Don't pass here like a shadow

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Jamani ee.. Habari zenu wana Jf.
Sasa bila kujikanyaga, Mimi naomba nipewe utaratibu wa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tz. Yaani Mhe. JAKAYA .M. KIKWETE.
Nina shida naye sana japo mie ni mwananchi wa kawaida sana. So naomba plz,anayejua contacts zake anitupie hapa hapa au ani-inbox kwa 0787638644.
Nipo serious jamani.
 
Back
Top Bottom