DP World imesababisha tumukumbuke Magufuli mapema sana

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.

Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli na aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, kwa waliokuwepo kwenye wizara ya uvuvi, aridhi na ujenzi enzi za waziri Magufuli watakwambia moto wake.

Swali la kujiuliza aliwezaje kutekeleza bila kutumbuliwa? Je kwenye baraza la mawaziri la sasa kuna waziri anayevaa viatu vyake?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema , ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.

Mwezi march 2022 umetimia mwaka miaka 2 tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo ,Lisu, Lema , Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.

kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga! Mbowe akimaliza kutukana anakimbilia kupanda ndege mpya ya Dreamliner impeleke KIA.

Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!!

Muda utawaumbua zaidi.
 
Wewe na familia yako ndiyo mnamkumbuka yule muovu
 
WTF!!!
 
Attachments

  • Screenshot_20230621-201509.png
    Screenshot_20230621-201509.png
    39.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230621-201611.png
    Screenshot_20230621-201611.png
    37.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230621-201742.png
    Screenshot_20230621-201742.png
    37.1 KB · Views: 2
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.

Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli na aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, kwa waliokuwepo kwenye wizara ya uvuvi, aridhi na ujenzi enzi za waziri Magufuli watakwambia moto wake.

Swali la kujiuliza aliwezaje kutekeleza bila kutumbuliwa? Je kwenye baraza la mawaziri la sasa kuna waziri anayevaa viatu vyake?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema , ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.

Mwezi march 2022 umetimia mwaka miaka 2 tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo ,Lisu, Lema , Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.

kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga! Mbowe akimaliza kutukana anakimbilia kupanda ndege mpya ya Dreamliner impeleke KIA.

Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!!

Muda utawaumbua zaidi.
Hiyo shetani kubwa siwezi kuikumbuka ndo imetufikisha hapa tulipo.
 
Kwa risasi alizo pigwa Tundu Lissu mchana kweupe huwezi msahau...
Kwa waliotekwa kina Mo na Roma ...utamsahau vipi??
.waliokamatwa Kwa kukosoa serikali watsap.... hawawezi msahau...
 
DP World wamefuta yote hayo
 
Kwa watoto wadogo na wasiojua mambo wanadhani hayati Magufuli alianza kuwa mkali alipokuwa rais wa nchi tu wakati ukweli ni kwamba Magufuli alikuwa mkali na mfuatiliaji tangu akiwa naibu waziri, waziri na baadae rais wa nchi.

Katikati ya mafisadi wakubwa wa awamu za Mkapa na Kikwete lakini walimwogopa Magufuli na aliwashughulikia kila wizara aliyopelekwa, kwa waliokuwepo kwenye wizara ya uvuvi, aridhi na ujenzi enzi za waziri Magufuli watakwambia moto wake.

Swali la kujiuliza aliwezaje kutekeleza bila kutumbuliwa? Je kwenye baraza la mawaziri la sasa kuna waziri anayevaa viatu vyake?
Hata baada ya kuwa rais na kufariki dunia mpaka leo mwaka umeisha si Chadema , ACT Wazalendo wala CCM waliokuja na ushahidi usiotia shaka juu ya ufisadi wake licha ya kwamba waliahidi pindi tu atakapotoka madarakani basi watakuja na mikataba ya ufisadi na rushwa kubwakubwa zilizosainiwa na yeye.

Mwezi march 2022 umetimia mwaka miaka 2 tangu atutoke duniani lakini mahasimu wake ikiwemo ,Lisu, Lema , Nape ,Makamba, Kigogo bado hawajawaletea watanzania ufisadi wa Magufuli.

kinyume chake wanaendeleza mafanikio na miradi ya awamu ya tano kwa kasi kubwa, walipinga kila kitu lakini sasa wanatumia kila kitu walichokipinga! Mbowe akimaliza kutukana anakimbilia kupanda ndege mpya ya Dreamliner impeleke KIA.

Walioahidi kuifunika legacy kumbe hawana uwezo kuifunika hata kidole chake tu!!

Muda utawaumbua zaidi.
Samia anapita mule mule alipopita hayati JPM tofauti ni hulka zao za kiuongozi. JPM alipenda kusikiliza na kufanyia kazi aliyoambiwa Samia anaonekana kutosikiliza watu njiani na majukwaani lakini akitoka anafanyia kazi yote anayoambiwa.

Samia anaonekana kuwa chini ya JK lakini yupo huru sana. Hamza Johari alimrithi kutoka kwa hayati JPM na hajasikiliza majungu ya watu, anaufahamu ufanisi wake serikalini.

Hizi siasa zinazoendelea mitandaoni kwamba kauza nchi ni nyepesi sana kwa watu wenye uelewa mpana na wa masuala ya kimataifa.
 
  • Thanks
Reactions: Ame

Huna akili kufananisha mlima na kichuguu
 
Akili huna wewe uliyekabidhi akili kwa hayati JPM. Samia alikuwa ni msaidizi wa JPM, hana mbwembwe hana makuu.

Hana kipindi cha TBC cha kishindo cha awamu ya sita kama ilivyokuwa enzi zile za kishindo cha awamu ya tano wakati wa JPM.

SSH hatumii nguvu kubwa katika kuonyesha anafanya nini, anaacha kile kitu kiongee chenyewe.
 
Back
Top Bottom