DPP: Hakukuwa na nia ya kufungua kesi ya Jinai dhidi ya Pauline Gekul

Atulie nisije nikamtukana bure.
Maskini wangapi kafuta kesi zao?
1704457049224.jpg
 
Uzuri WA bongo sheria uamuliwa na jinsi ulivyo ukiwa na pesa au maarufu au kada huwezi tendewa SAWA na asiye.
Naona wanapanga kumuachia mke wa msuya muuaji mkubwa wazee wa Baraza washavuta sema wanaogopa jamii eti kesi kaangushiwa housegirl,kibatala kashavuta zake kumtetea mama wa kimachame
Kibatala hakujipeleka alitafutwa na kasi yake ni kutetea watu hana shamba mjini
 
Hio imeenda dogo Bora angevuta ile milioni 10 akafanye mishe zingine naona alipotoshwq na mawakili uchwara kina madereka.
Haki bongo pesa huna umaarufu huna sio kada
Unatoa bikra kwa milioni 10? Acha upuuzi wewe, ndio maana tunakwama sana kwa akili kama hizi.

Njoo huku kuna mwamba ana milioni 10 akupe umalizane nae.
 
Acha chupa bwashee, hebu jaribu kujiingizia dole gumba tu uone mziki wake!! Hakuna kidume chupa inaweza kupenya hata nusu sentimita! Labda kwa nyie vijana wa CDM
Amemdhulum vibaya mno huyu kijana, Hatakua Sawa hadi anaondoka duniani.Ila tu waliohusika kumfanyia hivyo malipo ni hapa hapa.
 
Back
Top Bottom