INAUZWA Door and window sensor alarm (alamu za madirisha na milango)

Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini
changamoto ni hela?

Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia
dirishani wakati wa usiku

Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja
vitasa na kuingia kupitia mlangoni na kuiba vitu vya ndani

ISECURE TECHNOLOGY tunawaletea kifaa (sensor) za kwenye madirisha na
kwenye milango. Kifaa hichi kitakusaidi kuweka ulini kwenye nyumba yako.
Kifaa hichi kitapiga kelele pale dirisha au mlango utakapofunguliwa hivyo
kuwafanya wahalifu waogope

BEI NI 8000/= Tsh kwa kifaa kimoja

kwa mawasiliano zaidi 0710141917

View attachment 1980988

View attachment 1980989

View attachment 1980990

View attachment 1980991
Tuliza akili yako na ufahamu wa hali ya juu wa usalama nyumbani na alarm yetu ya sensori ya mlango/dirisha. Hakikisha unakuwa salama wakati wowote na popote. #UsalamaNyumbani #AlarmYaMlango #AlarmYaDirisha
 
Yes zinapiga kelele, hivyo zinawastua wezi. Mwizi yoyote hapendi kelele
 
aah kelele ya kutosha, usikute ni kama ya saa. je hakuna vinavyotuma na sms kwenye simu kama ukiwa mbali
Kelele ya kutosha kabisa, zipo ambazo ni advance kidogo inakuja na panel yake hiyo ni laki tatu na nusu
 
Je unahitaji kuimarisha ulinzi wa nyumbani kwako kwa kuweka alarm lakini
changamoto ni hela?

Kama una madirisha ya aluminium, Je umewahi kuibiwa simu kupitia
dirishani wakati wa usiku

Je unajua wezi ni rahisi kwao kufungua madirisha ya aluminium au kuvunja
vitasa na kuingia kupitia mlangoni na kuiba vitu vya ndani

ISECURE TECHNOLOGY tunawaletea kifaa (sensor) za kwenye madirisha na
kwenye milango. Kifaa hichi kitakusaidi kuweka ulini kwenye nyumba yako.
Kifaa hichi kitapiga kelele pale dirisha au mlango utakapofunguliwa hivyo
kuwafanya wahalifu waogope

BEI NI 8000/= Tsh kwa kifaa kimoja

kwa mawasiliano zaidi 0710141917

View attachment 1980988

View attachment 1980989

View attachment 1980990

View attachment 1980991
Hizi alarm Bado zipo , Kwa anayehitaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom