The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,328
Wanawake ni viumbe wa kustaajabisha sana.
Nakupa mifano michache kuonesha jinsi wanawake wanakuwa na double Standards kwa jambo moja lile lile dhidi waume ama wapenzi wao na ndugu zao wa kiume kama vile kaka zao.
1. Wanawake wako tayari na wanafurahia sana kuona kaka ama ndugu zao wa kiume wakichakata wanawake wengi ama watoto wazuri kadri iwezavyo lakini hawako tayari kuona waume ama wapenzi wao wakifanya hivyo. Unabaki unajiuliza kwani kaka zao na waume zao ni wanaume tofauti?
2. Wanawake wako tayari kufuga kuku 10 huku jogoo akiwa mmoja na matetea 9 lakini hawako tayari kuona waume zao ama wapenzi wao wanafanyiwa favor kama ya jogoo. Huu ni unafiki wa hali ya juu sana ya wanawake. Kwa nini wasifuge matetea 10 ma majogoo 10 ili kila jogoo liwe na tetea wake?
3. Wanawake wako tayari kufuga mbuzi 10, beberu moja na majike 9 lakini hawataki kuona wapenzi wao ama waume zao wakipata favor kama ya beberu ya kuwa na ke wengi. Hawtaki kabisa lakini beberu kapewa wake 9 anakula maisha na hawamtoshi akiona wengine pembeni anawarukia.
4. Kumbuka mfano namba 2 na namba 3 hapo juu, wanyama hao ama viumbe hao niliotaja wanafanya ngono kwa ajili ya kuzaliana tu na sio kama starehe na bado wanahitaji wake ama majike kati ya 9 hadi 15. Jiulize, kama wangekua wanafanya ngono kama starehe kama binadamu wangehitaji majike wangapi?
5. Zaidi ya 99.9% ya wanawake wote Duniani hufurahia kuona kaka zao wakiongeza mke wa pili ama kuwa na mchepuko na kuzaa nae na wala hawamwambii wifi yao na humpa wifi yao lawama kwmaba ndio mkorofi hadi kaka yao kaongeza mke lakini hawataki waume zao wazae nje ama wawe na michepuko, hii double Standards ya nini?
6. Wanawake ni kwa nini hawataki kukabiliana na kukubaliana na ukweli kwamba wanaume ama jinsia ya kiume yoyote bila kujalisha ni panya, jogoo, beberu ama binadamu wanafanana, wanahitaji majike wengi zaidi ya mmoja.
7. Wanawake, sisi waume wenu ama wapenzi wenu tunataka mtukubali na mtupatie upendeleo kama mnaowapa ndugu zenu wa kiume kwa sababu sisi wote ni wanaume na tunafanana.
Ahsante.