Double MK: Maulid Kitenge vs Masoud Kipanya

Bamileck

Member
Jul 26, 2021
26
39
Pamoja na umahiri wao redioni, kuna sehemu fulani katika maisha wanaitendea haki ipasavyo.

Je, ni sehemu gani iyoo
InShot_20240325_143314772.jpg
 
Kipanya ni smart sana, alafu pia anaonekana ni mtu poa sana.

Kwenye kundi lake namuweka na watu wengine, kama Jembe ni Jembe, Denzel Trainer, Waziri Salum.
 
Moja ya kipimo cha upeo wa mtu ni uwasilishaji wake wa hoja, kuanzia chaguzi ya maneno mpaka tone ya sauti.

Ukiwasikiliza wote wawili KP na Maulid Kitenge wakiwa wanajenga hoja hapo ndio utajua nani yupo vizuri zaidi ya mwenzie.
 
Katika watangazaji ambao sijawahi kuwaelewa kwa upande wangu wapo wengi na kitenge yumo.
 
Back
Top Bottom