaidi wa mtu ni fikra zake mwenyewe. Hili ndio tatizo sugu linaloisumbuwa jamii sio ya watanganyika walala hoi walio wengi tu bali watu waliowengi popote pale. Tatizo la pili, ukweli ni bidhaa adimu na chache sana. Tatizo la tatu, midomo ya wanaofaidika haijui maana ya neno "UKWELI KWA WOTE".

Sasa tuje katika suala nyeti la bandari. Kusema ukweli hata mie nilidhani kwamba watanganyika wamekasirika kwa kupewa Waarabu bandari ya DSM, nililogundukwa ni kuwa hata amgepewa Myahudi watanganyika wangewekwa vidudu kichwani na kupangiwa mazingira ya kuongeza porojo kama kawaida tu.

HAPO CHINI NDIO CHANZO CHA ZOGO LA DPW

Sababu ya kwanza: Chanzo kikubwa sana cha zogo kuhusu bandari kupewa DPW ni kwamba, bandari ndio penye mlo mkubwa wa KANISA kupitia taasisi moja iitwayo TRA. Kanisa wanachukuwa mabilioni kutoka serekalini, serekali inapata pesa za bure kupitia TRA. KANISA linachukuwa pesa hizo kwa kichaka cha uendeshaji wa mahospitali. Ni uzembe uliopita kipimo kuwaruhusu waendesha kwaya makanisani kuendesha sekta ya tiba. Matekeo yake hosptali zimezorora sana. Kanisa hawana sababu ya kuhisi kwamba DPW ni kitu chema sababu mlo wao wa bure ndio unawaaga hivi.

Sababu ya pili: ni kwamba mafisadi wanajaza matumbo yao yasiyoshiba abadan mupitia bandarini. Hawa pia huna la kuwafanya wakahisi DPW ni kitu chema.

Sababu ya tatu: ni wafanya biashara wakubwa. Wafanya biashara wanashirikiana na mafisadi walio bandarini katika kuhujumu uchumi. Wafanya biashara hao wahana pia sababu ya kufikiri DPW ni kitu chema kwao.

Kwahivo, kwa ninavo mie, zogo la DPW limeanzishwa na kuchochelewa na KANISA, MAFISADI na WAFANYA BIASHARA WAKUBWA. Na hao wote watatu ni wahujumu wa uchumi wa tanganyika.

Ahsanteni.
 
Kanisa wanachukuwa mabilioni kutoka serekalini, serekali inapata pesa za bure kupitia TRA. KANISA linachukuwa pesa hizo kwa kichaka cha uendeshaji wa mahospitali.
Kwani TRA inakusanya mapato bandarini pekee? Au hayo mabilioni ni lazima TRA iwe imesimama bandarini wakati wa kuwakabidhi wakatoliki?

Yaani umetoa maelezo ya kijinga sana. JamiiForums please, mada kama hizi muwe mnazifuta.
 
Una IQ na elimu ndogo sana kuhusu kodi
 
Unamaanisha ni kwamba unachoita mgao wa serikali kwa kanisa utapungua kwa sababu ya DP World kupewa bandari? Au sijakuelewa?
Mkongwe Yoda, Mgao wa serikali kwa makanisa. Kwa sifa gani serikali itowe pesa walizozikusanya raia walala hoi kwa nguvu na vitisho na saa nyengi kwa dhulma, halafu wapewe makanisa?

Nipe sifa moja tu ya kanisa kwamba wanastiki mabilioni ya bure (majasho ya walala hoi) huku Dar es Salaam, capital ya biashara Tanganyika maji na umeme ni kwa mgao, barabara ndani ya Dar es Salaam na ndanni ya miji yote tanganyika ni mbovu, watoto wengi wanakaa nchini maskulini tanganyika nzima.

Lakini kanisa ikiwa kazi yao ni kutowa uzima wa milele, huduma hiyo iwe bure pia mkuu. Kwanini wachukuwe pesa za umma, yesu hakuchukuwa pesa za jamii, hata sehemu ya kulala alikuwa hana "But Jesus replied, “Foxes have dens to live in, and birds have nests, but the Son of Man has no place even to lay his head.” Matthew 8:20. Hawa kamanisa eti si wanamfuata yesu au vipi?

Huoni kwamba kuna pungufu zisioeleweka hapo mkuu?

Amkeni watanganyika, kanisa halina uhusioano na pesa za wananchi.
 
Unapaswa kuficha njaa zako , jitahidi hata kulima maana msimu wa masika ndio huu bado hujachelewa.

Sio kuleta kioja jukwaani
Ahsante mkuu Masanja

Najuwa tu ukweli unauma sana ni kama upereshi wa tiba, lakini ikiwa uperesheni wa tiba ndio sehemu ya kuondosha maradhi basi ukweli ni sehemu ya kuondosha ujinga. Kioja ni kitu au tukio lile usilolifahamu au unalojifanya hulifahamu

Mkuu huna lazima ya kukubaliana na mie juu ya hili. Ikiwa weye unafikiri kwa akili zako au kwa akili za kuazima, wajibu wangu ni kukuonyesha ukweli ulivo, kuukubali na kuukataa ni shauri lako, kwa mujibu wa uwezo wako wa ki akili.

Lakini mkuu umegusia kilimo, unajuwa ardhi ya tanganyika ina mito na maziwa kila kona, mvua na rutuba, ikiwa kweli ndio kilimo muhimu nyie tanganyika munaweza kuilisha Afrika na Ulaya nzima, lakini tatizo lenu munalijuwa wenyewe. Limeni nyie kwanza
 
Kwani TRA inakusanya mapato bandarini pekee? Au hayo mabilioni ni lazima TRA iwe imesimama bandarini wakati wa kuwakabidhi wakatoliki?

Yaani umetoa maelezo ya kijinga sana. JamiiForums please, mada kama hizi muwe mnazifuta.
Mada hizi ndizo wanazitaka kwani Mods huwa wanaajenda zao za siri.
 
Una IQ na elimu ndogo sana kuhusu kodi

Kiongozi Kindeena, nakubaiana na weye kwamba mie sio nina IQ ndongo tu, sina kabisa hiyo IQ. Weye ndie Einstein wa tanganyika kuhusu kodi.

Ikiwa una utalaamu wa kodi na mazingira yote yanayo husiana na kodi ulikuwa unapaswa kujuwa kwamba, makontena yanayopitishwa bandarini kwa jina la kanisa ni mengi mno. Chini ya uongozi wa DPW zoezi hili litakufa bandarini.

Ikiwa kazi ya kanisa ni kutoa uzima wa milele, haya makontena ya nini tena?

ahsante
 
😆😆😆 We jamaa una nafsi mbili nin?

Pythagoras

Chaguo lako mzee, ukiona kusemea kanisa wasichukuwe rasmali ya raia kama vile pesa za kodi ni kuwa na nasfi mbili sawa.

Lakini bado nitaka sababu moja tu ya msingi kwa kanisa kupewa pesa za bure, pesa zinazotokana na majasho ya walala hoi.

Yesu hakukusanya pesa za umama kwa ajili yoyote ile, makanisa wanataka pesa za bure kanini na kwa sifa gani?

katika uzuri mmoja wa DPW ni kuwa bandari itadhibitiwa vyengine sasa. Kila mmja atalipa kodi akiwa kanisa au mfanya biashara.
 
Wana Jamii

Sisi wengine tunapenda kuyatizama mambo yanavyozuka na maana yake kiundani katika jamii yetu.

Kikawaida wengi wetu tunakuwa tunaburuzwa ovyo ovyo tu na fikra za watu wengine, watu wengine eti kwa sababu tu mtu amepenya katika tundu ya sindano akawa mkuu kupitia kichaka cha siasa, au kupitia kichaka cha dini, tunaona kwamba mawazo yeke mtu huyo yametoka mbinguni.

Tunalishindwa kufanya ni kuzitafakari fikra hizo kiundani kwa mantiki na kima cha juu. Mfano mzuri ni hili suala la bandari kupewa DPW imeleta zahama isiyokwisha na porojo refu sana, saa nyengine hata tunashindwa kuelewa watu wanazungumzia nini.

Ukweli wa maisha ni huu, adui mkubwa zaidi wa mtu ni fikra zake mwenyewe. Hili ndio tatizo sugu linaloisumbuwa jamii sio ya watanganyika walala hoi walio wengi tu bali watu waliowengi popote pale. Tatizo la pili, ukweli ni bidhaa adimu na chache sana. Tatizo la tatu, midomo ya wanaofaidika haijui maana ya neno "UKWELI KWA WOTE".

Sasa tuje katika suala nyeti la bandari. Kusema ukweli hata mie nilidhani kwamba watanganyika wamekasirika kwa kupewa Waarabu bandari ya DSM, nililogundukwa ni kuwa hata amgepewa Myahudi watanganyika wangewekwa vidudu kichwani na kupangiwa mazingira ya kuongeza porojo kama kawaida tu.

HAPO CHINI NDIO CHANZO CHA ZOGO LA DPW

Sababu ya kwanza: Chanzo kikubwa sana cha zogo kuhusu bandari kupewa DPW ni kwamba, bandari ndio penye mlo mkubwa wa KANISA kupitia taasisi moja iitwayo TRA. Kanisa wanachukuwa mabilioni kutoka serekalini, serekali inapata pesa za bure kupitia TRA. KANISA linachukuwa pesa hizo kwa kichaka cha uendeshaji wa mahospitali. Ni uzembe uliopita kipimo kuwaruhusu waendesha kwaya makanisani kuendesha sekta ya tiba. Matekeo yake hosptali zimezorora sana. Kanisa hawana sababu ya kuhisi kwamba DPW ni kitu chema sababu mlo wao wa bure ndio unawaaga hivi.

Sababu ya pili: ni kwamba mafisadi wanajaza matumbo yao yasiyoshiba abadan mupitia bandarini. Hawa pia huna la kuwafanya wakahisi DPW ni kitu chema.

Sababu ya tatu: ni wafanya biashara wakubwa. Wafanya biashara wanashirikiana na mafisadi walio bandarini katika kuhujumu uchumi. Wafanya biashara hao wahana pia sababu ya kufikiri DPW ni kitu chema kwao.

Kwahivo, kwa ninavo mie, zogo la DPW limeanzishwa na kuchochelewa na KANISA, MAFISADI na WAFANYA BIASHARA WAKUBWA. Na hao wote watatu ni wahujumu wa uchumi wa tanganyika.

Ahsanteni.
Naziru Karumagi nawenzake waliokuwa wanamiliki TICS walikuwa waislam na hakuna mtu alihoji kwanini wanamiliki hisa bandarini hapo,kama unataka kutuambia DPW imeletwa bandarini ili kuthibiti kanisa mpaka hapo wameishakwama,angalia habari ya kuchinja ilivyokufa kifo cha mende baada ya wakristo kutaka kuanzisha mabucha yao.Kama hilo lingefanyika basi kuna bucha zisingeuza kabisa maana wala nguru na ugali wengi upande wa pili.
 
Kwani TRA inakusanya mapato bandarini pekee? Au hayo mabilioni ni lazima TRA iwe imesimama bandarini wakati wa kuwakabidhi wakatoliki?

Yaani umetoa maelezo ya kijinga sana.

Mkuu Sexless

Ahsante kwa maoni na suala lako.

Lakini nilosema ni kwamba bandarini ni penye mlo mkubwa kwa kanisa, mafisadi na wafanyabiashara. Sikusema bandarini ni pahala pekee penye mlo. Wala sikusema kwamba TRA inafanyakazi bandarini tu.

Ndio, TRA inaipa mabilioni kanisa kupitia bandari. Sababu TRA inajitahidi kuwacha makontena ya kanisa kupita bila malipo bandarini, huo ni ukweli unless ujifanye ukweli huu pia huutaki.

Nadhani sasa kiswahili chanu kimekuwa wazi na umenifahamu. Si lazima ukubaliane na mawazo yangu kwani hayo ni mawazo yangu binafsi kama weye ulivyokuwa na mawazo yako binafsi.

Sexeless kuema [
JamiiForums please, mada kama hizi muwe mnazifuta.
unakusudia nini? Je weye huamini uhuru wa kusema, huamini demokrasia, huamini uhuru wa kila mtu kupenda na kuchukia bila kulazimishwa? au unaamini unachokipenda weye ndio kila mtu lazima akipende hicho? umepata elimmu yako wapi, USSR, Cuba au North Korea?

You need to wake up; the days of worshipping people are over. I don't have to kiss your hands for me to be seen as a good person.

Ahsante sana.
 
Mawazo ya kipuuzi kabisa kutoka kwa mleta mada

Ahsante sana Dudvwili

Namiini uko swa kabisa mkuu.

Hakuna ulazima juu yako kukubaliana na mawazo yangu kama ilivokuwa mie si lazima nikubaliane na mawazo yako.

Lakini faida ya DPW mutaipa nyie tanganyika.
 
Naziru Karumagi nawenzake waliokuwa wanamiliki TICS walikuwa waislam na hakuna mtu alihoji kwanini wanamiliki hisa bandarini hapo,kama unataka kutuambia DPW imeletwa bandarini ili kuthibiti kanisa mpaka hapo wameishakwama,angalia habari ya kuchinja ilivyokufa kifo cha mende baada ya wakristo kutaka kuanzisha mabucha yao.Kama hilo lingefanyika basi kuna bucha zisingeuza kabisa maana wala nguru na ugali wengi upande wa pili.

mkuu uchumi2018

Nakuomba urejee tena kichwa cha habari ya makala yangu.

Ikiwa hukusoma hapo juu wacha kurejelee tena nilivyoandika

DPW ni adui wa kanisa na mafisadi na wafanyabiashara​

Wakiristo kuanzisha mabucha yao kuna tatizo gani? si wanataka pesa zao zizunguke katika mikono yao tu. Hilo mkuu sio tatizo kwangu. Weye si unajiita mchumi au vipi mkuu?

La pili kwani hilo ni ajabu wakatiki wakiristo mumejenga universities zao, hospitali zenu, na hata vyama vyen vya siasa. ingawaje wajenga yote hayo kwa mapesa yanatoka katika mfuko wa serikali, serikali inakusanya kodi kutoka kwa raia wote,

Ahsante
 
Kiongozi Kindeena, nakubaiana na weye kwamba mie sio nina IQ ndongo tu, sina kabisa hiyo IQ. Weye ndie Einstein wa tanganyika kuhusu kodi.

Ikiwa una utalaamu wa kodi na mazingira yote yanayo husiana na kodi ulikuwa unapaswa kujuwa kwamba, makontena yanayopitishwa bandarini kwa jina la kanisa ni mengi mno. Chini ya uongozi wa DPW zoezi hili litakufa bandarini.

Ikiwa kazi ya kanisa ni kutoa uzima wa milele, haya makontena ya nini tena?

ahsante

Niliyemwambia ana IQ ndogo kuhusu kodi ni Sexless siyo wewe.
 
Back
Top Bottom