Don't judge too quickly

mmh!...........sasa ndo katuni huanza kuchorwa kwa michoro ya kimatusi namna hiyo?
 
Ndio style yake mimi nadhani wewe ndio unaanza kufikiri tofauti

bado sijakata tamaa mkuu. hivi hiyo soseji ikichorwa na mayai yake mawili kweye sura huioni? lakin nashukuru leo nimepata jibu la swali langu la siku zote kwanini wanaume hupenda kutusiana yale maneno yanayo watokako hasa kwamama. kumbe zikichorwa katuni za kiume huanza kwa stail ya '' ya mama'' au 'ya baba'.

umenifundisha aisee hongera sana.
 
..na nyinyi inabidi mtumie ya wababa
 
Back
Top Bottom